rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia nakuomba uisikilize clip hii ya Ngurumo, kuna kitu cha msingi utakigundua

    Listen please Ujumbe: mnalikaribisha JESHI kuwa na hisia za kuutaka urais, kuitaka siasa, kuutaka UKUU/UTUKUFU and the like...ndio ujumbe mkuu wa ndiko/clip hiyo. Utamaduni /tabia /matamanio yanajengwa! Jiepushe na hilo " Mkiwaingiza kwenye siasa,hamtawachomoa ila watawachomoa nyinyi"...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia anamtengeneza Mrema wake

    Enzi za utawala wa Mzee Ruksa bila kujua athari zake alimwachie Late Mrema madaraka makubwa kupitiliza. Awamu ya Sita namwona Mama akirejea makosa yale yale ya kumwachia maradaka makubwa Bashite. Nimekaa pale nawaangalia taratibu.Anachofanya Bashite ni kujijenga yeye binafsi na si chama.Ipo...
  3. JamiiForums Tanzania Bashungwa: Rais Samia Anapiga Lami Barabara ya Kibena - Lupembe Mkoa wa Njombe

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali inakwenda kuanza ujenzi barabara ya Kibena - Lupembe (km 42) kwa kiwango cha lami ili kuufungua mkoa huo kiuchumi hasa kutokana na kilimo cha chai kinacholimwa katika kata ya Lupembe Halmashauri ya Njombe. Ameyasema hayo mkoani Njombe...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Mbinguni walimchukulia fomu Rais Samia. Adai Mbowe anajua kama Samia ametumwa na Mungu

    Kipenga cha 2025 kishapulizwa na kauli za wanasiasa zishaanza, Makonda akiwa Hai kasema mbinguni walishamchukulia fomu Rais Samia na hata mbunge wa zamani wa Hai(Mbowe) anajua Rais Samia ametumwa na Mungu. ====================== For English Audience The 2025 political winds have already...
  5. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini suala la uraia wa Watanzania wageni waliopo Serikalini linatokea sasa wakati tunaelekea kwenye Uchaguzi?

    Je, 1. Wazanaki wanakotoka viongozi mbalimbali ikiwemo baba wa taifa Mwalimu Nyerere ni 100% Watanzania? 2. Wamakuwa kutoka mkoani Mtwara ambako pia anatoka aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati Mkapa ni 100% Watanzania? 3. Kabila la Wasubi atokalo aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Magufuli na...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuweke ushabiki pembeni, ukweli ni kwamba Rais Samia ameshindwa kazi ya urais

    1. Mpaka sasa haieleweki dira yake hasa ni nini. Kila kitu ni kama kinajiendea tu. Hakuna concrete direction. 2. Nchi inakosa umeme kila mahali kwa zaidi ya miezi sita na wala hakuna kinachofanyika. Hapajawahi kutokea mgao mrefu hivi. 3. Kuna maeneo maji yanakatika hata wiki nne na hakuna...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Rais Samia: Jeshi na vikosi vyote vya Ulinzi vikae tayari kwa lolote wakati wa uchaguzi

    Ombi langu kwenu (JWTZ) ni kwamba mwaka huu na mwakani tunaelekea kwenye chaguzi za nchi yetu na hapa ndipo usalama mkubwa ndani ya nchi unapotakiwa kuangaliwa kwa ukaribu zaidi, niwaombe sana Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwenye Kamandi zenu tofauti kujipanga kwa ajili hii, mwaka huu tunaanza...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkuu wa Majeshi: Baadhi ya Wakimbizi wamepewa teuzi Serikalini katika nafasi zenye maamuzi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Mkutano wa Saba wa CDF na Makamanda unaofanyika 302 KV Brigade Mess, Mwenge jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Januari, 2024 CDF: VIJANA WETU WA MIAKA 15 HADI 35 WANALENGWA NA WANA MTANDAO WA UGAIDI Mkuu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Ziara ya Kitaifa ya Rais Samia katika Jamhuri ya Indonesia tarehe 24-26 Januari 2024

    ZIARA YA KITAIFA YA RAIS SAMIA KATIKA JAMHURI YA INDONESIA TAREHE 24-26 JANUARI 2024 Taarifa ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba kuelezea ziara za Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika nchi za Indonesia. Dkt. Samia...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia aalikwa na Baba Matakatifu Francis Mjini Vatican kwa mazungumzo rasmi ya siku mbili

    Kufuatia mualiko wa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani na nchi ya Vatican Papa Francis, Rais Samia Hassan atafanya ziara ya kitaifa tarehe 11 hadi 12 Februari, 2024. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia, Kung'atuka nako ni ushujaa

    Hello Rais Samia! Shikamoo mama na Rais wa nchi tukufu ya Tanzania. Nakuomba ung'atuke/ ujiuzulu kwa maslahi mapana ya Taifa. Suala la nishati ya umeme kusuasua zaidi ya miezi 12 inatosha kabisa wewe kutangaza maamuzi magumu ya kujiuzulu. Ukijiuzulu utapata heshima kubwa na Watanzania...
  12. JamiiForums Tanzania Ni wazi Rais Samia kazidiwa ujanja na aliowaamini

    Sukari bei juu! Umeme mwaka wa 4 leo tokea aingie madarakani ni kero! Miradi ya ki mkakati kama reli ya mwendokasi danadana kila uchwao! Ufisadi na uzembe kwa Watumishi wa Umma umetamalaki! Nishati ya mafuta bei juu! Thamani ya Shilingi ni kupungua thamani kila uchwao! Mfumko wa bei...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alifikiria nini kumteua Makonda? Alikuwa ana lengo gani?

    Makonda ana sifa moja kubwa nationally and Internationally, Gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the security of persons." Kwa watu wenye akili watajiuliza swali kama hilo Mama Samia lengo lako ni nini kumteua Makonda? Any...
  14. JamiiForums Tanzania Aidha ni miongoni mwa wenye kumwangusha Rais Samia na au anafanya yaleyale ya mtanifanya nini!

    Samahani, kwa sasa nitakuwa naanza na neno Watu weusi pausua kichwa, tunamatatizo gani? Mbona hatuwezi karibu kila kitu? Baada ya kutugundua na kujiaminisha kwamba, Watanzania hata uwafanyie ubaya unaozidi ubaya, hawawezi kukufanya chochote, zaidi sana wataandika na kulalamika huku wakiishia...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hashim Issa: Rais Samia na chama chake wameshindwa kuongoza nchi, waondoke Madarakani

    Katiba ya Warioba ishakulinda wewe, ishakutoa kwenye lawama, kwamba wewe hulaumiwi na CCM sababu hii ni katiba waliyoitaka watanzania. Lakini, kwanini huwatakii mema wafaidika wa mwanzo wa Katiba hii, ndugu zako Wanzibari? Sisi ndio tutafaidika mwanzo sababu sisi tumefungwa jela, tumefungwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Samia: Japo wengi wape, wachache pia wasikilizwe, Hoja ya kufanya "minimum reforms" za Katiba ni hoja ya msingi sana kuliko hata Sheria!

    Wanabodi, Kwa kadri siku zinavyokwenda na miaka inavyopita, ndivyo wazee wanavyopita na vijana kuchipukia, hivyo sisi tuliokuwepo enzi za Tume ya Jaji Nyalali kukusanya maoni ya Watanzania kuhusu kuendelea na mfumo wa chama kimoja au vyama vingi, asilimia 80% ya Watanzania walitaka tuendelee na...
  17. JamiiForums Tanzania Sakata la Katiba: Mzanzibar amtupia lawama Rais Samia

    Mzanzibar akionekana kumlaumu Rais Samia kutokuwajali watu wa Zanzibar kwa kutokuwaruhusu kujitawala. Katika maongezi yake Mzee huyo amerejelea katika na kumueleza kuwa Rais Samia hazingatii wanufaika wa kwanza wa katiba hiyo ambao ni Wazanzibar. Nini maoni yako kuhusu hoja za mzee huyu...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa kuwa CHADEMA ndio chama kikuu, nashauri kampeni zake ziwe kama za Kiinjilisiti

    Mimi nikiwa namba moja wa kujitolea kufanya kampeni hizo za kiinjilisiti, ambapo zitakuwa za nyumba hadi nyumba, mtu hadi mtu Kampeni aina hiii huvuna wanachama kwa wingi, na uhakika wa kuwafikia wananchi wengi na kwa haraka zaidi, CCM anachapika vizuri mno na chepesi zaidi, ukweli ni kwamba...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuseme ukweli: Rais Samia akiruhusu mchujo kwenye nafasi yake atabaki?

    Rais Samia, amekitaka chama chake kuweka mchujo kwa wawakilishi ili ambao wamekuwa hawafanyi vizuri kwa wananchi, wapigwe chini. Kwenye hili nampongeza sana, hii itawafanya wabunge wetu wafanye kile wananchi wamewatuma huko bungeni. Hata hivyo, shida yangu ni moja, kutokana na hoja hiyo hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Falsafa ya 4R inavyombeba Rais Samia

    MIAKA mitatu tangu Rais Samia Suluhu Hassan akabidhiwe kijiti cha kuiongoza Tanzania wadau wa demokrasia wanaielewa falsafa yake ya 4R yaani maridhiano, ustahamilivu, mageuzi na kujenga upya. Wakati akikabidhiwa kijiti Machi 2021, Rais Samia alisitiza dhamira yake ya kuijenga Tanzania moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…