rais samia suluhu

Samia Suluhu Hassan
Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

More on WikiPedia
  1. K

    JamiiForums Tanzania Tozo za Miamala: Dkt. Mwigulu, una hakika Watanzania wanakusoma?

    Mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan alitoa Homework Juu ya Tozo la Miamala Wewe na Timu yako Mnaohusika mliangalie Upya Suala hili, sio Kufuta bali kupunguza Makali Ya Tozo. Badala yake Kwa Kudemka Kabisa unakuja na mahesabu ya Mabilioni Yaliyokusanywa, Kwamba Yamepelekwa kusaidia hiki na Kile...
  2. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Kinachoniuma mimi Mwananchi ni jasho langu kuwatajirisha wanasiasa

    Kinachoniuma mimi ni hela za jasho langu ndizo zinazowapa utajiri wanasiasa. Yaani mavazi ya raisi, safari za nje za raisi, magari ya wabunge na mishahara ya wabunge vyote ni jasho la wananchi. Lakini kama hiyo haitoshi, tumeongezewa kodi na tozo nyingine ambazo nazo zitaliwa na wanasiasa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Serikali yake wamefanya lipi jema mpaka sasa?

    Tuambiwe hadi leo chini ya Utawala wa CCM kwa kipindi hiki kipya cha Rais huyu mtarajiwa kwa njia ya kupigiwa kura hapo 2025, lipi alilolifanya hata Wananchi wamchague 2025 awe Rais wao? Kwa upande wangu naona mambo ni valuvalu tu hayana muelekeo wa kuonyesha ameleta unafuu wa maisha kwa...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Huyu fundi wa hizi sarakasi ni nani?

    Baada ya rais mstaafu Jakaya Kikwete kurudi tena madarakani kwa mara ya pili alifanya jambo ambalo lilishutumiwa sana. Alikusanya watendaji wa serikali karibia wote na kwenda kufanya semina elekezi kwenye hotel ya kifahari ya Ngurdoto mkoani Arusha. Kiuhalisia maudhui ya semina naweza kusema...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amemtumia pongezi Rais Mteule wa Zambia, Hakainde Hichilema

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa niaba ya wananchi wa Tanzania amemtumia pongezi Rais mteule wa Zambia Mheshimiwa Hakainde Hichilema na kumuahidi ushirikiano. Naye Rais MTEULE Mheshimiwa Hakainde amezipokea pongezi hizo na kumshikuru Rais Samia huku...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Rais Samia ni mbobezi katika masuala ya uongozi

    SHAKA: RAIS SAMIA NI MBOBEZI KATIKA MASUALA YA UONGOZI. Umma waelezwe kuwa Anatosha na Atatuvusha. Viongozi wa dini waombwa kuhubiri Amani na Mshikamano. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema tokea Uhuru kupatikana 1961 na Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kufanyika 1964 na hatimae Chama Cha...
  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni Mtanzania, sio "Mama wa Kizanzibari"

    Salamu Wakuu, Ni aibu kubwa kwa Mwanachama wa CCM, kumuita rais wa Nchi ya Tanzania eti ni Mama wa Kizanzibari. Hii ni fedheha kwa chama na Serikali na Taifa kwa Ujumla. Nchi yetu imejijengea heshima kwa kuheshimiana na kuwa na Usawa, sasa haya Mambo yanatoka wapi? Wasiwasi wangu ni hawa...
  8. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Mbowe alimpigia simu Rais Samia kumpa pole akiwa Dubai

    Kwenye Space ya Maria inayoendelea, Mheshimiwa Lema anasema kuwa Mheshimiwa Mbowe alimpigia simu Rais Samia na kumpa pole kifuatia kifo cha Dkt Magufuli. Wakati huo Mheshimiwa Mbowe alikuwa Dubai na kwamba Rais alimuahidi Mheshimiwa Mbowe kuwa Mara baada ya msiba kuisha, wangekutana na kuijenga...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi wa Rais Samia warekebishe makosa aliyofanya katika mahojiano na BBC, vinginevyo ataonekana siyo muungwana

    Hakuna binadamu aliye mkamilifu. Rais SSH alifanya makosa kwa kutoa kauli zisizo "sahihi" ktk interview yake na Salum Kikeke wa BBC. Hilo siyo jambo geni kumtokea kiongozi yeyote yule. Kinachofanyika ktk mazingira kama hayo ni kiongozi mwenyewe, au wasaidizi wake, kujitokeza kuomba RADHI na...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anashindwa kuongea na Upinzani kwakuwa umenyambu. Je, ni kweli upinzani umenyambuka?

    Hata Rais anashindwa kuongea na wapinzani kwakuwa wamenyambukanyambuka, hajui aongee na nani. Je, ni kweli wapinzani mmenyambukanyambuka? Kumuona Mbowe pekee akiwa kwenye kurasa za mbele za magazeni ndio ukweli kuwa mmenyambukanyambuka? Zitto, Mbatia, Lipumba, Rungwe na wapinzani wengine...
  11. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia amekiri vyama vya upinzani vina Katiba, kwanini Mutungi anawataka Chadema walete muhtasari wa kikao kilichowafukuza kina Mdee?

    Nimeyasikikiza kwa makini Sana mahojiano maalum, aliyoyafanya mtangazaji mahiri, Salim Kikeke, wa shirika la habari la kimataifa la BBC, akimuhoji Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuhusu masuala mbalimbali yanayolihusu Taifa letu. Mimi ningependa kuelezea kile alichokisema Rais wetu kuhusu...
  12. MC44

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mbowe alijificha Nairobi aliporudi akaanza harakati za madai ya Katiba, nadhani ni Calculation akijua kwamba ana kesi

    Mahojiano na Salim Kikeke. Inaonekana Rais yupo nyuma ya hii yote. Na yoote yanayofanyika anaangalia tuu. Anyway Leo ndo nimemjua Rais tulienae. ---- KESI DHIDI YA FREEMAN MBOWE Kikeke: Nazungumzia suala hilo la kisiasa kwa sababu kiongozi wa upinzania Freeman Mbowe amefikishwa Mahakamani...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ingilia kati suala la Mbowe ukubalike zaidi kisiasa; kesi ikitupwa au akishinda itakuharibia taswira yako na ya CCM

    Mtu yeyote mwenye kujua sheria anapoona tu kichwa cha thread hii, atasema sio sahihi, Rais Samia hapaswi kuingilia kati suala la mashitaka ya Mbowe ya Ugaidi kwa kuwa hapaswi kuingilia kati mhimili wa Mahakama. Ni kweli. Lakini pia, Watanzania wengi sana wanaamini kwa dhati kwamba kesi ya...
  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo tarehe 07 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  15. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Ole Millya apata chanjo ya Uviko-19; asema kama Rais Samia amechanjwa yeye ni nani asichanjwe

    Mbunge mstaafu wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara, James Ole Milya leo Agosti 3 mwaka 2020 amechomwa chanjo ya Uviko -19 kama njia mojawapo ya kujikinga na ugonjwa huo hatari duniani. Ole Milya amejipatia chanjo hiyo aina ya Jansen kutoka kampuni ya Johnson & Johnson katika hospitali ya mkoa...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Mbona kila jambo awamu hii linapokelewa kwa kuwekewa dosari? CCM tujirekebishe

    Hata uteuzi wa leo tayari dosari zimeonekana. Tayari malalamiko kibao kuwa watu hawapo makini majina yamejirudia. Haya uteuzi wa Mtednaji wa TANROAD tayari utaratibu umenyoshewa vidole. Miamala dosari! Bei za mafuta dosari! Mishahara ya watumishi dosari. Safari za Mkuu wa Nchi dosari! Ndege ya...
  17. leroy

    JamiiForums Tanzania Video: Mwenye kuweza ategue Kitendawili cha Rais Samia

    Mwenye kuweza kukitegua akitegue...
  18. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu vs Fatma Karume

    Sina hakika haya mazungumzo yalifanyika lini hasa. Lakini naamini si muda mrefu uliopita kwani kilichokuwa kinajadiliwa ni kile kinachoendelea hivi sasa nchini. Huyu so-called Shangazi is caping hard for Samia! I wonder why 🤔? In a roundabout way she is saying that Mbowe and the opposition are...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia yagoma kuondoa tozo za miamala ya simu

    Katika muendelezo uleule wa kudanganyadanganya wananchi serikali ya Samia imeanza kupiga chenga juu ya kupunguza tozo kubwa sana za miamala ya fedha. Baada ya kelele kubwa na kukasirishwa kwa wananchi juu ya tozo kubwa za miamala ya fedha, serikali ya Samia ilijifanya kupoza kelele hizo kwa...
  20. meningitis

    JamiiForums Tanzania Safari/Ziara za nje ya Nchi za Rais Samia Suluhu tangu awe Rais wa Tanzania 19 Machi, 2021

    Habari za Kazi wana JamiiForums, Katika thread hii nategemea tutaangazia ziara mbalimbali(Za nje ya nchi) za Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan na manufaa kwa taifa. Leo tarehe 11 April 2021 Mhe Samia anafanya ziara yake ya kwanza nje ya Tanzania na ziara hii...
Back
Top Bottom