rais samia suluhu

Samia Suluhu Hassan
Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

More on WikiPedia
  1. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais amepoteza mvuto kabla ya kutimiza siku 100?

    Habari wanaJF, Katika uwanja wa siasa kwa ngazi ya Urais tumezoea kuona Rais aliyeingia Madarakani akijizolea umaarufu na sifa kedekede pindi anaposhika hatamu ya uongozi Kipimo cha Rais huanza ndani ya siku 100 tangu ale kiapo. Lakini imekuwa kinyume kwa Rais wa sasa amekuwa wa kawaida sana...
  2. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ni kiongozi na mlezi mahiri wa Taifa

    Uwezo wa kiuongozi wa Rais Samia unazidi kujipambanua dhahiri kadiri siku zinavyosonga mbele. Na sasa amegusa jambo muhimu sana na la msingi zaidi katika ujenzi wa Taifa lolote lile kwa ajili ya maendeleo endelevu. Katika mazungumzo yake na wazee wa Dar es Salaam hivi karibuni, pamoja na mambo...
  3. Nebuchadinezzer

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Tanzania ni moja na hakuna mpasuko wowote. Tupo wamoja sana

    Nchi ya Tanzania ina watu takribani milioni 60, kila mtu ana vipaumbele vyake, hivyo huwezi kumridhisha kila mtu mama. Asilimia 90 ya watanzania ni maskini: hawahitaji magari ya benzi wala nyumba za kishi baada ya kustaafu kushika chaki na kazi zingine za umma. Wanahitaji maji safi na salama...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hivi ndivyo anavyotekeleza Kauli Mbiu ya Uhuru, Haki, Demokrasia na Maendeleo ya watu.

    Asalaam Aleykum Wasomaji wa JFs. Kwanza nitoe pongezi za awali kwa Mh Samia Suluhu kwa namna alivyoanza kuongoza nchi yetu ambayo kwa namna moja ama nyingine ilikuwa unapoteza mwelekeo chini ya mtangulizi wake hayati Baba Dr John Josefu Magufuli. Nasema pongezi za awali kwa kuwa ameonesha...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi wa Dar aliyetajwa na Rais Samia arejeshwe ili kudhibiti ujambazi ni nani?

    Wote tumesikia kutoka kwa Mh Rais alipokuwa anaongea na Wanaoitwa Wazee wa Dar es Salaam kuhusu kuongezeka kwa matukio ya ujambazi Jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake (maana Jiji ni Ilala tu) ambapo Mh Rais amemuagiza IGP kulishughulikia jambo hilo na kulikomesha haraka huku akiagiza yule...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu awasili Dar es Salaam akitokea Jijini Dodoma

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani amewasili Jijini Dar es Salaam kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na amepokelewa na Waziri Mkuu Mhesh Kassimu Majaliwa pamoja na Viongozi wengine wa Serikali. Mama Samia atazungumza na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam jioni ya leo katika...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kuzungumza na Wazee wa Dar es Salaam Ijumaa Mei 7, 2021

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Mei 7, 2021 anatarajia kuzungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika mkutano utakaofanyika ukumbi wa Mlimani City na kuhusisha wazee takriban 900. Hayo yameelezwa leo Alhamisi Mei 6, 2021 na mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Abubakar Kunenge...
  8. My Son drink water

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, unawajua Wakenya?

    Rais wangu na mama yangu Samia, kwanza nakupongeza sana kwa hatua uliyochukua ya kuanza kuboresha mahusiano ya kidiplomasia na Kenya kwa sababu yalianza kufa kimya kimya, yaani Tulikuwa na uhusiano wa kinafiki, ktk hili sina muda wa kulieleza kwa kina kwa sababu lipo wazi kabisa. Rais wangu...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ahutubia Mabunge ya Kenya: Biashara kushamiri, Vikwazo Mipakani kutatuliwa, Udugu kudumishwa

    Analihutubia Bunge la Kenya litakalojumuisha Wabunge wa Mabunge yote mawili ya nchi hiyo. ======= Rais Samia Suluhu Hassan Nina furaha kubwa kupata nafasi ya kuhutubia kikao cha pamoja cha Bunge la Seneti na la Kitaifa Nchini Kenya - Tanzania tuna Bunge moja. Kwangu, ndio mara ya kwanza...
  10. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia yuko serious kweli katika kuunda Kamati Maalumu ya Corona? Mbona haoneshi mfano wa kutilia maanani ugonjwa huu?

    Rais wetu huyu mpya majuzi katangaza kuwa ataunda sijui kamati ya Corona. Bado sijaelewa hasa lengo na madhumuni ya hiyo kamati yatakuwa ni yepi. Sasa ni zaidi ya mwaka na ushee tokea dunia ikumbwe na hili janga. Kwa jinsi mwelekeo wa hali unavyoonekana, janga hili ni kama vile linaelekea...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa JF mmeheshimishwa: Msimuangushe Rais Samia Suluhu, msijiangushe

    Kwa mara ya kwanza tangu kujulikana kwa Taifa la Tanganyika na baadae Tanzania. Hakujapata kutokea rais mwanamke Kama bahati ya mtende Mungu kawashushia mana. Nyota ya jaha imewawakia! Ni wakati wenyu sasa. Kuna wakati niliwahi kuandika hapa kwamba wanawake wa JF ndio wanawake bora zaidi...
  12. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Mjue Kanali Nyamburi Mashauri, ADC wa Rais Samia Suluhu

    Zama mpya na mambo mapya. Samia Suluhu Hassan ndio Rais mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya kula kiapo leo, akichukua nafasi ya Hayati John Pombe Magufuli. Baada ya kula kiapo, Rais Samia Suluhu (Double S) tukamuona mpambe mpya nyuma ya Rais Samia, kinyume na ilivyozoeleka na...
Back
Top Bottom