rais samia suluhu

Samia Suluhu Hassan
Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

More on WikiPedia
  1. K

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu Tanzania

    Mhe. Rais, nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwanza nianze kukupongeza kwa nafasi uliyonayo ambayo ni nafasi kubwa kiutawala wa mwanadamu katika Taifa letu. Pili, nikupongeze kwa jitiada zako na kiu yako yakutaka kuiona Tanzania inasonga mbele. Baada ya salamu naomba...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mdau: Mlitaka Rais afanye nini kuhusu tozo ya miamala ya simu?

    Katika awamu hii ya sita hakuna jambo ambalo linapaswa kupongezwa kama utulivu, hekima na maarifa aliyoyaonyesha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kipindi hiki ambacho alipitia magumu kama Rais wa Nchi kwa kupambana na mtikisiko wa kiuchumi kutokana na janga la korona ambalo ni kwa Dunia nzima kila...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kutana na viongozi wa upinzani mapema zaidi

    Wanaomshauri Rais Samia wamshauri akutane na viongozi wa upinzani sasa na akisubiri zaidi ndiyo itakuwa ngumu zaidi. Kwa sasa ni rahisi kukutana nao na kuwaambia umma ni kujadili corona, katiba, kujuana, amani ya nchi na miradi ya nchi. Usisubiri ukafanya mkutano wakati upinzani wana nguvu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ng'wasi Kamani: Vijana endeleeni kumuunga mkono Rais Samia

    Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana UVCCM Mhe. Ng'wasi Kamani amewaasa Vijana kuendelea Kumuunga Mkono Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ambaye anaendelea kuleta Maendeleo makubwa sana kwa Vijana na Jamii kwa ujumla. Ameyasema hayo kwenye Baraza Kuu la UVCCM Mkoa wa Shinyanga.
  5. JERUSALEM 2006

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asante sana, shikilia hapo hapo

    Kwa mara ya kwanza jana (tar.17/07/21) nilipata joto halisi la ongezeko la kodi katika miamala ya simu za mkononi. Niliumia sana kwani nilishindwa kutoa kiwango fulani cha pesa kwa ukosefu wa hela ya kutolea. Lakini katika tafakuri yangu, nilijikuta namsifu sana Mhe. Rais Samia kwa ujasiri wake...
  6. reg edit

    JamiiForums Tanzania Tozo za Miamala: Ushauri kwa Rais Samia Suluhu

    Mh. Rais, Inaonekana hili suala la tozo za serikali kwenye miamala ya simu halijapokelewa vizuri na watanzania walio wengi, hivyo basi mimi nikushauri ujitokeze mbele ya watanzania kwa unyenyekevu kabisa uwaombe watanzania wakubali hizo tozo na uwahakikishie kuwa hizo pesa zitatumika...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Burundi: Kwanini Viongozi wetu wakuu wameelekeza nguvu zao huko?

    Leo Rais Samia Suluhu Hassan anaanza ziara ya siku mbili nchini Burundi. Huyu ni kiongozi wa tatu wa juu kutembelea nchi hiyo ndani ya awamu hii ya sita. Alianza Makamu wa Rais Dr. Philip Isidor Mpango akafuata Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Nchi hii inaumuhimu gani kwetu kwa viogozi wetu wakuu...
  8. Maneno Meier

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

    Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler! Mimi nilifikiri tunaondokana na treni zenye muundo wa kutisha za enzi za George and Robert Stephenson na kuingia kwenye era ya...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Siku 100 za Rais Samia Suluhu, Tundu Lissu Amsifia sana, ataka maboresho zaidi ya kimfumo

    Akiwa katik maahijiono ya maswala mbali mbali ya kisaisa, kijamii na uchumi nguli huyo wa sheria na siasa za afrika mashariki amejikita ktk maswala ya 1. Haki 2. Ukweli na usuluhishi 3. Mabadiliko ya katiba 4. Harakati za kisiasa 5. Mageuzi katika uchumi wa Tanzania 6. Maendeleo endelevu. Tundu...
  10. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hivi CCM hawajakuelewa au hukueleweka suala la mikutano ya kisiasa?

    Ni wiki sasa tukianzia kule Zanzibar tumeona kamati ya Uongozi ya CCM ikifanya mikutano ya kisiasa , lakini pia nimeona trend ya Chadema wakiendelea na oparesheni haki kwenye mikoa mbalimbali hapa nchini japo nadhani wao wanafanyia ndani (sina uhakika). Lakini Mh Rais alikuwa ametoa kauli kuwa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: Rais Samia Suluhu achague kutenda haki kwa kuwatumikia Watanzania masikini au kuwatumikia CCM

    Waraka huu wa kukushauri tu, ninavyowafahamu waislam ni watu wanaohubiri haki japokuwa swala ndiyo yenye nguvu kubwa ktk Uislam. Yalipo kwenye utangulizi wa waraka wangu , moja linabeba pepo na jingine jehanam. Kuwatumikia CCM wachache kwa maslahi yao ni sawa na mwislamu aliyesoma elimu dunia...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Barrick, Mark Bristow atua nchini, aonana na kumpongeza Rais Samia. Je, kutua 77 Banda la Barrick?

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Serikali na Barrick zathibitisha umuhimu wa kushirikiana Dodoma, Julai 7, 2021 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amekutana na Rais na Afisa Mtendaji Mkuu wa Barrick Gold Corporation (NYSE:GOLD)(TSX:ABX), Mark Bristow jijini...
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia Suluhu ndo Deng Xiaoping wa Tanzania?

    Amani iwe nanyi wadau Leo ninakuja na Swali hili, Je, Rais Samia Suluhu Hassan ndo Deng Xiaoping wa Tanzania? Kwa wale msiojua Deng Xiaoping ni Rais wa China aliyechukua usukani wa Uongozi wa China baada ya kifo cha Rais wa Kwanza wa China Mao Zedong. Mao Zedong alijulikana kwa wachina kama...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu, usiige yote aliyofanya mtangulizi wako, wala ushauri wa wachache ndani ya chama chako. Fanya matakwa ya Wananchi na sheria

    Saalam, Wewe ni Rais wa Watanzani wote, waliona vyama na wasionavyo walio na dini na wasio nazo. Wenye elimu, na wasio na elimu ambao ni wengi. Matajiri na masikini ambao ni wengi. Wananchi wa Tanzania wanahitaji Katiba mpya ambayo itawahakikishia Uhuru wa kweli wa kuamua mambo yao na kupata...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukataliwa na wananchi, CHADEMA wanajigeuza mgambo

    Ndugu zangu, Ni dhahiri sasa Chadema wamefikia hatua ya kujigeuza migambo. Wanataka kila wasemalo au watakalo lifanyike. Wanajiona wao ndio wanastahili "attention" ya wananchi. Rais Samia anajitahidi kukutana na makundi muhimu katika jamii kama vile wazee, wakinamama, vijana, viongozi wa dini...
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

    Wanaukumbi, Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1. Katiba Mpya au kupambana na 2. Janga la Corona na 3. Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini? Sisi Watanzania tumechagua...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango, awasili nchini Ufaransa kwa ajili ya kumuwakilisha Rais Samia Suluhu kwenye Jukwaa la Kizazi Chenye Usawa

    MAKAMU wa Rais wa JMT, Dk. Philip Mpango, amewasili nchini Ufaransa kwa ajili ya kumuwakilisha Rais Samia Suluhu kwenye Jukwaa la Kizazi Chenye Usawa (Generation Equality Forum) linalofanyika jijini Paris kuanzia leo Jumatano Juni 30 na kumalizika Julai 2, 2021. Chanzo: Nipashe
  18. T

    JamiiForums Tanzania Itapendeza zaidi kuomba radhi, kulinda hadhi ya kuendelea kuitwa mama

    Mama omba radhi Watanzania kauli yako ya kusubiri kwanza kufufua uchumi ndiyo turuhusu marekebisho ya katiba na mikutano ya kisiasa hii umechemka. 1. Utachukiwa kuliko hata JPM 2. Utapoteza heshima ya kuitwa mama 3. Utazalisha akina Sabaya na Makonda wengi kuliko JPM 4. Unaweza kuwa Rais wa...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Rais Samia suala la Mikutano ya Kisiasa ni la Kisheria. Huwezi kuomba na kujipa mwenyewe ulichoomba, bila kukubaliwa na wale uliowaomba

    Kumbe Rais Samia alikuwa na mkutano na kundi fulani la watu! Sikufuatilia aliongea nini, kwa sababu huwa napata taabu sana kufuatilia mikutano ya Wanasiasa iwe wa chama tawala au upinzani. Hata hivyo, kupitia mijadala mbalimbali nikagundua nikakutana na hoja za SSH "hataki" mikutano ya vyama...
  20. seedfarm

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu umeanza kuwa Dikteta mapema kuliko hayati John Pombe Magufuli

    Kauli ya Rais Samia kuminya uhuru wa Raia na vyama vyao vya siasa kwa kutozingatia katiba na sheria ameingia kwenye rekodi mpya kama Rais Mwanamke wa kwanza Africa kuwa Dikteta. Siku ya 101 madarakani, Rais Samia Suluhu tayari ameanza kulewa sifa na mapambio. Ameamua kuendelea kuminya uhuru wa...
Back
Top Bottom