rais samia suluhu

Samia Suluhu Hassan
Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

More on WikiPedia
  1. Gwajima

    JamiiForums Tanzania Jarida la Africa Intelligence laripoti uhusiano kati ya Rais Samia na Dkt. Kikwete

    Hili jarida linamilikiwa na nani? Ofisi zao ziko nchi gani? Kilichoandikwa hapa ni ukweli au ni uongo? Nikinukuu aya yakwanza katika makala hii "After having been ignored by John Magafuli, former president Jakaya Kikwete is back in business as Samia Suluhu Hassan's confidant." Kama kweli basi...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Siku ya Demokrasia Duniani (2021): Rais Samia azungumza na Wanawake wa Tanzania, jijini Dar es Salaam

    Siku ya Demokrasia Duniani huadhimishwa kila Septemba 15, ikitoa fursa ya kuangalia hali ya Demokrasia ulimwenguni kote. Miongoni mwa misingi muhimu ya Demokrasia ni kuheshimu #HakiZaBinadamu Umoja wa Mataifa (UN) umesisitiza Nchi kuheshimu na kulinda Uhuru wa Kujieleza, Uhuru wa Habari pamoja...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu, ahsante kwa nilichokisia wakati wa uapisho wa viongozi

    Leo nimesikia maneno mazuri kutoka kwako ambayo nilihitaji kutasikia kwa muda mrefu sana, nakushukuru sana sasa naona umeamua kazi kazi Tafadhali Rais wangu usicheke na kima hapa tutavuna mabua, kwakweli kwakweli niseme wazi upole wako unawafanya watu wakuone dhaifu na kukudharau. Lakini...
  4. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amemteua Dk Abdul Rahman Shabani Mwanga kuwa Kamishina wa Madini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais Samia, amemteua Dkt. Abdul Rahman Mwanga kuwa Kamishna wa Madini. Kabla ya uteuzi huu, Dkt. Mwanga alikuwa Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Madini na Mazingira, Tume ya Madini, Dodoma. Dk Mwanga Anachukua nafasi ya Mhandisi David Mulabwa.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Tamasha la siku mbili la utamaduni wa Mtanzania limeanza leo katika viwanja vya msalaba mwekundu

    Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) kwa kushirikiana na Kituo cha Makumbusho cha Bujora Mwanza wameandaa tamasha kubwa la utamaduni lenye lengo la kurithisha utamaduni wetu kwa vizazi vyetu vya sasa litakalofanyika katika viwanja vya Redcross Kisesa Jijini Mwanza kuanzia leo Jumanne Septemba 07...
  6. Maneno Meier

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, nakuomba angalia upya Mradi wa BRT Dar

    Niende moja kwa moja kwenye mada yangu ya leo ninayotaka kuizungumzia. Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wetu, nakuomba chonde chonde kuuangalia upya mradi wa BRT unao endelea kujengwa jijini Dar es salaam. Kwa uzoefu mkubwa nilio nao na analysis yangu ndogo niliyo ifanya naona kuwa huu mradi...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, unda tume huru kuchunguza mauaji ya Hamza

    Leo DCI ametoa taarifa aliyoiita kuwa ni matokeo ya uchunguzi. Kwangu mimi, na nadhani kwa Watanzania walio wengi, Polisi hawakuwa taasisi sahihi ya kufanya uchunguzi wa mauaji yaliyofanywa na Hamza dhidi ya polisi na pia kifo chake yeye mwenyewe Hamza. Kwa nini? Katika tukio la mauaji ya...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Royal Tour: Kwanini Rais Samia asingewapa Watanzania wenye ushawishi kufanya kazi hii?

    Maisha haya ni mazuri na kwa wengine ni machungu. Machungu tuliyonayo sijui yeye kwake ni mazuri. Mama sasa rasmi naye anatengeneza dokumentari yake ya utalii, sijui ya nini. Lakini je, hafahamu kuwa yeye ni Rais na muda anaotumia kwenda huku na kule kuna gharama za kila alipo. Kwanini...
  9. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania CCM tukikubaliana na haya, 2025 tumekwisha na tusahau kabisa kutawala tena

    Mnajua ndugu zangu wanaccm na msiokua wanaccm kuna mambo tusipoyasema ipo siku uhalisia utatuumbua, sioni haja ya kuficha nikiwa kama mtumishi mwema wa chama na raia mzalendowa taifa langu. Haya mambo tukiyaruhusu 2025 basi ndio mwisho wetu na tusahau tena dola. 1. Serikali ikiruhusu kuundwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Royal Tour: Rais Samia asimama Jimbo la Kawe na kusikiliza wananchi kupitia Mbunge wao, Askofu Gwajima

    Tukio liko mubashara ITV Rais Samia akiwa na mbunge wa Kawe wanahutubia wananchi wa jimbo la Kawe eneo la Tegeta manispaa ya Kinondoni. Kwa sasa askofu Gwajima amepanda kwenye gari ya Ikulu na anatoa salamu za shukrani kwa Rais Samia kwa niaba ya wananchi. Gwajima anasema wananchi wa Kawe...
  11. MUSIGAJI

    JamiiForums Tanzania Mpaka muda huu, kuna yeyote aliyepata mrejesho wa ya tamko la tozo?

    WanaJF, Kutokana na kauli ya msemaji ww serikali aliyoitoa juzi, Leo ndo siku ya tamko rasmi juu ya mustakabali wa tozo za miamala. Je, mpaka muda huu, kunaueyote ambaye amepata update ya tamko tajwa atujuze?
  12. Chee4

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anakuza utalii wetu kupitia 'The Royal Tour’

    Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanza kurekodi kipindi maarufu cha 'The Royal Tour' kwa lengo la kuitangaza Tanzania kwenye Sekta ya Utalii, Biashara na Uwekezaji. Faida ya Mhe. Rais kurekodi Kipindi cha 'The Royal Tour' ● Kipindi kitarushwa kwenye Mabara na Nchi Kubwa kama...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu tumia madaraka yako mwachie huru Mbowe

    Kwa heshima kubwa Mheshimiwa Rais SSH nawasilisha kwako ombi maalum kwamba, kwa mamlaka uliyo nayo na kwa kutumia ofisi zilizopo kikatiba mwachie huru Ndg. Freeman Aikael Mbowe. Hoja yangu naijenga katika misingi ya kuliponya Taifa na majeraha ya chuki na kutokuelewana. Mhe. Rais nakariri...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aanza kurekodi kipindi maarufu cha ‘Royal Tour’ kuitangaza Tanzania kimataifa kupitia vivutio ya utalii

    President Samia Suluhu Hassan has kicked off the recording of a documentary titled 'Royal Tour'. The recording of the documentary that is meant to promote Tanzania internationally started on August 28, 2021 in Zanzibar where the President is on an official visit. According to a statement...
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Polisi ipo kuhudumia wananchi na sio kuwadidimiza

    Baadhi ya Watumishi wa Jeshi la Polisi wanashutumiwa kutofanya Haki kwa Jamii, akisema hali hiyo inapotokea Jeshi linakuwa mstari wa mbele kujitetea pasipo kuangalia upande wa pili. Ametolea mfano tukio la uvamizi wa bucha za nyama miezi kadhaa iliyopita na kusema "Walipolalamika mkasema...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Polisi angalieni upya taratibu zenu za upelelezi, kuwaweka watu mahabusu muda mrefu ni gharama kwa Serikali

    Rais Samia ameliagiza jeshi la polisi kuhakikisha linakamilisha upelelezi kwa haraka na kuwaachia huru watuhumiwa ambao kesi zao hazina mashiko. Rais amesema hivi sasa idadi ya wafungwa inakaribiana kuwa sawa na idadi ya mahabusu. Kadhalika Rais Samia amemtaka IGP Sirro kuhakikisha hawatumii...
  17. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ilituficha kuugua kwa Dkt. Magufuli?

    Kama sikosei, mpaka sasa Rais Samia keshaongea na waandishi wa habari kama mara mbili hivi. Ni zaidi ya mwezi sasa tokea alipoongea na wahariri wa vyombo vya habari/ waandishi wa habari toka ikulu ya Dar es Salaam. Wiki moja au mbili zilizopita, akafanya mahojiano na Salim Kikeke wa BBC...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Huenda Rais Samia anawaamini wasaidizi wake walioshiba wanapowasemea wenye njaa

    Nachukua fulsa hii kumpongeza mama kwa kazi kubwa anazo zifanya kwa taifa hili tena ukizingatia amepokea kijiti kama mpira wa krosi ya kubabatizwa, lakini anajaribu kuutuliza mpira utulie hili aweze kuucheza. Nikirudi katika mada Hili lilionekana zaidi ile siku alipokuwa akihojiwa na Idhaa ya...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Uchaguzi Mkuu wa 2020 ulifanyika vizuri sana

    Ujumbe huu mzito ameutoa leo alipokuwa akipokea Taarifa ya Uchaguzi mkuu wa 2020 iliyoandaliwa na NEC kwenye viwanja vya Ikulu ===== Rais Samia amewapongeza Watanzania kwa kushiriki kikamilifu kuanzia zoezi la uandikishaji, kupiga kura na kushiriki uchaguzi mkuu huo ambao chama chake Chama...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Kwa utendaji huu ukimlinganisha na Hayati Magufuli, ni busara Rais Samia asigombee 2025

    Labda wengine mnajua, ila binafsi tunashindwa kuelewa nchi inaelekea wapi. To be honest, licha ya mapungufu yake kama Rais JPM nchi ilikuwa na direction. JPM alifanikiwa kuweka direction ya nchi ikiwa ni pamoja na mkazo katika sector kadhaa ambazo alizisimamia ipasavyo. Ila sasa sijui nchi...
Back
Top Bottom