rais museveni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ESCORT 1

    Rais Museveni akemea kitendo cha Trump kushambuliwa kwa risasi, ampa pole

    Ukistaajab ya Musa utayaona ya firauni. Ndio!! Rais wa Uganda Yoweri Museveni kupitia ukurasa wake wa twitter, amekemea shambulio la risasi alilofanyiwa Donald Trump na kumpa pole. Rais Museveni amedai vurugu za kisiasa zinaweza kusababisha demokrasia isichukue nafasi yake🤣 Yapi maoni yako...
  2. Cute Wife

    Ahukumiwa jela miaka 6 kwa kumtukana Rais Museveni

    Mahakama moja iliyopo Entebbe Nchini Uganda imemuhukumu kifungo cha miaka sita jela TikToker mwenye umri wa miaka 24, Edward Awebwa baada ya Kijana huyo kuchapisha video fupi kwenye akaunti yake ya TikTok akimtusi na kumkashfu Rais wa Uganda Yoweri Museveni, Mke wa Rais, Janet Museveni, na Mtoto...
  3. Nehemia Kilave

    Mwenyekiti Mbowe, Kagame na Museveni ni mifano hai ya Viongozi wa Afrika. Tuipinge kwa Nguvu hii tabia

    Viongozi wengi wa Africa wakiingia Madarakani huamini wao ndio pekee wanaweza kuongoza na hata kama mambo yakienda vibaya bado huamini wenyewe pekee ndio huweza yaweka yakae sawa . Tabia hii ni ya kupingwa kama mtu mzalendo sana ni bora uweke katiba nzuri ya Nchi au Chama ili kila anae ingia...
  4. ChoiceVariable

    Uganda: Museveni agoma kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha hadi Bunge lifute Bilioni 750 za OC

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda amekataa kusaidini muswada wa Fedha hasi hapo Bunge litakaporejesha pesa kiasi Cha Bilioni 750 zilizotengwa Kwa matumizi mengine ya serikali ambayo hayajabainishwa wazi.👇👇 Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amekataa kutia saini Muswada wa Matumizi ya Pesa za Bajeti...
  5. Papaa Mobimba

    SI KWELI Rais Museveni amteua mwanaye Natasha Museveni kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Uganda

    Nimeona taarifa hiyo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa mwanaye huyo ameteuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Uganda. Wengi wamehusisha uteuzi huo kuwa ni kuimarisha familia yake ambapo Mkewe Mama Janet Museveni ni Waziri wa Elimu kwenye Serikali, Mwanaye wa Kwanza Muhoozi ni Mkuu wa...
  6. and 998 others

    Tetesi: Rais Museveni kumzika Mwinyi Unguja

    Rais wa Uganda, Yoweri Museveni anatarajia kuwasili Zanzibar kwa ajili ya Maziko ya rafiki yake Hayati Mwinyi. Ikumbukwe Museveni na Mwinyi walipata madaraka ya Rais miaka ya 1985/86 Ila mmoja mpaka Leo yupo madarakani
  7. BARD AI

    Rais Museveni aidhinisha fungu la Tsh. Bilioni 332.5 kwaajili ya Wabunifu wa Teknolojia, Afuta Kodi kwa Wabunifu Wafya

    Rais Yoweri K. Museveni amesema Bajeti hiyo itakuwa ikitengwa kila mwaka ikiwa na lengo la ili kukuza ubunifu wa Kiteknolojia nchini humo pamoja na kuwapa motisha Wabunifu wanaoingia kwenye Soko la Teknolojia. Kwa upande wake Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Ubunifu Dk Monica Musenero...
  8. Suley2019

    Rais Museveni aagiza ongezeko la mshahara kwa wahadhiri wa masomo ya sayansi

    Rais Museveni ametoa agizo kwa serikali kuongeza mishahara ya walimu wanaofundisha programu za sayansi katika vyuo vikuu vya umma. Agizo hili limetokana na taarifa iliyotolewa na Profesa Eli Katunguka, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kyambogo, ambaye alionyesha wasiwasi kuhusu changamoto...
  9. Roving Journalist

    Rais wa Uganda, Museveni akutana na Naibu Waziri Mkuu, Doto Biteko

    Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museveni amekutana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko Ikulu ya Entebbe nchini humo ili kupokea salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kufuatia Sherehe za Miaka 61 ya Uhuru wa Nchi ya Uganda...
  10. Lady Whistledown

    Uganda: Barabara kufungwa kupisha Sherehe za Siku ya kuzaliwa Rais Museveni

    Askari wa Usalama Barabarani wametangaza kufunga barabara jijini Kampala kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha Miaka 79 ya kuzaliwa kwa Rais Yoweri Museveni, Septemba 8, 2023, zitakazofanyika katika Uwanja wa Uhuru na kutarajiwa kuhudhuriwa na watu zaidi ya 100,000 kutoka Nchi mbalimbali Sherehe...
  11. BARD AI

    Rais Museveni awajibu Benki ya Dunia: Tutaendelea hata bila Mikopo yenu"

    Rais Yoweri Museveni ametoa kauli hiyo baada ya WB kutangaza kusitisha Ufadhili na Mikopo yote mipya iliyoombwa na Serikali kutokana na Nchi hiyo kupitisha Sheria inayozuia Mapenzi ya Jinsia moja. Museveni amesema "Inasikitisha kuona Benki ya Dunia na wahusika wengine wanathubutu kutulazimisha...
  12. BARD AI

    Umoja wa Mataifa wafunga Ofisi za Haki za Binadamu baada ya Rais Museveni kukataa kutoa kibali kingine

    Kwa mujibu wa Kamishna wa Haki za Binadamu wa UN, hatua hiyo inafuatia uamuzi wa Serikali ya Rais Yoweri Museveni kutohitaji kuendelea kwa Makubaliano ya uwepo wa Ofisi hizo nchini humo. Katika taarifa yake, UN imetilia shaka kukosekana uwazi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2026...
  13. M

    Rais Museveni aeleza jinsi NATO ilivyowapiga mkwara marais wa Africa wasiende Libya kutafuta suluhu kipindi cha vita ya Libya

    Akihutubia bunge la Pan Africa miaka kadhaa iliyopita Museveni ameeleza kuwa, umoja wa nchi za Africa uliunda kamati ya usuluhishi ya marais kadhaa wa Africa kwenda kutafuta Suluhu huko Libya lakini NATO ikawaambie wageuze hakuna kuingia Libya. Hii video ilikuwa ni kama imefichwa hivi kwa miaka...
  14. BARD AI

    Rais Museveni apona COVID-19, ajinadi yeye ni Veterani kwa kuushinda Ugonjwa huo

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza kuwa hatimaye amepona virusi vya ugonjwa wa Covid-19 baada ya vita vya wiki mbili na virusi hivyo. Mkuu huyo wa nchi mwenye umri wa miaka 78, katika taarifa yake Jumapili, alisema kwamba matokeo ya vipimo yalirudi yakionesha kuwa hana Covid na sasa...
  15. BARD AI

    Rais Museveni akutwa na Maambukizi ya COVID-19

    Wizara ya Afya Uganda imesema Kiongozi huyo alianza kupata dalili za homa ya Mafua makali ingawa hali yake sio mbaya na anaendelea na kazi zake kama kawaida huku akipata matibabu. Mapema Juni 7, 2023 baada ya kutoa hotuba kwa Taifa katika viwanja vya Bunge, Museveni (78), alidokeza kuwa huenda...
  16. FaizaFoxy

    Rais Museveni na watu wa Uganda waungwe mkono, asema Mufti Mkuu wa Oman

  17. Lady Whistledown

    Wabunge waandamana kupinga Bajeti ya Tsh. Milioni 220.6 kununua mavazi ya Rais Museveni

    Wabunge wa upinzani wameandamana kupinga bajeti ya Tsh. Milioni 220.6, sawa na Ush. Milioni 350 iliyopendekezwa kwa ajili ya Nguo, Vitanda, na Viatu vya Rais Yoweri Museveni, kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Kwenye bajeti iliyopendekezwa kwa Mwaka wa Fedha 2023/24, jumla ya Tsh. Bilioni 150.6 sawa...
  18. benzemah

    Julius Malema anaongoza maandamano kuunga mkono ushoga na usagaji na kumpinga Rais Museveni

    Kiongozi wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini, Julius Malema, ameongoza maandano akiwa amevaa bendera inayotumiwa na jamii ya wanaounga mkono mapenzi ya jinsia moja akiongoza waandamanaji kumpinga Rais wa Uganda, Yoweri kufuatia kutungwa kwa sheria inayozuia masuala ya mapenzi ya...
  19. BARD AI

    Mtoto wa Rais Museveni asema Uganda itaisaidia Urusi Wanajeshi wake ikiwa itatishiwa na Mabeberu

    Mtoto wa kiume wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni Muhoozi Kainerugaba alitangaza siku ya Alhamisi kwamba nchi yake itatuma wanajeshi kuilinda Moscow ikiwa itakabiliwa na vitisho. "Niite 'Putinist' ukipenda, lakini sisi, Uganda tutatuma wanajeshi kuilinda Moscow ikiwa itawahi kutishiwa na...
  20. BARD AI

    Mtoto wa Rais Museveni atangaza kustaafu utumishi wa Jeshi mwaka huu

    Mtoto mkubwa wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni anasema kuwa atastaafu kutoka jeshi mwaka huu, baada ya karibu miongo mitatu ya kuhudumu ndani ya Jeshi. Muhoozi Kainerugaba, jenerali wa jeshi, alitoa tangazo hilo katika chapisho la Twitter. "Nitastaafu UPDF mwaka huu," alitweet. Alitoa tangazo...
Back
Top Bottom