Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
Askari wa Usalama Barabarani wametangaza kufunga barabara jijini Kampala kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha Miaka 79 ya kuzaliwa kwa Rais Yoweri Museveni, Septemba 8, 2023, zitakazofanyika katika Uwanja wa Uhuru na kutarajiwa kuhudhuriwa na watu zaidi ya 100,000 kutoka Nchi mbalimbali

Sherehe hizo za kuzaliwa zinasemekana kuandaliwa na kundi la Vijana, wakiongozwa na Mratibu wa Kitaifa katika Ofisi ya Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha National Resistance Movement (NRM) Hadijah Uzeiye Namyalo

Aidha, licha ya sherehe hiyo iliyowekwa Septemba 8, Siku ya kuzaliwa ya Rais Museveni itaadhimishwa wiki moja baadaye Septemba 15, 2023

...........

Several roads are set to be closed in Uganda's capital of Kampala on Friday for celebrations to mark President Yoweri Museveni’s 79th birthday.

Kampala Metropolitan Traffic Police Commander, Senior Superintendent Godwin Arinaitwe, issued the traffic directive on Thursday saying the event which will take place at Kololo independence grounds is likely to attract about 100,000 guests.

“We are expecting around 100, 000 guests who will be coming from different parts of the country. We appeal to the guest public to be vigilant but also follow the traffic guidelines we have temporary disruptions to traffic flow,” Arinaitwe was quoted as saying by the Nile Post.

The police chief said the Golf Course traffic lights towards Acacia Avenue would be accessible, but motorists would be barred from using Upper Kololo Terrace, Elgon Terrace and Lower Kololo Terrace which would be preserved for VVIPs.

Road users from Bombo Road have been diverted to Old Kira Road, Lugogo bypass and park at KCCA grounds behind Shoprite while those coming from Jinja Park at UMA showgrounds.

“If you are coming from Entebbe side you can use Kampala Road, Jinja road traffic lights, Lugogo bypass and pass at KCCA grounds. Those coming from Nansana can use Yusuf Lule road, Golf Course traffic lights, Nakumatt, Jinja road traffic lights, Wampeewo roundabout and park at KCCA grounds or UMA show grounds,” stated Arinaitwe.

At the same time, motorists moving from Prince Charles Drive will be diverted through Archer Road Junction up to Jinja Road police station as they join the main road.

The police boss therefore urged road users in the affected regions to follow the traffic advisory in order to avoid inconveniences.

The much-hyped birthday celebrations are said to have been put together by a group of youth, led by the National Coordinator in the Office of the ruling National Resistance Movement (NRM) party National Chairman Hadijah Uzeiye Namyalo.

Despite the fete set for September 8, President Museveni’s birthday actually falls a week later on September 15.

Source: Citizen Digital
 
Wasalaam JF,

Huko nchini Uganda kuna sherehe ya birthday ya Museveni akifikisha umri wa miaka 79 na ndoa yake ikiwa na miaka 50. Katika hali ya kushangaza baada ya M7 kuwa na hali ya tiamaji tiamaji kiafya mwaka huu wa 2023 na kunusurika kuwa mwendazake naona ameamua kuifanya iwe ni hamfla yenye vibes.

Naomba kama wadau wa East Africa tuweke macho na masikio yetu kwenye luninga za Uganda kwenye network zenu hasa za TV.

Nimeona niwajuze Bazzukulu wenzangu wote.

The legend has his birthday which has a nationwide manifestation of how life is important.

Long live Mzee M7

Wadiz
Huko huko kwenu, sisi inatuhusu nini? Sielewi barabara kufungwa eti besidei ya bosi! Hamna vitu vya maana vya kufanya? Mwambie aachie madaraka aende apumzike na wajukuu!
African leaders; SHAME!
 
Back
Top Bottom