Rais Museveni akemea kitendo cha Trump kushambuliwa kwa risasi, ampa pole

ESCORT 1

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
1,311
2,608
Ukistaajab ya Musa utayaona ya firauni.

Ndio!! Rais wa Uganda Yoweri Museveni kupitia ukurasa wake wa twitter, amekemea shambulio la risasi alilofanyiwa Donald Trump na kumpa pole.

Rais Museveni amedai vurugu za kisiasa zinaweza kusababisha demokrasia isichukue nafasi yake🤣

Yapi maoni yako?

==========================
I learnt of the assassination attempt on His Excellency Donald Trump's life on Saturday, July 13, 2024, during a campaign rally in Butler, Pennsylvania.

On behalf of the Government and people of Uganda, and on my own behalf, I wish to convey our deep and heartfelt sympathies to His Excellency. At the same time, I condemn this despicable and cowardly assassination attempt that put his life and that of his supporters at risk.

I also extend my deepest condolences to the family that lost their loved one. As freedom fighters and peace-lovers, we condemn political violence because it threatens democracy wherever it manifests.
I wish His Excellency and all those injured a speedy recovery. Our thoughts and prayers are with them.
 
  • Thanks
Reactions: rr4

mbona yeye anamshanbulia Bob Wine kila siku
 
Yoweri ni mtu poa sana . Mtu mcheshi sana . Huwa nina furahi sana kumuangalia akiwa anaongea na kufanya mambo mbali mbali.

KINGINE KAMA TAIFA LA TANZANIA , TUMUUNGE MKONO MHE. RAISI wetu SAMIA SULUHU HASSAN , nae ni kiongozi mwenye upendo wa dhati . Kiongozi bora ni yule mpenda watu kuanzia jamii yake paka ya jirani . Mungu bariki viongozi wetu wa Afrika . Mungu ibariki Tanzania
 
Rais Samia Suluhu Hassan amelipongeza Jeshi la Polisi nchini kwa kutekeleza mapendekezo ya Tume ya Haki Jinai pamoja na maelekezo ambayo amekuwa akilipatia ambapo amesema kwa sasa nchi imetulia na shughuli za kisiasa zinaendelea.
 
Naona ameshasahau kwamba huyo mshenzi wa kimarekani Trump aliita nchi yake shithole.
 
Back
Top Bottom