rais museveni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni wa Uganda Awasili Nchini Tanzania kwa Ziara Rasmi

    Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amewasili jijini Dar kwa ziara rasmi ya siku mbili kuanzia tarehe 5-6 Agosti 2026, kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Rais Museveni pamoja na ujumbe wake amepokelewa katika Uwanja...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni; Africa iliachwa nyuma kimaendeleo na Asia kwa sababu ya kutaifisha biashara za sekta binafsi.

    Huyu mzee ana madini hatari. Msikilize https://www.facebook.com/share/v/18Z3GKN5RQ/
  3. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Video: Museveni ala kiapo Urais Uganda 2026-2031

    Rais Museveni mwenye umri wa miaka 81 leo Mei 12, 2026 ameapishwa rasmi kuwa Rais wa Uganda kwa muhula wa 2026 hadi 2031. Hafla hiyo ya uapisho imefanyika katika uwanja wa Kololo ambapo pia Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amehudhuria sherehe hiyo ya uapisho Katika...
  4. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni awafunza wabunge jinsi ya kutumia bunduki

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni aliwafundisha wabunge jinsi ya kupiga risasi katika Taasisi ya Uongozi wa Taifa (NALI) iliyopo Kyankwanzi ambapo pia aliitumia fursa hiyo kusisitiza ulinzi wa taifa, nidhamu na mapambano dhidi ya rushwa. Tukio hili lilikamilisha mafunzo ya wiki moja waliokuwa...
  5. Al maktoum

    JamiiForums Tanzania Mkono wa kushoto wa rais Museveni una tatizo gani?!

    Kwanini mkono wa kushoto wa Museveni haunyooki vizuri, au ni bandia?
  6. Al maktoum

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mkono wa kushoto wa rais Museveni una tatizo gani?!

    Kwanini mkono wa kushoto wa Museveni haunyooki vizuri, au ni bandia?
  7. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Miaka 40 akisubiri ahadi ya Rais Museveni ya nyumba, ardhi na gari

    Jonathan Isanga Mugeere mwanajeshi mkongwe mwenye umri wa miaka 72 anayeishi katika Wilaya ya Luuka, ametoa wito kwa Rais Museveni kutekeleza Ahadi alizotoa mwishoni mwa mapambano ya Ukombozi ya Jeshi la NRA mwaka 1986 ikiwemo nyumba ya kisasa, gari na ardhi, akidai ni miongo minne sasa ahadi...
  8. onemediaonline

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni awasili Tanzania kwa ziara ya kikazi

    #onemediaupdates🇹🇿 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Februari, 2026.
  9. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Untold story: Idd Amin alisafiri kwenye Zaire kisiri siri kumpindua Yoweri Museveni

    In January 1989, Idi Amin attempted to return to Uganda by traveling to Kinshasa, Zaire (now the Democratic Republic of the Congo), but his plan was thwarted Details of the Failed Attempt Travel and Detection: Amin, traveling with one of his sons on a false Zairian passport and in a disguise...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni: Miundombinu ya Intaneti imilikiwe na serikali siyo Kampuni binafsi

    Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amesema kuwa miundombinu ya intaneti haipaswi kumilikiwa au kutawaliwa na kampuni binafsi, akisisitiza kuwa udhibiti wa serikali ni muhimu ili kuhakikisha gharama zinabaki kuwa nafuu kwa wananchi. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusababisha Watu Wafe na kutofanikiwa kwa alichokitaka, sasa kahamia kwa Museveni na Kagame na bado Majuha mnamuamini tu

    Anachokifanya sasa ni Kuzusha tu mara Museveni mara Kagame na tunajua soon atahamia pia Kumshutumu Chapo. Eti Museveni anaitaka Kagera (Bukoba) kwakuwa Nyerere aliichukua Kinguvu. Yaani Museveni huyu huyu ambaye hadi leo anaishukuru Tanzania kwa Kumuondoa Amini na kumsaidia Yeye kuikomboa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Sanamu za Rais Museveni zatumika kufanya kampeni maeneo asiyokuwepo kuelekea uchaguzi wa 2026

    Ugandan President Yoweri Museveni statues are seen campaigning on his behalf ahead of the upcoming 2026 elections. Pia soma > Rais Museveni aidhinishwa na Chama chake (NRM) kuwa Mgombea Urais 2026
  13. W

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Museveni asema hii ndiyo mara yake ya mwisho kugombea Urais, kisha atamuunga mkono Bobi Wine

    Uganda president Yoweri museveni says this is the last time he is vying for presidency in Uganda, urges Ugandans to come in large numbers and vote for him for the last time.
  14. W

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni azindua gari la kisasa la zimamoto "Muliro Eater"

    Rais Yoweri Museveni ameizindua gari jipya la kisasa la kuzima moto nchini Uganda, linaloitwa “Muliro Eater”. Gari hili limebuniwa na Shirika la Uzalishaji wa Taifa (NEC) kupitia mradi wa All Terrain Fighting Project huko Nakasongola, na limekusudiwa kuzima moto hata kwenye maeneo magumu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Polepole kumtumia Rais Museveni kama mfano ni mfu

    Kama kweli lengo la Museveni lingekuwa mfano wa kuigwa, basi yeye mwenyewe angeonekana mnafiki, kwa sababu alimfanya mwanaye Muhoozi kuwa Mkuu wa Majeshi na wengine akawapa vyeo vikubwa serikalini. Kabla ya kumsema mwingine, Rais Museveni alipaswa kuanza kwa kutoa kibanzi kilichoko kwenye jicho...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mwanafunzi wa Makerere aliyetekwa nyara akisubiri hukumu dhidi ya matumizi mabaya ya kompyuta

    Mtayarishaji wa maudhui wa TikTok na mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Makerere, Elson Tumwine, anasubiri kusomewa hukumu baada ya kukiri kosa la kuhariri taarifa inayodaiwa kuwa ya Spika wa Bunge, Anita Among, kuhusu msamaha wa hivi karibuni wa Rais Yoweri Museveni kwa Buganda. Upande wa mashtaka...
  17. W

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Muhoozi atangaza kwa mara nyingine nia ya kumrithi rais Museveni

    Jenerali Muhoozi Kainerugaba, mshauri mwandamizi wa rais na mtoto wa Rais Yoweri Museveni, ameibua tena gumzo nchini baada ya kutangaza wazi nia yake ya kuwania urais kupitia ujumbe wa mitandaoni wenye kauli ya kidini. "Kwa jina la Yesu Kristo Mungu wangu, nitakuwa Rais wa nchi hii baada ya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni aidhinishwa na Chama chake (NRM) kuwa Mgombea Urais 2026

    Chama tawala nchini Uganda (NRM) kimemuidhinisha rais wa muda mrefu wa nchi hiyo Yoweri Museveni mwenye umri wa miaka 80, kuwa mgombea wake wa urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2026. Museveni amekuwa rais wa Uganda kwa miaka 39 tangu 1986 Hii ni baada ya Rais Museveni kutangaza rasmi Juni 29...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni awaomba rasmi msamaha Waganda. Bado nyie CCM!

    Huyu mzee atakuwa ameona siku zake za kuishi sio nyingi sana duniani. Atakuwa amejua atakapoondoka watakaobaki watakuwa kwenye hali mbaya sana. Jana kwenye ibada maalum yeye na mke wake wamesoma speech maalum ya kuwaomba radhi Waganda kwa madhira waliyowafanyia na Chama chao. Rai yangu kwa CCM...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo awasilisha ujumbe wa Rais Samia kwa Museveni

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasilisha ujumbe Malumu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Gen. Yoweri Kaguta Museveni Entebbe, Uganda. Tarehe 13 Mei...
Back
Top Bottom