Rais Museveni aeleza jinsi NATO ilivyowapiga mkwara marais wa Africa wasiende Libya kutafuta suluhu kipindi cha vita ya Libya

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,505
51,107
Akihutubia bunge la Pan Africa miaka kadhaa iliyopita Museveni ameeleza kuwa, umoja wa nchi za Africa uliunda kamati ya usuluhishi ya marais kadhaa wa Africa kwenda kutafuta Suluhu huko Libya lakini NATO ikawaambie wageuze hakuna kuingia Libya. Hii video ilikuwa ni kama imefichwa hivi kwa miaka mingi lakini leo bahati nzuri imepatikana.

Hawa marais wangeanza kumaliza matatizo yao ya nyumbani kabla ya kwenda kutoa ushauri kwa nchi nyingine. Viongozi hawa hawa walishuhudia vita Liberia, Afrika ya Kati, Ugaidi Msumbiji, Congo DRC ila hawakuweza kufanya lolote, ndio wakashauri wengine kumaliza vita?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom