rais magufuli

John Pombe Magufuli
John Pombe Joseph Magufuli (29 October 1959 – 17 March 2021) was the fifth president of Tanzania, serving from 2015 until his death in 2021. He served as Minister of Works, Transport and Communications from 2000 to 2005 and 2010 to 2015 and was chairman of the Southern African Development Community from 2019 to 2020.

First elected as a Member of Parliament in 1995, he served in the Cabinet of Tanzania as Deputy Minister of Works from 1995 to 2000, Minister of Works from 2000 to 2005, Minister of Lands and Human Settlement from 2006 to 2008, Minister of Livestock and Fisheries from 2008 to 2010, and as Minister of Works for a second time from 2010 to 2015.Running as the candidate of Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant party, Magufuli won the October 2015 presidential election and was sworn in on 5 November 2015; he was re-elected in 2020.

He ran on a platform of reducing government corruption and spending while also investing in Tanzania's industries, but his rule had autocratic tendencies, as seen in restrictions on freedom of speech, restrictions on LGBT rights, and a crackdown on members of the political opposition and civil society groups.

Magufuli was known for promoting misinformation about COVID-19 during his leadership over the pandemic in Tanzania. After a lengthy absence from public appearances, unconfirmed rumours circulated that he, himself, had been hospitalized with the disease.

His death on 17 March 2021 was attributed by the government to a long-standing heart issue. He was succeeded by his Vice-President, Samia Suluhu.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Siku ya Afrika: Rais Magufuli ang'ara, UN yazitaka nchi tajiri kusamehe madeni kwa nchi za Afrika ili ziweze kupambana na Corona

    Leo ni siku ya Afrika. Katika maadhimisho ya siku ya Afrika Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa amelipongeza bara la Afrika kwa siku hii na kwa namna wanavyopambana na Corona. Katibu mkuu wa UN mh Antonio amekubaliana na wazo la kuzitaka nchi tajiri kusamehe madeni ya nchi za Afrika ili kuzipa...
  2. M

    Rais Magufuli tuionyeshe kuwa Corona imedhibitiwa Tanzania

    Mkuu Mheshimiwa Raisi wetu John Pombe Magifuli Nakuomba tuionyeshe dunia tumedhibiti korona kwa njia zifuatazo:- 1. Uongozi wako umetoa dira kwa kuondoa hofu kwa Wananchi wako na korona imekuwa kitu cha kawaida. Zaidi ya yote ni kumtegemea mungu katika kila jambo. 2. Ugunduzi wa dawa lishe...
  3. Wacha1

    Covid-19 (Denis Mpagaze)

    HOJA 6 ZA KUMUELEWA RAIS MAGUFULI JUU YA COVID 19
  4. T

    Nionavyo mimi: Miaka kumi ya Rais Magufuli umasikini utaongezeka sana

    Nimekaa nakutafakari sana pamoja na kuchambuwa sera na mikakati ya serikali y awamu ya tano ninachokiona huko mbeleni hali ya watanzani kwenye kipato itakuwa mbaya sana jambo pia litasababisha ukosekanaji wa ajira. Mkuu wa Taifa aka buludoza la mafisadi ataenda pia kuubuludoza uchumi kwakuwa...
  5. mimitungi

    Asante Rais Magufuli: Polepole tunaanza kuelewa maana ya Lockdown

    Hii vita ya Covid19 ukiikurupukia bila kujua tunapelekwa wapi unaweza usimwelewe Rais wetu. Je? Wajua nini kilikuwa kinaendelea kwa nchi zilizo chini ya lockdown? Tafadhali pitia hizi video kwa umakini 1; 2: 3:
  6. J

    Pascal Mayalla: Waandishi wa habari ni waoga nimewaalika tujadili hotuba ya Rais Magufuli wamepiga chenga na kuingia mitini

    Mjadala wa leo katika kipindi cha Jicho letu ndani ya habari kinachorushwa mubashara na Star tv mada ni Hotuba ya Rais aliyoitoa wakati wa anawaapisha wateule wake. Pascal Mayalla anasema aliwaalika waandishi wa habari katika mjadala lakini wote wameingia mitini. Pascal anadai waandishi wetu...
  7. Nigrastratatract nerve

    MAJARIBIO Hatari kumi ambayo Rais Magufuli na Serikali yake waliyokumbana nayo na jinsi yalivyozimwa kishujaa

    1: Walitaka kutuuzia mavazi ya madaktari na manesi kwa bei ya laki 3 kila moja JPM akasem a tutashona wenyewe kwa bei ya elfu 30 2:Barakoa kutoka nje zikaanza kuwa adimu na kupanda bei JPM akasema watz kila mtu ashone yake zikashuka bei zikauzwa hadi buku PIGO LA PILI. 3: Wakaleta...
  8. Mzukulu

    Huenda Tanzania ya sasa chini ya Rais Magufuli ikawa imepata Waziri bora wa Elimu Ndalichako tokea Uhuru wake

    Yaani Watoto wamekaa karibia Miezi Mitatu bila Masomo, huku wengi Wao wakiwa tayari wameshaathirika Kisaikolojia kulingana na Hofu iliyokuwepo na bila shaka wengine hata Topiki zao hawakumaliza anatokea Mtanzania Mmoja anasema watafanya Mtihani yao Wiki chache zijazo. Hivi hawa Watoto...
  9. technically

    Rais Magufuli bila kuleta Mageuzi ya Uchumi wa watu, Nchi utaiacha ikiwo hoi sana kiuchumi

    Wafanyakazi waongezwe mishahara ili kuongeza parchasing power, Wakulima wapewe ruzuku kwenye dhana za kilimo mbolea, matrekita, wajasiliamali wanahitaji sera bora za upatikanaji wa mitaji na bima za kiserikali za kulinda mitaji yao, Wafanyabiashara wanahitaji upatikanaji wa mitaji na sera bora...
  10. Idugunde

    Rais Magufuli hali ya maisha ni ngumu sana, tuonee huruma

    Hakuna ubishi kweli unafanya kazi nzuri, kujenga miundo mbinu, zahanati, vituo vya afya na hospitali. Hakuna ubishi umeinyoosha nchi iliyokuwa imepinda. Ila hali yetu wananchi ni mbaya sana. Tunaamka asubuhi hatujui kama tutakula au vipi. Tukifungua biashara zinakufa, kila tunachojaribu...
  11. G Sam

    Kwenye janga hili la Corona, sisi wanasayansi tunaposema kuwa "Rais Magufuli amekuja na chai" huwa hatuziweki maanani

    Uthibitisho wa kupungua kwa Corona nchini ni lazima utolewe kwa kupewa scientific data kitu ambacho si Rais wala waziri wa afya wanacho. Wanatoa tu maoni yao kwa kutumia hisia jambo ambalo kwa kiongozi mwenye vyombo kufanya ni ukosefu wa maarifa. Ukiwasikiliza mawaziri mfano Kabudi ni kama...
  12. M

    Godlisten Malisa: Namuunga mkono Rais Magufuli kufungua vyuo vya elimu

    Na GODLISTEN MALISA Kwa maoni yangu nadhani hatua ya kufungua vyuo na taasisi nyingine ni muhimu japo ni muhimu zaidi kuendelea kuchukua tahadhari kama alivyosema Rais JPM. Ukweli ni kwamba janga la Covid19 sio jambo la muda mfupi kama ilivyotarajiwa kwamba litakuja na kupita. WHO wamesema it...
  13. J

    Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

    Karibu Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi. Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake. ===== Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa...
  14. Analogia Malenga

    Singida: Rais Magufuli awasihi Watanzania kuchapa kazi. Corona haikuanzia Afrika na imewakoromea wote hata wale wenye uwezo

    Amewaponngeza Watu wa Singida na kufurahi mnama mkoa huo unavyopendeza. Amesema amefurahi kuona Watanzania wakiwa wandelea kuomba kuhusu #COVID19 Rais #Magufuli: Janga la #COVID19 limepungua sana pamoja na kuwa bado hailijaisha. Ndugu zangu tuendelee kuchukua hatua. Katika mkoa wa Singida...
  15. Observer

    CORONA USA: Rais Trump asema anatumia dawa ya Hydrocychloroquine kujikinga na ugonjwa wa Corona, kinyume na ushauri wa wataalam wa afya

    Rais Donald Trump amesema yeye anatumia dawa ya malaria kujilinda dhidi ya ugonjwa wa COVID19, licha ya onyo kutoka kwa serikali yake mwenyewe kwamba inapaswa kutolewa tu kwa ajili ya COVID-19 hospitalini ama katika mazingira ya kiutafiti kutokana na athari mbaya ambazo zinaweza kusababishwa na...
  16. technically

    Rais Magufuli anapenda kuona watanzania wakiumia?

    Wakulima wa nchi hii wanauza Mahindi, Mchele, Karanga, Machungwa kwa wingi katika miji ya Mombasa na Nairobi yaani wanategemea soko kwa 60%. Wafanyabiashara wa ng'ombe wa Tanzania ndi wanalisha nairobi na kenya nyama na wanategemea kipato kutoka Kenya. Tunauza mbao kwa wingi nchini Kenya...
  17. J

    Spika Ndugai amtaka Mbowe aache tabia ya kujipima ubavu na Mkuu wa nchi Rais Magufuli, aache kabisa!

    Up dates; Spika Ndugai amesema Mbowe kama KUB ni mtu muhimu sana pale bungeni na ni mjumbe wa kamati zote muhimu ikiwemo ya Uongozi, kamati ya haki, kamati ya kanuni na kamati ya bajeti. Pia kama KUB Mbowe anaruhusiwa kusimama bungeni wakati wowote na kuuliza au kushauri chochote tofauti na...
  18. Cannabis

    Antonio Nugaz, Haji Manara waguswa na juhudi za Rais Magufuli katika mapambano na Corona, Haji ataka Rais apewe kombe la ligi kuu ikiwezekana

    Msemaji wa Simba ndugu Haji Manara amesema hayo kufuatia hotuba ya Rais Magufuli jana, Jumapili kwamba ataangalia mwenendo wa ugonjwa wa COVID-19 nchini katika wiki hii ili kuona kama anaweza kuruhusu vyuo kufunguliwa na shughuli za michezo kuendelea. Manara amesema kuwa Simba imebakiza muda...
  19. J

    Poleni Rais Magufuli na KUB Mbowe kwa vijana wenu kupata maambukizi ya Covid 19, Mungu ni mwema amewaponya

    Namshukuru Mungu kwa ushuhuda wa uponyaji kwa mtoto wa Rais Magufuli kadhalika mtoto wa Kiongozi wa Upinzani Bungeni mh Mbowe. Kwa mujibu wa Rais Magufuli mtoto wake alitibiwa nyumbani kwa tiba zetu za asili ikiwemo kula malimao, tangawizi na kujifukiza na Mungu wa mbinguni amemponya. Naye...
  20. idawa

    Waziri Ummy Mwalimu akanusha taarifa za Tanzania kufunga mpaka na Kenya

    Waziri amekanusha kwenye page yake na kusema habari hizo ni uzushi . BBC mnakwama wapi mbona mmekuwa wazushi hivi.
Back
Top Bottom