rais magufuli

John Pombe Magufuli
John Pombe Joseph Magufuli (29 October 1959 – 17 March 2021) was the fifth president of Tanzania, serving from 2015 until his death in 2021. He served as Minister of Works, Transport and Communications from 2000 to 2005 and 2010 to 2015 and was chairman of the Southern African Development Community from 2019 to 2020.

First elected as a Member of Parliament in 1995, he served in the Cabinet of Tanzania as Deputy Minister of Works from 1995 to 2000, Minister of Works from 2000 to 2005, Minister of Lands and Human Settlement from 2006 to 2008, Minister of Livestock and Fisheries from 2008 to 2010, and as Minister of Works for a second time from 2010 to 2015.Running as the candidate of Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant party, Magufuli won the October 2015 presidential election and was sworn in on 5 November 2015; he was re-elected in 2020.

He ran on a platform of reducing government corruption and spending while also investing in Tanzania's industries, but his rule had autocratic tendencies, as seen in restrictions on freedom of speech, restrictions on LGBT rights, and a crackdown on members of the political opposition and civil society groups.

Magufuli was known for promoting misinformation about COVID-19 during his leadership over the pandemic in Tanzania. After a lengthy absence from public appearances, unconfirmed rumours circulated that he, himself, had been hospitalized with the disease.

His death on 17 March 2021 was attributed by the government to a long-standing heart issue. He was succeeded by his Vice-President, Samia Suluhu.

View More On Wikipedia.org
  1. funaku

    Kuhusu lockdown Rais Magufuli yupo sahihi

    Salamu wanaJF katika strategies za kupambana na COVID 19 hakuna expert duniani.kila mmoja wetu ameweza kuwa na ushauri wake ambao ni valid kwa muktadha wa uelewa,taarifa,uzoefu,elimu n.k Rais Magufuli alichagua NO LOCKDOWN ..!! Baada ya msimamo huu hata mimi big fan wa Jembe Magufuli...
  2. G Sam

    Kwa anayofanya Rais Magufuli leo, yana tofauti gani na ya Kinjekitile Ngwale wa mwaka 1905? Tuwe wakweli na huru kujadili!

    Katika historia ambayo nilijikuta nakasirika baada ya kuisoma basi ni ya Kinjekitile Ngwale na vita yake ya majimaji mwaka 1905 hadi 1907. Ni historia inayochefua mno ukiisoma. Na kwakweli sijui hata ni kwanini inafundishwa kwenye mitaala. Tunaambiwa kuwa Kinjekitile aliwaambia watu wake endapo...
  3. B

    Hivi nyumbani kwa Rais huwa pana facilities zote za Ikulu?

    Ukigombea Urais unaweza ukapata au usipate, na wakati unagombea unatokea kwenye nyumba yako ambayo naamini haizidi vyumba vitano vya kulala. Ukipata Urais huwa Serikali inakwenda kuyajenga makazi yako ku accommodate facilities zote za ulinzi na makazi ya walinzi? Au kila kiongozi ufanya maamuzi...
  4. Pascal Mayalla

    Magufuli aistua Dunia kuhusu vipimo fake vya Corona!, Mombasa wagomea kupima Corona, wamtaja Magufuli amesaidia kustuka, wathibisha JPM is Right!

    Wanabodi, Yule Bingwa wa Kemia aliyeshutukia Fumigation haiwezi kuua virusi vya Corona na badala yake akashauri watu wajifukize, hali iliyopelekea vifo nchini Tanzania kuanzia Jumatano ya wiki iliyopita kubakia ni vifo 16 tuu. Sasa Bingwa huyu wa Kemia Ameishangaza Dunia na kuwa talk of town...
  5. Miss Zomboko

    GE2020 Kuelekea uchaguzi mkuu: Rais Magufuli kulifunga Bunge Juni 30, Shughuli za Bunge kumalizika Mei 30

    Rais John Magufuli BUNGE la Tanzania, sasa limeamua kufungasha vilago vyake, mwezi mmoja kabla ya muda wake wa awali uliopangwa na uongozi wa Bunge hilo. Kwa mujibu wa ratiba ya awali, Bunge la Jamhuri ya Muungano, lilipangwa kumaliza muda wake, tarehe 30 Juni 2020. Kwa mujibu wa taarifa hiyo...
  6. Superbug

    Mabeberu? Rais Magufuli ameiathiri Serikali yake na ijayo

    Kwasasa ni wazi rais wetu John Joseph Pombe Magufuli ameamua kula sahani moja na mabeberu. Ukweli ni kwamba kwa sasa hatuwaamini na hawatuamini tena. Mwisho wa yote ni hitimisho la uongozi wa Rais wetu. Kila anaeitegemea Serikali ajiandae kwa miaka 8 mpaka 9 kutoka Sasa mpaka kurudia pale...
  7. Dam55

    Rais Magufuli: Hatutasitisha mishahara ya watumishi wa Umma kwa sababu ya COVID-19

    Ukiacha mambo mengine aliyo yazungumzia mh Rais Jana kwenye hotuba yake jambo la kutia faraja kwa watumishi wa Umma ni hili. Kwamba watendelea kuwalipa mishahara kama ilivyo kawaida na haita punguzwa. Hili limewatoa hofu watumishi wengi walio kuwa na hofu ya kusitishiwa mishahara yao kwasababu...
  8. technically

    Muda mwingine Rais Magufuli anapenda kufurahisha Jukwaa

    Hao anaowaita mabeberu na kuwashutumu yeye mwenyewe kila kitu chake anachokitumia anakito kwa mabeberu. Ukianzia mifumo ya ulinzi anaotumia ni ya mabeberu, vifaa vya ulinzi kama Rada, frequency vyote ni mali zao Mavazi hizo suti kutoka Italy anazovaa, Simu, Mikanda, Viatu, Miwani, Saa vyote...
  9. Return Of Undertaker

    Rais wa wataalamu wa maabara Yahya Mnung'a yupo mubashara Clouds 360 anazungumzia utafiti wa Rais Magufuli

    Anaitwa Yahya Mnung'a yuko clauds tv kwa sasa. Kaulizwa papai linaweza kuwa na corona Majibu: papai haliwezi kuwa na corona ila linaweza kuwa aliyelipeleka alilitoa wapi na limepitia katika mikono ya watu gani. Swali: je maabara yetu inaweza kuwa na hujuma na wataalamu hewa? Majibu: maabara...
  10. J

    Hotuba ya Rais Magufuli yawa "Lulu" duniani kote, Wachina na Wahindi wataka itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao

    Haya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya. Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na...
  11. Jimbi

    Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

    Wakuu, ile dhana ya uwepo wa Mihimili Mitatu inayojitegemea ni DANGANYA TOTO TU. Magufuli amedhihirisha hilo leo kwa kuagiza Ndugai asilipe posho za Wabunge walioamua kujiweka "karantini". Kama Rais ana mamlaka ya kuliingilia Bunge, vipi kuhusu Mahakama? Atashindwaje kutoa maagizo yanayofanana...
  12. J

    Rais Magufuli: Mbunge wa Vunjo mh Mbatia ndio mpinzani mwenye uzalendo

    Rais Magufuli amempongeza mbunge wa Vunjo mh Mbatia ambaye ni mwenyekiti wa NCCR Mageuzi kwa namna anavyofuatilia suala la Corona na kuishauri serikali. Rais Magufuli amesema mara kadhaa mh Mbatia amekuwa akimpigia simu na kumtumia Meseji za kumtia moyo katika haya mapambano. Chanzo: Channel ten!
  13. Pascal Mayalla

    Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Kwanini Mbuzi, papai, fenesi na Kware wawe na Corona?

    Wanabodi, Kwa wale wenye nafasi, ifika saa 4:15 asubuhi hii, tujiunge na TBC kuangalia matangazo ya moja kwa moja ya live mubashara kutokea ikulu ya Chato. Taarifa hii ni kwa mujibu wa Tweet ya Gerson Msigwa. Pia leo ni siku ya kimataifa ya kuadhimisha siku ya uhuru wa habari, huku Tanzania...
  14. Sky Eclat

    Rais Magufuli na Mwigulu hawakujuana jana

  15. G Sam

    Askofu Benson Bagonza asikitishwa na mwenendo wa Rais Magufuli, anena haya...

    "Aliyeteuwa hakuomboleza. Aliyeteuliwa hataomboleza. Marehemu ameshafika aendako? Na kama amefika basi usajili bado Tuna wagonjwa wengi, tutateuana kila siku" Hayo ni maneno ya Baba Askofu Benson Bagonza ambayo yanaonyesha dhahiri kuwa hajafuraishwa na mwenendo wa Rais kuhusu jambo muhimu...
  16. M

    Mwanahamisi ‘Mishy’ Singano: Kilio changu kwako Rais Magufuli

    Na Mwanahamisi ‘Mishy’ Singano @MSalimu Mheshimiwa Rais, kwanza nianze kwa kusema, hakuna mtu yoyote mwenye akili zake timamu atakayeulaumu uongozi wako kwa kuleta ugonjwa wa korona. Sio kosa lako! Ugonjwa huu hauna mjanja, umetoka ulikotoka, na umeenea kila mahala. Naamini tusingeweza kuuzuia...
  17. G Sam

    Rais Magufuli akosekana kwenye kikao kilichofanywa kwa njia ya video cha wenyeviti wa kanda za Afrika

    Akiwa kama mwenyekiti wa SADC, Rais Magufuli amekosekana kwenye kikao kilichofanywa kwa njia ya video ambacho kimeongozwa na Mwenyekiti wa AU ambaye ni Rais wa Afrika Kusini mh. Cyril Ramaphosa. Rais Magufuli ndiye kiongozi pekee wa kikanda aliyekosekana kwenye kikao hicho. Kwa maana hiyo...
  18. Chagu wa Malunde

    Polisi Mwanza mnaoshughulikia hii kesi, kuweni makini hii ni awamu ya tano, mtakuja kuumbuka

    Imetimia miezi saba sasa mnalinda huyu mwanajeshi na migambo ambao walimpiga mtuhumiwa ndani ya ofisi ya kata ya Kahama wilaya ya Ilemela na baadae alifariki. Watuhumiwa walikuwa wanne waliopigwa ila mmoja alifariki. Mkuu wa mkoa alimsaidia mke wa marehemu na ukweli umeshapatikana. Mmeshachukua...
  19. Suley2019

    Chato: Rais Magufuli atoa salamu za maadhimisho ya miaka 56 ya Muungano. Asamehe wafungwa 3,973

    Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania ametoa salamu za maadhimisho ya miaka 56 ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibari yanayotarajia kuadhimishwa siku ya kesho tarehe 26/04/ 2020. Katika salamu hizo Mh. Rais amewataka Watanzania wote kutumia maadhimisho hayo kutafakari Muungano huo ambao...
  20. J

    Pascal Mayalla ataka wataalamu wa Kemia waje watueleze sintofahamu ya Fumigation na Barakoa baada ya kutafakari hotuba ya Rais Magufuli

    Mwandishi wa habari nguli mh Pascal Mayalla amewataka wataalamu wa Kemia kuja hadharani na kutuchambulia faida na hasara za kupiga fumigation mitaani na kwenye vyombo vya usafiri kama kuna tija kwenye mapambano dhidi ya Corona. Kadhari watuelimishe juu ya ubora wa barakoa kama zinaweza...
Back
Top Bottom