rais magufuli

John Pombe Magufuli
John Pombe Joseph Magufuli (29 October 1959 – 17 March 2021) was the fifth president of Tanzania, serving from 2015 until his death in 2021. He served as Minister of Works, Transport and Communications from 2000 to 2005 and 2010 to 2015 and was chairman of the Southern African Development Community from 2019 to 2020.

First elected as a Member of Parliament in 1995, he served in the Cabinet of Tanzania as Deputy Minister of Works from 1995 to 2000, Minister of Works from 2000 to 2005, Minister of Lands and Human Settlement from 2006 to 2008, Minister of Livestock and Fisheries from 2008 to 2010, and as Minister of Works for a second time from 2010 to 2015.Running as the candidate of Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant party, Magufuli won the October 2015 presidential election and was sworn in on 5 November 2015; he was re-elected in 2020.

He ran on a platform of reducing government corruption and spending while also investing in Tanzania's industries, but his rule had autocratic tendencies, as seen in restrictions on freedom of speech, restrictions on LGBT rights, and a crackdown on members of the political opposition and civil society groups.

Magufuli was known for promoting misinformation about COVID-19 during his leadership over the pandemic in Tanzania. After a lengthy absence from public appearances, unconfirmed rumours circulated that he, himself, had been hospitalized with the disease.

His death on 17 March 2021 was attributed by the government to a long-standing heart issue. He was succeeded by his Vice-President, Samia Suluhu.

View More On Wikipedia.org
  1. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kataka mwekezaji Mtwara arudishiwe hela alizonunulia Transfoma. Nami TANESCO wanirudishie gharama zangu

    Katika hali ya kufurahisha na Rais wetu kuendelea kuwatendea wananchi wake haki, Mh. Dr. John Joseph Magufuli amelitaka shirika la Umeme nchini (TANESCO) kumlipa Tsh. 27 Million mwekezaji wa kiwanda cha kubangua korosho kilichopo Mtwara vijijini Hata baada ya kutompa ushirikiano wa kumfikishia...
  2. Mystery

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ndiyo ameuona sasa utendaji kazi mbovu wa Jeshi letu la Polisi?

    Tumemsikia wenyewe kwa masikio yetu, Rais Magufuli akitoa lawama kwa watendaji wa Jeshi letu la Polisi kuwa baadhi ya utendaji wao wa kazi kwa kweli hauridhishi. Akitolea mfano utekwaji nyara wa mfanyibiashara maarufu nchini, Mohamed Dewji, ambaye anafahamika zaidi kwa jina la Mo, ambaye tokea...
  3. Shigganza

    JamiiForums Tanzania Rubani Kapteni Mapunda aliyetunukiwa na Rais Magufuli afunguka

    Kapteni Mapunda ambaye ni Rubani mstaafu aliyetunukiwa na Rais Magufuli katika siku za hivi karibuni kutokana na uzalendo wake kwa taifa alioufanya kwa kutorosha ndege ya Tanzania baada ya kuvunjika kwa iliyokuwa jumuiya ya Afrika Mashariki, amefunguka kuhusu sintofahamu iliyotokea baada ya...
  4. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii(SSRA), Dkt. Irene Isaka

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Desemba, 2018 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Dkt. Irene Isaka. Mapema leo Rais Magufuli alifanya kikao cha wazi na Viongozi waTUCTA, watendaji...
  5. britanicca

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, watu wanataka kurudi Misri Kanaani mbali sana

    Mheshimiwa magufuli mtetezi wa wanyonge tunatambua kiu ulokuwa nayo ya kuwatumikia watanzania na kuwatoa misiri kuwapeleka kanaani lakin kwa maoni ya watanzania inaonekana kama vile kanaani ni.mbali bora warudishwe misiri tu MISIRI WALIYAPATA YAFUATAYO 1. Watu walikwepa kodi misiri 2.watu...
  6. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Ukichaa wa Magufuli na propaganda zinazoendelea

    Nilisikiliza neno kwa neno hotuba ya Rais JPM huko Ukerewe. Pamoja na mambo mengi aliyoyahutubia, naona habari ya mjini ni ishu ya kusema alimchagua Waziri Mpina kwa sababu naye ni kichaa kichaa kama yeye. Kwanza, kiu ya siasa nchini ni dhahiri ipo juu sana. Watu wanatamani kufanya siasa za...
  7. Egnecious

    JamiiForums Tanzania Sakata mafuta ya kula: Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza bandarini na kukagua matanki ya mafuta

    Mhe. Rais Magufuli afanya ziara ya ghafla bandari ya Dar es salaam muda huu. Anakagua matanki ya mafuta ya kula. Fuatilia matangazo TBC1 muda huu. Atembelea kituo cha kupokea mafuta cha Kurasini (Kurasini Oil Jet; KOJ) kilichopo jijini Dar es Salaam na kupewa maelezo kuhusu Mafuta kukwama...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tusikalie kumlaumu tu Rais Magufuli na Serikali yake wanapofanya mabaya, kwenye mazuri pia tupongeze!

    Wanabodi, Natanguliza Heri ya sikukuu ya Pasaka, leo naendelea na zile makala zangu za kwa Maslahi ya Taifa, na bado hoja kuhusu udikiteta Tanzania, zitaendelea, lakini kwa vile hoja ya udikiteta ni jambo kubwa na very serious kuhusu utawala na uongozi wa nchi yetu na linahusisha tuhuma nzito...
  9. Super human

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anasema Watanzania tumechelewa sana hivyo inabidi tukimbie kweli kweli. Je, tupo tayari kama Taifa?

    Kuchelewa ni kweli tumechelewa lakini swali tunajua tunakokimbilia? Unaweza kudhani unawahi kumbe unakimbia kurudi nyuma. Kwanini? 1. Kuna viashiria vingi kuwa uchumi unaporomoka na sipendi niviorodheshe maana vinaongelewa kila siku. 2. Democrasia, hii ni nchi sio familia ya nyumbani kwa MTU...
  10. MWAKITWINO

    JamiiForums Tanzania Inabidi Watanzania tumuombe msamaha Rais Magufuli

    Nimejaribu muda sasa kuchunguza jinsi kiongozi wetu mkuu wa nchi alivyo na hasira mara zote aongeapo na sisi wanachi wake ni kama kuna kitu kikubwa sana kipo ambacho sisi wa tz tulimkosea maana Najiuliza: 1) Tulipata tetemeko akaongea nasi kwa hasira sana; kwani mimi ndo nilileta tetemeko...
  11. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Magufuli afanya ziara ya kushtukiza ujenzi uwanja wa ndege na kukuta kazi zimelala

    Amesema ameenda mwenyewe kushuhudia ujenzi wa uwanja kwa kuwa angeulizia angedanganywa na kusema kesho kazi iendelee kufanyika mara moja na madai atayashughulikia Pia amesema yeye ndie atakuwa consultant wa ujenzi wa uwanja huo na waziri kila siku atakuwa anamletea ripoti na atafute ma injinia...
Back
Top Bottom