punyeto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JumaKilumbi

    JamiiForums Tanzania Punyeto: Mitazamo ya Uislam na Ukristo

    Na Jumaa Kilumbi, 31.10.2022 Punyeto ni nini? ni kitendo cha kujiridhisha kingono kwa kujichua sehemu za siri. Lakini ieleweke kuwa Punyeto ni kitendo cha kiasili kibailojia na hufanywa na watu wengi sana. Japokuwa ukiuliza watu wengi hawasemi ukweli ila kila mtu anajua anachokifanya anapokuwa...
  2. Jana Ulirudi Usiku

    JamiiForums Tanzania Nipo kijijini peke yangu, nimejilipua viwili!

    Hello everyone, nipo kijijini kwa muda. Mke wangu nimemuacha mjini na nina week 1.5 hapa. Sasa ni mgeni na naona ingenichukua muda mrefu kuanzisha mahusiano au kuomba mbususu na kupewa. Wakati nikifikiria hili nimejilipua bao 2 chap kwa punyeto. Nilijaribu kuruka kichura, jogging n.k, ila wapi...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Haya wapiga punyeto leo nawapa dawa ya kuacha punyeto bure

    Nenda kachemshe bamia, hakikisha hutii chumvi kabisa au tia kidogo tu kama huwezi kula bila chumvi. Chemsha kidogo (isibadilike rangi). Kula kabla hazijapoa kabisa. Fanya hivyo kwa siku 12-16 mfululizo angalau mara moja kwa siku moja. Addiction ya punyeto itakata. Utapiga vizuri kwenye game...
  4. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Nilijifunza kupiga punyeto hapa jukwaani, glycerine ilitaka kuniua

    Nakumbuka mwaka 2010 ndiyo nilijiunga hapa, enzi hizo niko kidato cha tatu. Zama zile kulikuwa na jukwaa la wakubwa na ili ilitembelee ilikuwa ni lazima mods wakuunge. Basi nikaomba kuungwa, nikawa nashinda huko. Katika peruzi zangu nikakutana na uzi unafundisha namna ya kupiga puli kwa njia...
  5. Jana Ulirudi Usiku

    JamiiForums Tanzania Siku ya 3 leo sijapiga punyeto. Alhamdullilah

    Natimiza 0.10 months sjapiga punyeto. Hakika nastahili kujipongeza kwa hili. Si kawaida na haijawahi tokea! Hapa najizuia kutokula vyakula vya mafuta kwa wingi. Nakula diet ya majani ya maboga ya kukaushwa juani yaliyopikwa kwa karanga, china iliyochemshwa chuku chuku kidogo sana. Ugali kidogo...
  6. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Wanaanga wapigwa marufuku kupiga punyeto anga za juu

    Wanaanga wa anga za juu wamepigwa marufuku kupiga punyeto wakiwepo anga za juu. Hii inatokana na uwezekano wa wao kuwapa mimba viumbe wengine wa anga za juu na hivyo kuzaa viumbe hybrid ya binadamu na 👽 alien.
  7. Heci

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kanifanya nianze kupiga punyeto na sasa siwezi tena kuacha

    Nilipatwa na mkasa wakuondolewa kazini kwa vyeti feki, uzuri nilikuwa na kijiakiba changu, nikaingia kwenye sekta ya ajira isiyo rasmi. Nikanunua kirikuu na nikawa nalaza hadi elfu themanini kwa siku. Mwezi uliopita gari imepata ajali, nahangaika kuirudisha rodi, ila mke wangu kawa mkali, hamna...
  8. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Njooni niwasimulie Jinsi Nilivyoacha Punyeto

    Mambo vipi wakuu? Kwa miaka 17 nimekuwa mdau sana wa CHAPUTA. Nilivyopata kazi mwaka 2012 nikajua ntaacha maana nilikuwa na uwezo angalau wakuhonga demu ninayemtaka na kumpata ila haikusaidia. Badae nikaoa ila bado nikawa naendelea, nimejaaliwa watoto wawili wameanza shule ila bado nikawa...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kwa Kupiga Punyeto mara tatu mfululuzo ndani ya Ndege ikiwa angani inakata Mawingu mazito

    Abiria wa shirika la ndege la Southwest Airlines aliyeshutumiwa kwa kupiga punyeto mara kadhaa wakati wa safari ya ndege kutoka Seattle kwenda Phoenix mwezi uliopita amehukumiwa kifungo cha siku 48 gerezani, waendesha mashtaka wa serikali wamesema. Antonio Sherrodd McGarity, (34) mkazi wa...
  10. Foxhound

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU Habari wanaJf? Hii ni kutoka kwa rafiki yangu mmoja wa karibu sana. Amenisimulia kuwa alianza kufanya mchezo huo tangu yupo darasa la saba hiyo ikiwa mwaka 2000, alisema alianzia kwa kufanya mara moja kwa siku hadi ikafikia kipindi siku kwake ikawa...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

    Habari wakuu, Kwa ufupi, nimekuwa nikifanya punyeto kuanzia 2003 mpaka February 2019. Iliniathiri sana kisaikojia na imenivurugia malengo yangu kwa kiwango kikubwa, wengi wanaofanya wanajua fedheha na madhara yake. Nilijaribu kuacha miaka yote hii lakini nilikuwa nafanikiwa kwa muda mfupi tu...
  12. Allist

    JamiiForums Tanzania SoC01 Acha Punyeto, unaharibu ubongo na nguvu zako

    Habari wana jamiiforum, Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kunipa afya njema hadi muda huu, natumai na ninyi ni wazima, kama ni mgonjwa mungu akupe nafuu uweze kupona. Nimeamua kuchukua nafasi hii kuelezea athari za video za ngono (porn) katika ubongo wa mwanaadamu, hasa kwa sisi vijana...
  13. Yofav

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nilivyopata tabu kuacha kupiga Punyeto

    Habarini sana wanajamvi, Leo kijana wenu nina Uzi kidogo ambao maybe unaweza ukakuonya wewe mwenye mpango wa kutaka kujaribu kuanza kupiga punyeto au kukufunza wewe kijana au mwanaume mwenzangu ambae unahangaika kuacha tabia ya kupiga punyeto na umeshindwa, Fuatana nami;- Mwaka 2015 nilikuwa...
  14. Ethan Cruz

    JamiiForums Tanzania Yajue madhara ya kujichua kwa wanawake na wanaume

    Naamka nanyi leo Wewe jichue. Sio wanaume au wanawake sahivi kila mtu anajichua kutumia mikono na vidole, wewe endelea kujichua maana ni sehemu ya kujifurahisha kwako ongera sana. Kadili unavyojichua kuna mishipa ya kupitisha mikojo (urethra) huanza kulengea hivyo matokeo yake utaanza kuwa...
  15. Mhafidhina

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake

    Naomba kufahamu madhara yatokanayo na kuangalia picha/video za ngono kwa watu wa aina zote, Wanaume kwa Wanawake...! - Tatizo jingine la mdau wa JF. ========= MAONI NA USHAURI WA WANAJF 1. 2. 3.
  16. The king mswati

    JamiiForums Tanzania Tabia hizi nilizonazo naziona kabisa zikienda kufupisha maisha yangu

    Habari zenu wakuu, Hivi ninyi mliachaga vipi hizi tabia mbona mimi najiona kabisa maisha yangu yanaenda kuwa mafupi kwa sababu ya hizi tabia sugu ambazo zimenikumba mimi? MOJA :KUBETI MPIRA ; Nilianza kubet mwaka 2016 kwa sh 500 tu lengo kutafta walau kutafta hela ya vocha tu kila siku ila leo...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mzazi umejipangaje kumnusuru mtoto wako anaekaribia kubalehe kwa huu utandawazi?

    Suala la ukuaji wa watoto kwa asilimia kubwa sisi wazaz ndio inabidi tuhusike pakubwa , kuwapa Watoto wetu elimu na miongozo katika hiki kipindi ni muhimu sana,tukigoma kuitoa sisi wazazi basi tutambue ya kwamba watu ambao sio sahihi ndio wanaweza kuwa walimu wake. Ni haki ya mtoto atambue kila...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Namna nilivyoacha punyeto, sigara na betting moja kwa moja

    Katika hii dunia ya sasa vilevi ni vingi mno na unahitaji umakini mkubwa sana maan aukangukia kwenye uraibu basi utapoteza vingi sana. Nikiwa kama kijana, nimekuwa mmoja wapo waliokumbwa na uribu wa vilevi vitatu ambavyo ni Punyeto, betting na sigara. PUNYETO - Nlianza kimasihara masihara...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Nazidi kuamini na kuona inawezekana kabisa kuacha kupiga Punyeto

    leo Siku ya 7, nimetimiza Week bila Kupiga punyeto. Asante Mungu kwa kuwa unaendelea kunisaidia na kuniimarisha zaidi. Ninaweza kwa kuwa waniwezesha. Ngoja niweke NENO kwa wingi moyoni mwangu kwa kuwa sitamani kurudi nyuma bali kusonga Mbele. Nazidi kuona kuwa inawezekana kuacha kupiga punyeto...
  20. Dionize N

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa jinsi nilivyofanikiwa kuacha punyeto

    Natumaini kwema humu jamani. Mimi sio mgeni sana ila a/c yangu ilipata hitilafu kwa muda mrefu na sikutaka kufungua mpya nmesubiri sana hatimaye i'm back. Moja kwa moja katika topic, nimekuwa nikufatilia topics mbalimbali za kuhusu CHAPUTA humu naomba nami nije na ushuhuda wangu. Nilikuwa...
Back
Top Bottom