Yajue madhara ya kujichua kwa wanawake na wanaume

Ethan Cruz

JF-Expert Member
Apr 29, 2021
231
331
Alone-vintage-girl-on-bed_thumb5B35D.jpg

Naamka nanyi leo Wewe jichue. Sio wanaume au wanawake sahivi kila mtu anajichua kutumia mikono na vidole, wewe endelea kujichua maana ni sehemu ya kujifurahisha kwako ongera sana.

Kadili unavyojichua kuna mishipa ya kupitisha mikojo (urethra) huanza kulengea hivyo matokeo yake utaanza kuwa huwezi kubana mkojo yani itafika wakati unajikojolea kama mtoto kwenye nguo kama utachelewa kukojoa.

Na kama Mungu akikubariki miaka mingi ya kuishi duniani tegemea kuwa unatembea na mpira wa mkojo maana wewe kwako mkojo utakuwa unamwagika bila break any time unabubujika.

Ila kibaya zaidi kadili unavyokuwa ukijichua kuna fluids za damu damu huchubua sehemu ya ndani hivyo husafiri hadi kwenye sehemu ambapo mayai au manii hutengenezwa hivyo kuathili glands na matokeo yake ni:
  • Hatari kuwa na mayai yasiokuwa na uwezo wa utungaji mimba. - Hatari wa manii kutokuwa na uwezo wa kutungisha mimba
  • Hatari ya kuwa hujiamini - Hatari ya kuwa na mawazo
  • Hatari ya kuwa msagaji
  • Hatari ya kuwa na tatizo la kibofu cha mkojo
  • Hatari ya kuwa na UTI za mara kwa mara
Njia za kuacha zipo na ni rahisi
Usipende kua peke yako room
Usiangalie picha za uchi au porn
Jitahidi kua mtu wa mazoezi
 
Brother tatizo lipo kubwa tu mimi kama wewe lkn saa iv madhara ni makubwa nipo 32 lkn mzigo hausimami
Wache mda wao bd watapata t mavuno wazungu wanasema to face the consequences af wakija ktk tiba asili kurudisha mauwezo dawa moja tunawauzia 500k
 
Mkuu sikatai sisi tumekulia shamba huko asubuhi unakunywa maziwa fresh kabisa na viazi au mihogo ama mchembe unashushia na karanga ,mchana napo ni ugalina sato ama sangala mkubwa na hapo hatutumii mafuta ya wazungu mwendo ni samuli tu na tulikua tunakula kweli sio hawa vijana wa mjini wanakula chai ya rangi na andazi puto mbili uje useme hao watakua na nguvu za kiume.Mm mwanangu nahakikisha anakula chakula ashibe hasa na afanye kazi za nguvu najua tu hizi kesi za nguvu za kiume sitazisikia.
 
Ndo inavokuwa pia na ilivo tunaendekeza sana vt special tunasahau asili yetu acha tufe t
 
Back
Top Bottom