Dawa ya kuacha punyeto hii hapa
Nenda kwenye duka za asili nunua unga wa kibiriti upelele changanya na mafuta ya mizeituni, nunua chumvi ya mawe walau nusu.
Weka chumvi ya mawe kwenye maji usiku jitahidi usiogee bafuni, jitamwagie hayo maji yaenee mwilini pote...ukimaliza jifute Na taulo safi...
ni asilimia 1 tu ya wanaume walio na access ya kuangalia porno kila siku ama kila saa bila kujichua.ulidanganywa ulipoambiwa picha za ngono ni kwa ajili ya kujifunza style za tendo la ndoa.
Porno ni kwa ajili ya ku stimulate.Na wengi sana hujichua ndani ya maofisi,ndani ya vyumba vyao na...
Unaweza kuhitimisha kwa kusema,
Inafedhehesha sana,
Inasikitisha sana,
Inasononesha sana kwakeli.
Uzuri wanakiri wenyewe kupiga nyeto kwa muda mrefu sana.
Ni aibu mno ndrugu zango..
Hivi sasa wanajutia nguvu imara sana za kijinsia, walizopoteza bafuni kwa nyeto kwa uhodari sana, lakini pia...
wana group nimegundua watu wanapitia magumu kuhusu punyeto...
NAAMINI KUPITIA HILI SOMO UTANISHUKURU
SOMO MUHIMU*
👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾👇🏾
Ili uweze kuacha kupiga punyeto fanya yafuatayo:-
➡️Andaa calendar ya mwezi mzima
➡️Kisha amua na sema nimeacha kuanzia leo.
➡️Kisha jiwekee target mfano, nataka...
PUNYETO -Hapa siongei sana 😂😂😂😂😂 mara moja moja usiwe kama kina drone yaani wenyewe kwa siku mara 7.
kuna watu now wanasumbuliwa sana na nguvu za kiume, Usahaulifu uliopindukia (ukungu kwenye ubongo)
Unajiuliza mbona huyu mzee anasahau sahau sana kumbe deep down mzee alikua CHAPUTA😂😂😂😂😂
Hapa mtaani Kuna tukio limenisikitisha mno kijana etu mdogo miaka 19 anaenda jela miaka 30 kosa la kubaka niliwaonea huruma san wazazi wake.
Hivi haya matukio ya ulawiti, ubakaji pamoja na vifungo vya jela na magonjwa ya hatari kama HIV n.k, yanazidi kuiathiri jamii yetu has upande wa wanaume...
Unakua mchoyo wa penzi, halafu matokeo yake ukifika nyumbani unaishia kupiga punyeto,huku ukijutia kupoteza fursa uloikataa bila sababu ya msingi, baada ya kuombwa penzi na mtu wa maana sana.
Na mbaya zaidi saa zingine, ukimkuta mtu yule yule uliemkataa anatoka na mtu mwingine na wanapendana...
Nazungumzo na wewe ambae unatoka bafuni kupiga punyeto usirudie tena sawa?
Na wewe unaejiandaa kwenda kupiga punyeto bafuni acha hiyo ujinga bana..
Na nyie mliomaliza kusagana hapo, tafadhali msirudie tena huo uchafu.
Sikia, nyie mabinti mnataka kuanza kufanya nini hapo, embu acheni huo...
Jamani hamjambo?
Mimi Mimiamadiwenani, nilianza maisha yangu yangu ya punyeto rasmi nikiwa kidato cha sita. Hii ilikuwa ni kwa ushawishi wa rafiki zangu wa karibu, ukizingatia shule niliyosoma ni ya wavulana tupu. Unaweza uka imagine hapo.
Nilianza mdogo mdogo kwa ila nilianza kuwa addicted as...
ili kurejesha uimara wa misuli ya uume wako na kuifanya iwe komavu chukua kanuni hii, tafuta asali mbichi ya nyuki wa dogo, tafuta unga wa mvunje haltiti.
Tafuta mafuta ya zaituni, tafuta kitunguu saumu
Maandalizi
Chukua zaituni mils 20
Chukua kitunguu thaumu kisage upate mafuta yake mils 10...
Wazee mi nilijuaga hii mishe watu wanaacha automatically wakiwa wanaachana na ule umri wa kubarehe kumbe ni addiction kama addiction nyingine tu.
Kumbe kuna Married men wanapiga punyeto, Womanizers wenye mademu lukuki lakini bado nao ni hivyo hivyo.
Aisee achana na kitu kinaitwa addiction...
Tofauti na binadamu kuna wanyama wengine wanapiga Mgalala
Hawa ni wanyama 9 wanaopiga Mgalala
1. sokwe
2. tembo
3. Popo
4. konokono
5. nyangumi
6. walarasi
7. panya
8. mjusi
9. Ngwini
Na Mwenye macho aelewe😆
Daktari nguli toka Zambia ametoa tamko kupitia Facebook ambalo wapenda punyeto huenda wakalifurahia sana. Binafsi sina facts za kisayansi kumpinga ila kulingana na ongezeko la wauza dawa za nguvu za kiume itoshe kusema punyeto sio poa. Ina madhara ukizidisha. SIUNGI MKONO PUNYETO. Labda...
Punyeto ni nini?
Punyeto ni tabia ambayo inajulikana sana kwa vijana na hufanyika kwa kujichua sehemu za siri kwa ajili ya kujiridhisha kimapenzi. Hata hivyo, tabia hii ina madhara mengi kiafya ambayo yanaweza kusababisha matatizo makubwa ya kiafya. Katika makala haya, tutajadili madhara...
Wale jamaa wanaojichukulia sheria mkononi, wanaopenda kucheza Pool. wanaopiga punyeto. kuna dawa eti inazuia mtu asifanye hilo jambo. maswali yangu
1. Punyeto ni ugonjwa gani?
2. Nini kinasababisha mtu aoige punyeto?
3. Inaenda kutibu nini hiyo dawa?
Kuna wauzaji wa dawa hizi za supplement wana...
📣📣📣📣📣📣📣📣📣📣
HASARA ZA KUPIGA PUNYETO KIROHO
🗣️Amani kwenu wakuu. Leo tutaongelea hatari inayomkabili mpiga punyeto kiroho. Ni ukweli usiopingika kwamba asilimia kubwa ya vijana na wazazi wa kileo wamejiingiza kwa nguvu kwenye utamaduni huu mchafu na hatari. Kwa nini nasema ni hatari...
Miaka ya 2000 mwanzoni mimi Babu Njunju mzee wa kunjunja na kunjunjumila niliteseka sana mpaka nikafikia kujipa cheo cha master nyeto. cha ajabu ili nigairi kunyetoka hiyo siku husika basi niwahi kuoga nipande kitandani niendelee na shughuli hapo kitandani. hapo sitanyetuka. lakini la haula...
Habari Wadau,
Tangu nipo Shule nimekuwa nikisikia hoja ya wadau wakisema kuwa, unapiga punyeto mara kwa mara utakumbwa na shida ya kusahau kusiko kwa kawaida.
Upi ukweli wa madai haya?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.