SoC01 Nilivyopata tabu kuacha kupiga Punyeto

Stories of Change - 2021 Competition

Yofav

JF-Expert Member
Mar 12, 2021
3,955
6,885
Habarini sana wanajamvi,

Leo kijana wenu nina Uzi kidogo ambao maybe unaweza ukakuonya wewe mwenye mpango wa kutaka kujaribu kuanza kupiga punyeto au kukufunza wewe kijana au mwanaume mwenzangu ambae unahangaika kuacha tabia ya kupiga punyeto na umeshindwa, Fuatana nami;-

Mwaka 2015 nilikuwa kidato cha 2 (Usishangae I'm still young ndo Kwanza nina miaka 21 sasa) Nakumbuka kipindi hicho nilikuwa nasikia tu neno "Punyeto" ila sikuwahi kujua ni kitu gani na hua kinafanywa kwa njia gani, Japo Pornography nilikuwa naangalia kila nikipata nafasi, Pornography ilikuwa kama kujitesa kwani nilikuwa najitia hamasa alafu sina pa kumalizia haja zangu (Sikuwa na demu wala sikujua jinsi ya kupata demu na hata jinsi ya kupiga punyeto nilikuwa sijui) Jambo hilo lilikuwa likinisumbua hadi nikawa naona kuangalia zile video ni kujitesa tu hadi ilipofika siku moja ambapo nilikwenda bafuni kwaajili ya kuoga.

Maji yalikuwa ya moto kiasi kwamba yalifanya nipate hamasa ya kuoga vizuri na kujisugua vizuri na Ukizingatia baridi la Chuga (Kwa wanaojua hii situation ya utofauti wa kuogea Maji ya baridi na maji ya moto watanielewa) basi bhana na kipindi hicho nilikuwa bado Govi(Sijatahiriwa) nimekuja kutahiriwa mkubwa nikiwa form3, Govi huifadhi sana uchafu basi nikaona ngoja nilisafishe nipaka mkono sabuni Kisha nikatengeneza round kwa vidole Kama hivi 😬 Kisha nikaanza kujisugua lengo likiwa ni kujiosha kwa kujiondoa uchafu uliokuwa katika Govi (Mnaokumbuka uchafu uliokuwa unatokana govi mtanielewa) Bwana wee si nikaanza kuhisi muwasho kwa mbali na karaha fulani hivi... Basi nikazidisha speed ya kusugua uume(Kila nilipozidisha speed raha iliongezeka) Hadi pale majimaji meupe yalipotoka ndipo Raha yote ikakata.

Baada ya tukio lile nilishangaa sana nikaanza kujiuliza maswali ya kilichotokea ni kitu gani, Baada ya utafiti ndipo nikaja kugundua kuwa kumbe ndo punyeto yenyewe, Basi Sasa ukawa ndo mchezo wangu, niliendelea na mchezo ule kwa mwaka mzima hadi nikawa teja rasmi wa Punyeto (haipiti siku), Nikawa siogopi kuzitazama porno kwa kuwa nilishapata kipoozeo changu, Kiukweli Kwanza punyeto inakufanya unadharau wanawake maana baada ya kuijua tu niliacha kutongoza videmu nilivyosoma navyo kabisa nikaanza kutamani madem wenye misambwanda mikubwamikubwa lakini nikawa siishobokei Bali nasave tu picha yake kwenye sub-conscious mind then baadae naipigia punyeto then after hapo nilimuona tena huyo mwanamke nahisi kabisa kama nishampitia natafuta mwingine.

Punyeto inakufanya kufanya inakuwa mlemavu wa Bao moja tu, tena la fasta alafu kwishnei.

Baada ya miaka miwili nikiwa Form 4 mwishoni nikaanza kuichoka Ile Hali kwani nilianza kuona machapisho,vipindi na hoja zenye kueleza madhara ya punyeto, Moja ya madhara ambayo yalinitia hofu sana ni Ile ya kupungua nguvu za kiume aisee(Yaani kushindwa Kuonesha ubavu kwa mwanamke kwa kumfikisha au hata kushindwa kumpa mimba), Basi nikataka kujipima je, na Mimi vipi nimepungua nguvu?

Nikaanza kutafuta piece ya kuifanyia majaribio nikapata (Hapo tayari nilishatahiriwa), Nilipotest mitambo ndani Dk 2 tu nikawa nimeuza timu Aisee nikajifosi kuendelea lakini waapi!! Yule demu nahisi alendaga kunitangaza japo alinisifu kwamba me ni fundi lakini nilijua tu Kuwa nimefeli, Basi baada ya hapo niligundua kuwa Ile ni moja ya madhara ya punyeto kwangu basi nikaanza harakat za kuanza kuacha(Hapo ilikuwa 2017) nilipomaliza O-level, 2018 nikahamia Dar, Punyeto kiukweli nilipunguza kidogo baada ya lile tukio la kuuza timu, maana Kutoka Mara 6 za kupiga nyeto kwa week nilifika Mara 3 kwa week.

Kuhusu dharau kwa wanawake niliendelea nazo maana Punyeto ilalemaza maana inakufanya unaona haina haja ya hadi uiridhishe bali unajiridhisha wewe mwenyewe tu basi nikawa naona kazi sana maana ukiwa na demu Yaani uanze kutongoza,mara hadi uhonge, bado Tena uje umuandae, Mwisho uhakikishe unamfikisha; kwangu nikawa naona kazi sana Bora nijichue tu, Zoezi liliendelea Hadi kufika mwishoni mwa mwaka 2018 nikapata dem ambae kwa Sasa ni kama mke wangu maana naishi nae

Nilianzaga nae kwa shoo 5 zote niliboronga nikaona huyu sasa kwa kuwa kashaona madhaifu yangu nikasema Sasa ndo atafanya niache punyeto, Hasira zangu nilizimalizia kwenye kuacha punyeto na kufocus kwenye mazoezi, Nilianza harakati za kuikata kabisa Sasa unakuta week nzima nasurvive bila Punyeto then week inayofuata najikuta napiga Tena (imagine nina dem tena nikitaka muda wowote ananipa)

Hicho kitu kilinisumbua sana ndipo nilipogundua punyeto ni pepo unakuta unaacha week 3 nzima ya nne unapiga alafu najiambia "Hii ya mwisho sitopiga Tena" then zikipita Tena week 4 najikuta tena nimepiga, Mazoezi, Kumuomba MUNGU, Kufocus kwenye kutafuta hela na Kuamua kuishi na Mwanamke moja kwa moja kumefanya Sasa natimiza Mwaka sijapiga Punyeto Toka Mwaka Jana 2020 Mwezi wa 7.

Hivyo Cha kukushauri kijana ili uache punyeto Cha Kwanza Oa, Mwanamke atakuchallenge hadi utaacha Kupiga punyeto, Mimi kwa sasa siwezi kupiga maana nguvu zikiishia kwenye punyeto na miahangaiko ya mchana Jioni mwanamke alitaka show namjibu Nini na nimeishamaliza haja? Hua nafocus kwenye kazi zangu, Mzoezi kidogo, Maji Mengi, Shoo yangu ya siku hizi sitoi Boko Bao la Kwanza tu Hadi dk 20 zipite Je nikijiboost kwa Vumbi itakuwaje? Hua ananiambiaga siku akinifumania Nampa mwingine basi nitaamua moja Nife Mimi au Afe yeye.

Lengo la uzi huu ni kukutaadharisha unaetaka kuanza kupiga nyeto "Usijaribu" Na ambae ushaanza Oa, Kama Umeoa na unapiga basi Usimguseguse mkeo Bali Fanya mpango umridhishe na mpango wenyewe usiwe kujiboost maana hata kujiboost madhara yake ni hayohayo kama Punyeto.

Mwisho tusiwe wavivu kwa wake zetu mke akiwa kwenye badmood na wewe unataka basi m'bembeleze mpe maneno matamu, muandae akiridhia peleka moto kisawasawa hakuna mkate mgumu mbele ya chai sio anakuambia sijiskii wewe unawahi sabuni au mafuta unawahi uani.

Je, wewe Uliepitia situation ya kupiga punyeto tujuze ulianzaje, na kama uliacha ni njia gani ulitumia Hadi ukaacha? Ili na wenzako wanaotamani kuacha wajifunze kupitia wewe

Okoa Vijana
Decor Bysco.
 
Ushauri mzuri mdogo wangu...


Ingawa bado sana mdogo hiko kiatu bado utaishi nacho kwa muda sana subiri uoe ndio kipimo sahihi cha kujua kama unaweza kuna kipindi cha between 25-30 ukiwa unajitafuta maana by that time hata kupata mwenza anahitaji security kwako sio hawa wa sasa (17-22) bado wana mapenzi ya Telemundo 😁😁. Omba Mungu mambo yakukalie sawa la sivyo utapiga nyeto mpaka mkono utoke sugu
 
Kwa sisi tulio wahi kunywa pombe na tukakaa miez mingi bila kugusa huwaga tunajua itafika siku vibe litakuja ndyo siku hiyo watakubeba mbona.

Apo bado ujaacha Tena bado Sana itafika siku upo na furaha unaingia tu bafuni unakuta Kuna kaharufu Cha nyeto ndyo apo utapiga bao Kali moja tu mpk miguu ipate degedege.

Kikubwa kila ukipata tamanio la tendo mkumbuke mkeo Yan ucje mchoka ikiwezekana ongeza michepuko nahic apo utasahau kabsa kuwa wewe ulikuwa mnyetukaji.

Ni maoni tu.
 
Ushauri mzuri mdogo wangu...


Ingawa bado sana mdogo hiko kiatu bado utaishi nacho kwa muda sana subiri uoe ndio kipimo sahihi cha kujua kama unaweza kuna kipindi cha between 25-30 ukiwa unajitafuta maana by that time hata kupata mwenza anahitaji security kwako sio hawa wa sasa (17-22) bado wana mapenzi ya Telemundo . Omba Mungu mambo yakukalie sawa la sivyo utapiga nyeto mpaka mkono utoke sugu
Dah! Ahsante kwa Ushauri kaka ila Ile kitu MUNGU wangu aniepushe maana nimedhamiria kuiachaga kabisa.
 
Mkuu we hujaacha punyeto,sema umepumzika tu.
Na kwa kipindi kifupi ulichopiga punyeto huwezi kupata madhara uliyosema hapa,sema ulikuwa unaathirika na simulizi za watu kuhusu madhara ya punyeto.
inawezekana kaka, Ila naona hata hamasa ya kutaka hata kujaribu sina kabisa.
 
Kwa sisi tulio wahi kunywa pombe na tukakaa miez mingi bila kugusa huwaga tunajua itafika siku vibe litakuja ndyo siku hiyo watakubeba mbona.

Apo bado ujaacha Tena bado Sana itafika siku upo na furaha unaingia tu bafuni unakuta Kuna kaharufu Cha nyeto ndyo apo utapiga bao Kali moja tu mpk miguu ipate degedege.

Kikubwa kila ukipata tamanio la tendo mkumbuke mkeo Yan ucje mchoka ikiwezekana ongeza michepuko nahic apo utasahau kabsa kuwa wewe ulikuwa mnyetukaji.

Ni maoni tu.
Hapo kwenye maoni umenikosha kaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom