punyeto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kuna uhuni Mkubwa, Dawa ya kumsaidia mtu kuacha kupiga Punyeto? imekaaje?

    Wale jamaa wanaojichukulia sheria mkononi, wanaopenda kucheza Pool. wanaopiga punyeto. kuna dawa eti inazuia mtu asifanye hilo jambo. maswali yangu 1. Punyeto ni ugonjwa gani? 2. Nini kinasababisha mtu aoige punyeto? 3. Inaenda kutibu nini hiyo dawa? Kuna wauzaji wa dawa hizi za supplement wana...
  2. third eye chakra

    JamiiForums Tanzania Soma hapa madhara ya punyeto kiroho

    📣📣📣📣📣📣📣📣📣📣 HASARA ZA KUPIGA PUNYETO KIROHO 🗣️Amani kwenu wakuu. Leo tutaongelea hatari inayomkabili mpiga punyeto kiroho. Ni ukweli usiopingika kwamba asilimia kubwa ya vijana na wazazi wa kileo wamejiingiza kwa nguvu kwenye utamaduni huu mchafu na hatari. Kwa nini nasema ni hatari...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Punyeto ilinitesa sana nikafanya hivi kuacha

    Miaka ya 2000 mwanzoni mimi Babu Njunju mzee wa kunjunja na kunjunjumila niliteseka sana mpaka nikafikia kujipa cheo cha master nyeto. cha ajabu ili nigairi kunyetoka hiyo siku husika basi niwahi kuoga nipande kitandani niendelee na shughuli hapo kitandani. hapo sitanyetuka. lakini la haula...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Je, Kupiga Punyeto kunaleta shida ya kusahau?

    Habari Wadau, Tangu nipo Shule nimekuwa nikisikia hoja ya wadau wakisema kuwa, unapiga punyeto mara kwa mara utakumbwa na shida ya kusahau kusiko kwa kawaida. Upi ukweli wa madai haya?
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kuangalia picha za ngono wakati wa punyeto inaweza kumpelekea kijana kufikiria mambo ya ushoga

    Mwanzoni Kijana anapobalehe anapiga punyeto acapella yaani hata akiwa anaoga bafuni anajichua akiwa amesimama na anaridhika.Ila siku zinapozidi kwenda Kijana anapata smartphone na muda wote yuko nayo anaanza kuangalia porn regularly akiwa tu kitandan macho yake yaliyojaa uzinzi yanampeleka site...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kupiga Punyeto ni kufanya mapenzi ya jinsia moja na pia ni kufanya mapenzi kinyume cha maumbile

    Wadau, Kwamimi ninavyoona, kufanya punyeto ni sawa tu kusema unafanya mapenzi ya jinsia moja lakini pia ni sawa tu kusema unafanya mapenzi kinyume cha maumbile. Nyie mnaonaje?
  7. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Njia Rahisi ya Jinsi ya Kuacha Porno na Punyeto

    PUNYETO ni janga la vijana wengi na pengine hadi watu wakubwa kabisa. PUNYETO inaweza ikakutesa mwili, akili, roho na nafsi. Hata mimi nilikua huko, ila nimeweza kuacha na kuwa huru. Japo unaweza kujipa moyo kwa kuungana au kusoma post zingine za wapiga punyeto, Lakini, ukweli unabaki kwako...
  8. fungi06

    JamiiForums Tanzania Mara yangu ya kwanza kupiga punyeto!

    Nilibaatika kusoma shule ya vipaji maalumu tu punde baada ya kumaliza darasa la saba,, uko nilibaatika kukutana na marafiki wa aina mbalimbali, Shule yetu ilikua ni ya bweni. Ambapo ilikua ni jinsia moja tuu, kama mnavyojua kwamba, "kwenye msafara wa kenge MAMBA naye huwa akosekani...
  9. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Hizo Nguvu mnazotumia kupiga Punyeto mngezitumia kwa wanawake wenu hakika wasinge-cheat

    Sitakuwa na muda wa salamu kwa majitu ambayo kutwa kucha yanapiga punyeto,shame on you!. Hivi unawezaje kuwa na mwanamke kitandani usiku kucha unaishia kumkung'uta kabao kamoja au viwili tena kwa taabu? Yaani dume zima unakuta ile saa 3 usiku linaparamia mwanamke utadhani kuna ugomvi kisha...
  10. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Leo nimepiga punyeto nahisi mwili kuchoka sana na presha iko juu mbaya, msaada

    Mimi sio muumini wa punyeto ila toka nimemtimua shemeji yenu wikiendi iliyopita kwasababu kadha wa kadha. Leo jumatatu saa tatu za usiku huu baada ya kurudi job nikavutwa na hisia kali za kufanya mapenzi nikajikuta napiga punyeto sasa naona muda unavyozidi kwenda najiskia fatigue (mwili...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje ukaingia kwenye uraibu wa kupiga punyeto?

    Wakuu kwema? Nakumbuka ilikuwa 2010 nikiwa kidato cha tatu baada ya kutoka prepo tulikuwa tunaenda saa nne kulala. Bwenini tulikuwa tunakaa watu nane wanne chini na juu watu wanne pia. Basi bhana mida ya saa sita nilibanwa kwenda kukojoa nilivyosituka nikasikia jamaa tuliekuwa tunakaa karibu...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Uliwezaje kuacha punyeto? Wasaidie na wengine kuacha tabia hiyo chafu

    Hatua ya kubalehe ni mbaya kama usipokuwa na mshauri au uangalizi wa mzazi na kupitia ndoto nyevu na zile nyege za kubalehe wengi wamezama humo kwenye NYETO na mpk leo hii wengine wameshindwa kuoa wanajiridhisha wenyewe mwingine hana habari na madem yeye na sabuni. Wapo pia madem ndo kitulizo...
  13. Dcxkobe

    JamiiForums Tanzania Punyeto imenimaliza

    Habar ndugu zangu, Nimepiga punyeto kwa muda mrefu Sana nilianza 2009 Kama utani ilipofka2013 ndio nikaaza kuona madhara makubwa mwili ukadhoofu sana halafu nikawa mzito kuelewa yaani nakuwa kama zoba fulani mwili masaa yote umechoka ni nikawa napenda kulala tu. Mpaka sasa hivi hali ni...
  14. MKALI W MAMBO

    JamiiForums Tanzania Zijue faida za kupiga punyeto kwa afya yako

    Tendo la kupiga punyeto ni tendo ambalo nimepingwa vikali na jamii na linaonekana kama ukosefu wa maadili katika mwanadamu. Ili kufanya watu waache kufanya tendo hili kuna watu walioleta hoja kadhaa kuwa tendo hili lina madhara kwa yeyote anayefanya hivi bila kufanya utafiti wowote. Kuna...
  15. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Kupiga punyeto ni sawa na kufanya mauaji ya kimbari/ mauaji ya halaiki

    Ukipiga asubuhi, ukaunganisha mabao mawili tayari unakuwa umeua watu wawili. Ukipiga mchana moja, na usiku Raunds tatu, tayari ndani ya siku moja unakuwa umeua watoto sita. Fanya idadi hiyo mara wiki, vipi ukipiga mwezi mzima utakuwa umeua wangapi?
  16. 5

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kupiga punyeto kwa wanawake

    🍮
  17. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Video za utupu na punyeto hupelekea mwanaume kupoteza ufanisi katika tendo la ndoa

    Kuna ukweli wowote katika hili?
  18. Internet-Money

    JamiiForums Tanzania Punyeto ni mlango wa Roho chafu

    Kila unapopiga punyeto unazidisha idadi ya pepo wa chafu ndani yako. Moja ya roho chafu inayojulikana zaidi inaitwa Leviathan , na huyu huwa ina waingia wanaume/wanawake. Kwa wapiga punyeto kama ushaanza kujihisi weak Basi hii roho imeshakuvaa. Kuanza ku-act ulelegelege ni moja kati ya...
  19. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Punyeto husababisha Kunyauka na Kusinyaa kwa ngozi

    Hivi ni kweli kuwa punyeto iliyokithiri hupelekea tatizo la kukauka na kusinyaa kwa ngozi?
  20. Lighton

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuacha kujichua

    Ndiyo hii haiitaji maelezo mengi, kama kichwa kinavyojieleza "Nimeshindwa kuacha punyeto" nimejikuta naskip tu siku lakini siku mizuka ya punyeto ikija nashindwa kujizuia. Nakirusha tu shwaaa, dah unyamaa sana. Mliobarkiwa karama za maombi mtuombeee please, hali ni mbaya. ======== Ushauri wa...
Back
Top Bottom