Ushuhuda wa jinsi nilivyofanikiwa kuacha punyeto

Dionize N

JF-Expert Member
Oct 22, 2012
1,848
3,293
Natumaini kwema humu jamani.


Mimi sio mgeni sana ila a/c yangu ilipata hitilafu kwa muda mrefu na sikutaka kufungua mpya nmesubiri sana hatimaye i'm back.

Moja kwa moja katika topic, nimekuwa nikufatilia topics mbalimbali za kuhusu CHAPUTA humu naomba nami nije na ushuhuda wangu. Nilikuwa member mkubwa sana wa hii kitu, nimeanza kuipiga nikiwa darasa la saba ila nashukuru mwaka jana mwezi wa 8 nilifanikiwa kushinda hiki kishawishi make kilianza kunipa fedheha.

Nakumbuka hii kitu ilianza kunipotezea kabisa kujiamini nikiwa na mwanamke coz ilikua nikipata tu shori tukienda faragha ni matak* matatu tu wazungu washatoka na haikubali tena kusimama. Ina maana ni hicho kimoja tuu halafu nitolee, ila toka mwezi huo wa 8 baada ya kusoma sana topics za humu kuhusu punyeto nikaanza fanya mazoezi ya nguvu na kula kama maelekezo yalivyokuwa yanatolewa na nikajipa likizo kidogo ya kugegeda kupunguza aibu.

Nimeanza kazi rasmi tar 28 December mwaka uliopita, kiukweli nimepata matokeo chanya make yule binti niliemnasa na alikuwa mpya kazi niliyopiga ilikua hatari kiasi kwamba alichomoa kitu akakimbia pale kitandani. Siku ya mwaka mpya nilikutana na manzi wangu niliyekuwa nae chuo na nilikua nampiga zile show za punyetopunyeto na kumpa visingizio kibao ili kujitetea kwa udhaifu wangu kutokana na zile athari. Nimepiga show matata kiasi kwamba akaniuliza umenilia nini leo make sio kawaida yako.

Leo pia nimepiga show mujarabu ila nikamwambia ukweli na kanipongeza kwa kuacha ile kitu na maisha sasa yana furaha tele kiukweli.

Hitimisho, kuacha punyeto inawezekana kwahiyo wapigaji tujitahidi tu tutaweza na tukiweza tusirudia na kwa imani yangu kama nmeweza kuacha puri basi hata Chidi Bajaj anaweza acha unga.

Asanteni sana
 
Ulikuwa una matatizo mengine binafsi usiitie ubaya puri

Nina miaka zaidi ya 10 napiga puri na uwezo Wangu haujawahi kuwa wa mashaka mashaka hata siku moja.

Nina mademu wa5 hao ni official achana na wale wa kuuza mechi na kila wiki nagonga wa3 au zaidi kati yao na wote natungua 2+ nipo fiti kalikiti na situmii mkuyati wala shimboko ya Makasi
 
Natumai n kwema humu jaman.


mi sio mgeni sana ila a/c yangu ilipata hitirafu kwa muda mrefu na sikutaka kufungua mpya nmesubiri sana hatimae i'm back.

moja kwa moja katika topic, nimekua nikufatilia topics mbalimbali za kuhusu CHAPUTA humu naomba nami nije na ushuhuda wangu, nlikua member mkubwa sana wa hii kitu nmeanza kuipiga nikiwa darasa la saba ila nashukuru mwaka jana mwezi wa 8 nilifanikiwa kushinda hiki kishawishi make kilianza kunipa fedheha.

nakumbuka hii kitu ilianza kunipotezea kabisa kujiamini nikiwa na mwanamke coz ilikua nikipata tu shori tukienda faraga ni matak* matatu tu wazungu washatoka na haikubali tena kusimama inamaana ni hicho kimoja tuu halafu nitolee, ila toka mwezi huo wa 8 baada ya kusoma sana topics za humu kuhusu punyeto nikaanza fanya mazoezi ya nguvu na kula kama maelekezo yalivyokuwa yanatolewa na nikajipa likizo kidogo ya kugegepa kupunguza aibu nimeanza kazi rasmi tar 28 december mwaka uliopita kiukweli nmepata matokeo chanya make yule binti niliemnasa na alikua mpya kazi nliopiga ilikua hatari kiasi kwamba alichomoa kitu akakimbia pale kitandani na siku ya mwaka mpya nlikutana na manzi wangu nlokuwepo nae chuo na nlikua nampiga zile show za punyetopunyeto na kumpa visingizio kibao ili kujitetea kwa udhaifu wangu kutokana na zile athari, nmepiga show matata kiasi kwamba akaniuliza umenilia nn leo make sio kawaida yako. leo pia nmepiga show mjarabu ila nkamwambia ukweli na kanipongeza kwa kuacha ile kitu na maisha sasa yanafraha tele ki ukweli.

Hitimisho, kuacha punyeto inawezekana kwahiyo wapigaji tujitaidi tu tutaweza na tukiweza tusirudia na kwa imani yangu kama nmeweza kuacha puri basi hata CHID Bajaj anaweza acha unga. Asanteni sana
Funga ndoa, acha uzinzi.
 
Ulikuwa una matatizo mengine binafsi usiitie ubaya puri

Nina miaka zaidi ya 10 napiga puri na uwezo Wangu haujawahi kuwa wa mashaka mashaka hata siku moja.

Nina mademu wa5 hao ni official achana na wale wa kuuza mechi na kila wiki nagonga wa3 au zaidi kati yao na wote natungua 2+ nipo fiti kalikiti na situmii mkuyati wala shimboko ya Makasi
Si mchezo aiseeeee
 
Ulikuwa una matatizo mengine binafsi usiitie ubaya puri

Nina miaka zaidi ya 10 napiga puri na uwezo Wangu haujawahi kuwa wa mashaka mashaka hata siku moja.

Nina mademu wa5 hao ni official achana na wale wa kuuza mechi na kila wiki nagonga wa3 au zaidi kati yao na wote natungua 2+ nipo fiti kalikiti na situmii mkuyati wala shimboko ya Makasi


mkuu kukaa muda wotehuo hujapata matatizo haimaanishi hautayapata nakushauri nuda wako ni sasa achana na hiyo kitu utakuja nikumbuka
 
naona unataka utufukuzie wanachama ni kiwa kama katibu wa CHAPUTA kanda ya kaskazini napinga vikali hoja yako usizingizie chama we ulikuwa na matatizo yako binafsi milango iko wazi kama utataka kurudi
 
naona unataka utufukuzie wanachama ni kiwa kama katibu wa CHAPUTA kanda ya kaskazini napinga vikali hoja yako usizingizie chama we ulikuwa na matatizo yako binafsi milango iko wazi kama utataka kurudi

hahahaaa sina nia hiyo mkuu ila mm siwez rudi tena huko
 
Leo ni siku ya Tano, tangu nimeamua kuacha Kupiga Punyeto.

Najua kuna namna na wengine wanapitia katika hali hii na hawapendi kupiga Punyeto, Napenda kukutaarifu kuwa inawezekana Mi nimedhamiria na kila siku katika hii Thread (Uzi) nitakuwa nawashirikisha hatua ninazopitia katika kuacha kwangu.

Ukiwa na ushauri ukiandika hapa itasaidia na wengine ambao wamedhamiria kuacha kupiga Punyeto au Kujichua. Si kila mtu anaweza kuweka wazi msimamo wake ila wengi wanatamani kujifunza jinsi ya Kuacha hivyo karibu tushirkishe na amini katika kusaidiana

Namshukuru Mungu nimedhamiria, nimekusudia Na Mungu ananiwezesha na Akili imeshasema noo Punyeto Tena.
 
Hongera mkuu. Mimi nilijua nimeacha baada ya kupita miezi miwili sijapiga punyeto. Ila kuna siku nimetulia geto kitandani usingizi hauji najigeuza tu kitandani, ase na vile bando sikosi nikazibua kimoja cha fasta na usingizi ukaja fasta Ila sahz Nina wiki moja nahisi nitafanikiwa kukaa mwaka mzima bila punyeto
 
Unajua Post Nut Clarity? Ile unamaliza kumwaga kisha unajiuliza "Hiki nini nimefanya?" Hua inatukuta tukiwa na ashki kiasi unakua radhi kumshona mwanamke yeyote.

Now katika puchu hiyo PNC ni kwa kila bao. Hakuna siku utamaliza kumwaga kisha utajiambia "Yeah this is awesome now ngoja niendelee"

Nakutakia kila la heri. Mimi hunyonga nikiwa stressed au nina hasira. Hope hiyo energy utaipatia channel ya kuidirect.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom