pongezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Pongezi nyingi Rais Samia umetuongzea WanaCCM amani, furaha na moyo wa kujiamini kisiasa zaidi ukilinganisha na wenzet u ambao wasiojua hatima yao

    Usibishe huo ndiyo ukweli wanaCCM wapo na furaha mipango yao yaenda vema uzoefu silaha muhimu. Jemedari pongezi zake
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa TCRA kwa kudhibiti wimbi la matapeli kwa njia ya mtandao.

    Kila mmoja atakuwa shahidi wa haya ninayo yasema kuwa, matapeli wa mtandaoni....wale wazee wa " tuma kwa namba hii" wamedhibitiwa kikamilifu. na hata zile application za kitapeli zimekomeshwa. Tuwape pongezi wa wafanyakazi wote wa TCRA kwa kazi nzuri sana. Mwendo huohuo.
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Benki Kuu (BoT) kwa kupunguza riba za mikopo kwa watu binafsi na watumishi wa umma.

    Kwa mara ya kwanza Gavana wa BOT aamuru Mabenki yanayo toa mikopo kwa wananchi na haswa watumishi wa umma kushusha riba hadi kufikia asilimia kumi 4. Hakiki kupunguzwa kwa riba kutarahisosha ukali wa maisha kwa wananchi wengi. Benki ya NMB ambayo ndio inaongoza kutoa mikopo yenye riba kali kwa...
  4. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Simba kwa kufanya maamuzi sahihi na hakika Simba ina Watu makini , Simba bingwa NBC premier league 2024/25

    Leo tar 25/6/2025 saa 11 jioni kuna dabi ya kariakoo , Mwanzoni kulikuwa na kila Sababu kwa Simba kutopeleka timu uwanjani lakini dakika za jioni Mnyama anaingia uwanjani. Points 3 za leo ni muhimu sana kwa Simba , Hakika Yanga hawezi chukua ubingwa kirahisi kwa timu kutofika Uwanjani hii ndio...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Pongezi sana kwenu Watanzania wa X( Twitter), Machawa wameanza kutoa milio. Endeleeni kufinya hivyo hivyo

    Leo account maarufu ya Kiongozi wa machawa waliopo X ( Twitter) imeanza kutoa milio baada ya Watanzania wapenda haki wa X (Twitter) kuanza kuzi tagg account za wafadhili wa Tanzania na mashirika ya Kimataifa (Washirika wa Maendeleo) kuhusu udhalimu unaofanywa na Serikali ya Samia dhidi ya...
  6. L

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa pongezi kwa Rais Samia kwa kupewa tuzo na Bunge

    Ndugu zangu Watanzania, Chama cha Mapinduzi CCM,chama kiongozi Barani Afrika,chama kilichobeba matumaini ya watanzania,chama kinachoaminika ,kupendwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania kimempongeza Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia...
  7. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Kwa huu Upuuzi mliopanga Simba mnaenda poteza hii Match. Wallah Wabillah mtaniambia

    Yaani mnataka leta siasa za kiduanzi sana. Tunajua mnachofanya na tayari watu tumeamua kama mbwai mbwai. Yaani mumpongeze mama yenu kwa hili? Nyie mna akili kweli? Sasa mnaenda poteza hii match. Wallah Wabillah labda si mimi mjukuu wa mtume. Yaani mnaleta siasa kwenye mambo ambayo si ya...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania CCM Yatoa pongezi kwa Mkurugenzi Mteule wa WHO kanda ya Afrika Dr. Yakub Janabi

    CCM Inamtakia mafanikio mema katika majukumu yake mapya.
  9. Baraza la Famasi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Salaam za Pongezi kwa Profesa Janabi

    Salaam za Pongezi
  10. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania CCM watoa salaam za pongezi kwa kuchaguliwa kwa Papa Leo XIV

    SALAAM ZA PONGEZI KWA KUCHAGULIWA KWA BABA MTAKATIFU MPYA
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?

    Wanabodi Makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/tumpongeze-rais-samia-sambamba-na-wanahabari-ila-tukaze-uzi-5030938 Tarehe 3 Mei kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari, kwa wiki nzima, iliyopita, nimekuwa jijini Arusha kwenye hoteli...
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwetu Yanga fainali Muungano Cup. Tunaenda beba Kombe la Muungano kibabe

    Haikuwa rahisi. Hatimaye tumeingia Fainali Kombe la Muungano. Match ilikuwa ngumu na kuamuliwa kwa penalty. Tunaenda kuwekeza nguvu kwenye kulibeba kombe wallah...
  13. Dabil

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwenyekiti wa Vilabu African Eng. Hersi hajatoa pongezi kwa Simba hadi sasa?

    Eng. Hersi ni mwenyekiti wa Vilabu Afrika,inashangaza hadi sasa hajatoa pongezi kwa club ya Simba kutinga fainali. Eng. Hersi anatakiwa kujivunia kuwa na timu kubwa kutoka nchini kwake maana hii inamwongezea CV kwa hatua ambazo Simba wamefikia.
  14. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Jeshi La Polisi Ruvuma

    Hao ndio wanasema watazuia uchaguzi ulipo kikatiba!?? Wepesi kama biskuti? Na moto huu huu wapelekewe mpaka walioficha familia zao ulaya na Canada wakimbilie huko. Keyboard warriors wa hapa Jf Wekeni Majina yenu na Akaunti zenu original tujue kweli mnadai mabadiliko. Lissu kadakwa kama kuku 😂😂😂
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili DC Maswa, Dkt. Vicent Naano unastahili pongezi

    Kitendo cha Serikali ya wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu kukaa meza moja na wananchi wanne wa kijiji cha Iyogelo Kata ya Binza wanaodai fidia baada ya sehemu ya maeneo yao ya ardhi kutwaliwa na Wizara ya Maji kupitia Bonde la Ziwa Victoria kwa ajili ya ujenzi wa bwawa la maji katika kijiji hicho...
  16. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Walichokifanya leo Wana Simba wameonesha ukomavu , uelewa na busara kubwa , wanahitaji pongezi .

    Je umefikiria kama na Wana simba leo wangemiminika kwa wingi uwanja wa Taifa kufuatilia suluhu ya kilicho tokea March 8 ,2025 ,nini kingetokea ? Ukipata jibu utagundua Washabiki wa Simba wako next level
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa wakulima wa kahawa Tanganyika

    TANZANIA imetajwa kuwa mzalishaji bora wa kahawa ya Robusta baada ya aina ya Chama cha Ushirika cha Kilimo cha Wilaya ya Ngara (AMCOS) kushinda tuzo ya Ladha ya Mavuno ya 2025 iliyotolewa na Chama cha Wazalishaji Kahawa Bora Afrika (AFCA). Wakiwakilishwa na Ubumwe Company Ltd, wakulima...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Pongezi za dhati kwa bwana Donald Trump kwa kuichangamsha dunia

    Kodi za wamerekani zimetumika duniani kote na hivyo either kuchangia maendeleo katika baadhi ya nchi au kuchangia machafuko, uharibifu katika nchi zingine. Sera za mabeberu za kuzifanya nchi zenye viumbe wasiojielewa kuwa tegemezi wa misaada, zimeingeza mmomonyoko wa maadali katika jamii...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa jamii ya kikurya kwa kuwa na utamaduni wa kuwafanyia sherehe ndogo ya kuwachinjia mbuzi wazazi/walez kama njia ya thanksgiving na kuwaenzi

    Hapa najua vijana mliotoka kawe leo mtasema wanatambika😂😂😂
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais dkt Samia kwa kuchaguliwa kugombea Urais kwa tiketi ya CCM 2025/2030.

    Wajumbe wamempitisha kwa 100% kuwa mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi 2025/2030. Hakika naamini atashinda kwa kishindo mwaka huu. Mungu amlinde Rais wetu, wenye wivu wanywe sumu kabla ya October.
Back
Top Bottom