Habari
Hii siyo kero ni pongezi
Kwa madaktari wa Hospital ya RUFAA MBEYA.
Nimekuwa nikifanya Checkup mara kwa mara hospital ya rufaa Mbeya ,nimekutana na
1.watunza Kumbukumbu wanaosikiliza mtu vizuri na kumuelekeza kwa upendo wa hali ya juu ase wabarikiwe sana.
2.Madaktari wanajitoa vizuri especially kuna yule daktari anakaa namba nane na namba tano ,wanaelekeza vizuri sana mpka unajisikia kupona ghafla.
3.Maabara ase ,kuna vijana wa field pale nimekubali kazi zao wanapambana bila kukata tamaa.LAKINI WASIWEKE TENA VITAMBULISHO VIONEKANE ,wagonjwa wengine waoga wakiona mwanafunzi anawapima wanakuwa na presha.
4.Idara ya pharmacy Blessed
5.X-ray ,kule wale jamaa wa field mlikuwa mnaelekezwa na supervisor wenu ,na mnafanya as required hongereni sana.
6.ENT department Ahsanteni kwa huduma nzuri kuazia mapokezi.
.yani nisipowapongeza hawa watu nitakuwa sijawatendea haki