1. Aisee leo nimeshangaa sana tumefuzu kwa shida shida hivyo hivyo kuingia 16 bora bado kuna watanzania wenzetu bado wanakejeli na hawa hawa ndo tunataka wawe wanaonewa huruma wakifinywa ,
Wengi wanatoa sababu eti maji hakuna mara hiki hakuna , sawa kweli nchi inaweza ikawa inashughughulikia...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la Jumapili
Utangulizi,
Hii ni makala muendelezo wa makala ya wiki iliyopita kuhamasisha GenZii wasiandamane ile October 9 Thread 'Wito kwa Gen Z wetu: Disemba 9 tusiandamane, kuandamana bila malengo ni ukichaa. Serikali, tafadhali...
Asilimia kubwa ya hawa watu kwanza ni watu wazima inaweza umri wao ni kuanzia miaka arobaini au kuanzia miaka hamsini kuendelea,
Tangu yatokee mauaji ya maelfu ya watanzania kuanzia Octoba 29 na kuendelea nimeona ID za platinum member nyingi zikitoa michango hapa JF kuliko wakati wowote ule...
Nadhani moja ya kazi ngumu kabisa kwangu ambayo siwezi kufanya ni kuimba kwaya pamoja na kushona sare hasa za vitenge!.
Wanaume mnaimba kwaya mnastahili pongezi mwenzenu yameshanishinda.
Ile kusema tu nawahi zoezi la kwaya Daaah huwa nikisikoa mwanaume anasema hivyo hadi nastuka!
Kwamba...
Leo dunia imejua mama anavyopendwa na kuheshimiwa.
Kwa hesima, tumekaa ndani tena kwa adabu kuliko wafungwa.
Tumesherehekea uhuru bila uhuru kama wafungwa kwa sababu ya kumtii na kumpenda tukiogopa kumuudhi.
Tumekubali kugeuzwa wafungwa ili kuonyesha heshima na uzalendo wetu.
Tumetulia hata...
Habari za muda huu watanzania wa mama Samia.
Kwanza Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru mungu kwa Hali ya Leo kua ya utulivu na amani.
Pili napenda kuwapa pongezi mabondia kwa kuzuia maandamano DSM na kuhakikisha hakuna anae leta uvunjifu wa amani.
Tatu vijana tuwe wazalendo tuepuke...
Ninaandika nikiwa na furaha iliyopitiliza. Mimi na wazalendo wengine tumefurahishwa mno na kitendo cha META kufungia accounts zote za wanaharakati uchwara wanaochochea machafuko nchini. Mark Zuckerberg na kampuni yake wamefanya kitu sahihi katika wakati sahihi.
Mange na Maria ni maadui wa hili...
Wakuu,
Wakiwa kwenye kipindi watangazaji wa Clouds, wameulizana swahili hili: "Sifa mlizopewa jana na Msemaji Mkuu wa Serikali mpaka kufikia kuundiwa mfuko maalum (wa wananhabari) mnadhani sifa hizo mnastahili?"
Mtangazaji Sam Sasali kajibu hizo pongezi kwaajili ya kutopost picha za...
Tumsifu Yesu Kristu
KWANZA kabisa nawapongeza sana Kanisa katoliki angalau kwa kuweka siku maalumu ya kuombea wafu WALIOUWAWA oktoba 29. Tena kwenye barua zenu hamjakwepesha maneno.
Tukiachana na Hilo tendo la kishujaa la kanisa katoliki, nmekua napitia media outlets mbalimbali tumezoa kuona...
Ningependa kuzungumzia kwa kirefu lengo la kichwa cha mada hii; lakini hiyo siyo dhumuni la haya machache nitakayo yaweka hapa.
Mashujaa, waTanzania wote, hasa vijana mliojitokeza maeneo yote ya nhi yetu kuandamana kupinga uhalifu uliofanyika; na baadhi yenu kupoteza maisha, nawapongeza kwa...
01 November 2025
Matokeo ya Uchaguzi Tanzania 2025: maRais watuma salaam za pongezi kwa Samia Suluhu Hassan
Orodha ya marais wanaotuma pongezi kwa Samia Hassan :
"Kwa niaba ya Watu, Serikali ya yangu na Mimi mwenyewe nampongeza ndugu yangu, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ushindi mnono wa...
Kitu kimojawapo kinachowafanya wazungu kuwa halisi sana(real) na wenye uthubutu ni kwa sababu ya mfumo wao wa maisha ambapo wazazi na ndugu hawategemei misaada au matunzo kutoka kwa watoto na ndugu wengine. Hali huwafanya waweze kutengeneza mitaji na uthubutu kufanya mambo mbalimbali hata ya...
Habari za wakati huu wapendwa katika Bwana,
Nichukue nafasi hii kutoa pongezi kwa hii mifumo miwili ambayo imerahisisha sana ununuzi wa Ardhi na kuwasilisha maombi ya Hati bila usumbufu.
Nilinunua kiwanja TAUSI portal ambapo taratibu zake ni rahisi na rafiki sana, na baada ya kumaliza kulipia...
Nimewiwa kutoa pongezi za dhati kwa shirika la reli Tanzania (TRC) kwa huduma nzuri.
Kwa wale mliopata bahati kusafiri na tren ya mwendokasi na dhani mmejionea hudumazao. Yani kuanzia kujali muda, mazingira na hata kutoa taarifa. Ukweli mmekidhi viwango vya kimataifa.
Kwa mara zote...
Familia ya Dkt. Abraham Muro wa Tegeta jijini Dar es Salaam imetoa tuzo ya pongezi kwa madaktari na wauguzi wanaohudumu katika wodi namba 4B ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), kama ishara ya shukrani kwa huduma bora walizozitoa kwa mama yao aliyekuwa akipatiwa matibabu...
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo
Leo naomba nianze makala yangu kwa mafunzo ya dini yangu, yanayosema mchungaji mwema, mwenye kondoo 100, kondoo mmoja akapotea, atawaacha wale kondoo 99, kwenda kumtafuta yule kondoo mmoja aliyepotea, na itakuwa furaha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.