pongezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima yupo CCM lakini bado anazitumia akili zake pongezi kwake

    Askofu Gwajima yupo CCM lakini bado anazitumia akili zake pongezi kwake. Hivi ndivyo inavyotakiwa. Lakini ukikuta mtu anashindwa kutumia akili zake ipasavyo ni kwasababu ya njaa. Maombi yanaendelea kanisani kesho. Nampoteza fulani kwenye ulimwengu wa siasa katika jina la Yesu.😂😂😂😂😂😂😂 Mtu...
  2. Bowie

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanastahili pongezi kwa msimamo wao dhidi ya COVID-19

    Toka janga la Covid19 lianze mwaka jana msimamo wa chama cha CHADEMA ulikuwa watu tahadhri zote zichukuliwe kama kuvaa mask na kuungana na jumuiya za kimataifa katika kupambana na ugonjwa huu ikiwezekana watu kuchanjwa. Wabunge wa CHADEMA walipovaa mask bungeni walionekana wasaliti...
  3. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Marekani Afrika afungua mazoezi ya kijeshi baina ya US na Tanzania

    Kamanda wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Stephen Townsend, alikuwa na ziara ya siku mbili nchini Tanzania, tarehe 27 na 28 Julai, ambapo alikutana na maafisa waandamizi wa jeshi na kufungua mazoezi ya kwanza ya pamoja ya kijeshi ya nchi hizi mbili toka mwaka 2017...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Tuwapongeze JWTZ kwa uaminifu uliotukuka katika kutunza viapo vyao

    Nimeona ni vyema kutoa pongezi chanya kwa idara na watu wanaotenda mema wangali wakiendelea kutenda mema ili kwanza, watiwe moyo, lakini pia wale wengine wanaojikwaa mahalali , wapate hamasa ya kutenda mema. Uzi huu ni rasmi kuwapongeza JWTZ, au Jeshi la Wananchi wa Tanzania (Tanzania Peoples'...
  5. DustBin

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Serikali kwa aina hii ya ukusanyaji kodi isiyokwepeka

    Nawasalimu ndugu watantania kwa jila la JMT Wiki kadhaa zilizopita walijitokeza watu wakimnanga mkuu wa nchi kwamba kwa anayoyafanya ya kulegeza kamba kwenye ukusanyaji kodi kwa kutotumia nguvu ni kujiingiza kwenye anguko la kitaifa kwani hakuna mtu anapenda kulipa kodi hivyo kama hakuna nguvu...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa mlioandaa Kongamano Maalum katika kumbukizi ya mwaka mmoja tangu Hayati Benjamin Mkapa afariki dunia

    Jumatano ijayo tarehe 14 katika Siku ya Kumbukizi ya mwaka Mmoja wa Kifo cha Rais wangu bora wa Pili Tanzania Benjamin Mkapa kutakuwa na Kongamano la Kujadili yale mema yote ambayo Hayati Mkapa ameifanyia Tanzania yetu hii. Kongamano hilo litafanyika katika Ukumbi wa Mlimani City na Mgeni rasmi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Pongezi 3 na ombi 1 kwa Rais Samia

    Kwanza nakupongeza kwa uamuzi wako wa kukarabati mapungufu yaliyoonekana katika awamu ya tano, ambayo wewe mwenyewe ulikuwa kiongozi mkuu. Pili nakupongeza kwa kumali siku 100 za uongozi wako kwa kurekebisha pale ambao uliona hapakwenda sawa. Tatu nakupongeza kwa ku-deal na watu ambao...
  8. Sauti ya Mamlaka

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Wakili Peter Kibatala, anafanya kazi nzuri

    Lengo la thread hii ni kutambua mchango wa wakili msomi Peter Kibatala kiukwel anafanya kazi nzuri sana katika mapambano ya haki na utawala wa sheria hapa kwetu Tanzania Hivo ningependa muungane na mm katika kumpongeza wakili huyu nguli na mjuzi wa sheria.
  9. S

    JamiiForums Tanzania RC Makala: Wafanyabiashara ndogo ndogo kupangwa upya Dar es Salaam, walioko barabarani kuondolewa

    Leo RC Makalla amekaa na madiwani kuwaelezea nia yake ya kuwapanga upya wamachinga ktk jiji hili la kibiashara Chanzo: ITV habari Wamachinga walipewa Uhuru usiyokuwa na mipaka kiasi kwamba waligeuka kuwa kero kwa kila mtu. Uamuzi wa RC Makalla uungwe mkono ili hawa wanyonge wafuate...
  10. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa DPP Mpya. Kama itampendeza, aanze kwa kutumia Nolle, kusafisha Uchafu wote wa mtangulizi wake...

    Wanabodi, kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi, huwa nawaletea zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huandikwa kwa swali, na kukuachia wewe msomaji uhuru wa kuchangia na kutoa jibu lolote. Makala hizi zitakuwa zinatoka kwenye Gazeti la Nipashe, kila siku za Jumapili. Makala...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Meneja wa NSSF Kinondoni

    Habari, naomba kutoa waraka huu mfupi iwe sehem ya kunena yalio mazur kuhusu NSSF Tawi la Kinondoni. Ni kweli NSSF ni suala ambalo limekua pasua kichwa mno, hususan kwa watumishi waliopewa dhamana ya kuhudumu wa wanachama, mim nilikua sehem ya muhanga, sintotaja ni kampun gan nilihitim mkataba...
  12. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Chama cha Wafanyabiashara Wanawake nchini (TWCC) kimempongeza Rais wa Samia Suluhu Hassan

    Chama cha Wafanyabiashara Wanawake nchini (TWCC) kimempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa utekelezaji mzuri wa majukumu yake tangu alipopata madaraka March, 2021 baada ya kufariki dunia mtangulizi wake, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Akizungumza na...
Back
Top Bottom