Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,158
- 866,399
Huu ndio uhalisia ulioko kwenye jamii.. Jamii haina upendeleo kwakuwa
Ukifanya vema.. Bila hata kuomba itakupongeza na kukusifia sana..LAKINI ukiboronga itakubagaza live bila chenga
Risala iliyosomwa na jaji imepata ukosoaji mkubwa kwakuwa imeenda tofauti na uhalisia na ukweli wa kilichotokea
Hapa ni lazima wahusika wajitafakari kwa kina sana..Maana kumeshawahi kutokea ukosoaji huko nyuma lakini sio mkubwa Kama huu
Jamii inaugulia kimyakimya hivyo inapopata nafasi ya kutoa ya moyoni.. Uhalisia ni mkubwa na mbaya sana
Badala ya pongezi ni matusi.. Je bado hawana la kujifunza!?🥺🤔