Pongezi JF kwa kuwa na 'water mark'

Pongezi JF kwa kuwa na 'water mark'

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
371,079
Reaction score
859,205
Sijakosea jukwaa nimeona hizi pongezi nizitolee huku
Sasa ni rasmi maandiko yetu ndani ya JamiiForums yatatambuliwa chanzo chake ni JamiiForums Tanzania
Sasa unapoperuzi kwenye majukwaa na mada utaona upande wa juu kulia kuna maandishi ya kufifia yameandikwa Jamii forum Tanzania
Ni hatua kubwa na nzuri inayostahili pongezi kubwa.. Ule wizi wa kazi zetu ndani ya JF naamini utakomq au kupungua kwa kiasi kikubwa

Naamini sambamba na hill kuna hakimiliki ipo tayari pia
Hongereni sana!
 
Shee mbona sioni?
 
Shee mbona sioni?
Labda wengine wajaribu.. Au ni simu yangu tuu?
JamiiCheck
IMG_20260510_214549.jpg
 
Back
Top Bottom