Apa ni wale ambao akinywa pombe anakua mdadisi sana wa ishu.
Kunae jamaa angu. Kila akinywa pombe utaanza sikia oooh kwani mimi na wewe tushagombana!
Onyo; hakuna onyo lolote
Kwanza nakupa pongezi kwa kazi kubwa uliyoifanya kwa miaka mitano ya kutujengea miundombinu ambayo itakapokamilika itakuwa nyenzo nzuri ya maisha kwa wananchi wa kawaida ambayo kwa sasa wengi wao wanajifanya hawaioni, mladi kama bwawa la mwalimu nyerere utakaopunguza gharama za...
Na Emmanuel J. Shilatu
Kama ambavyo Watanzania tunavyomkumbuka Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere kwa kusaidia ukombozi wa upatikanaji wa uhuru ama kama ambavyo Hayati Moringe anavyokumbukwa kwa mapambano ya ubadhirifu wa mali za umma, pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
JE, UNAMUONAJE JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, MACHO YAKO YANAONA KAMA SISI?
Mwendi R.D
+255739333332
Serikali ya awamu ya tano kupitia kiongozi mahili Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli imefanya mambo mengi na makubwa ya kimaendeleo yanayopelekea wananchi wengi ikiwemo wanyonge na wenye hali ya...
Ni mjadala mdogo tu kwamba kila mtu huwa ana ulevi wake sasa hebu tuambiane kati ya walevi wa Pombe ( wazee wa tungi) na walevi wa sex ( wazee wa migegedano) wepi ni wengi zaidi duniani au ndio kwamba vinaenda pamoja kama rasta na msokoto?
"Mtu anasimama analalamika eti sina mahusiano mazuri na Nchi za Ulaya kwani ni lazima mtu kwenda huko Ulaya, hata sasa kuna mkutano wa umoja wa mataifa nimesema siendi nitatuma Mabalozi wetu wakatuwakilishe huko na ndiomaana tukawaweka huko watuwakilishe"
"Ningekuwa sina mahusiano mazuri je...
MKUTANO WA MGOMBEA URAIS JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKEA CHATO, GEITA UKO LIVE
===
MAGUFULI: Ndugu zangu wa Chato na Geita kwa ujumla, mwaka 1995 nilikuja kuomba kura kwa nafasi ya ubunge, mkanipa miaka 5, nikaja tena mwaka 2000, nikaja tena 2005. Katika vipindi vyote vinne nikiwa mbunge...
Akiwa mkoani Iringa leo tarehe 13 Septemba, Lissu amesema "Natoa rai kwa Mgombea Urais wa CCM na vyombo vyetu vya habari, kufanikisha mdahalo kuhusu mustakabali wa Taifa letu la Tanzania"
=====
LISSU IRINGA: MDAHALO NA MAGUFULI, MIKOPO ELIMU YA JUU NA HIFADHI YA JAMII KWA WOTE
Mgombea Urais...
ASILIMIA 100 YA TABAKA LILILOJICHOKEAGA AWAMU ZOTE,AMBALO AWAMU YA TANO LINAOGOPWA NA WENYE PESA, WATAMPA KURA ZOTE RAIS JOHN POMBE MAGUFULI.
Leo 14:45hrs 06/09/2020
Tabaka la watu wanyonge wasio na chochote cha kujisifu nacho mbele za watu ambalo awamu zote limejichokeaga tu sema safari hii...
Kwa hali iliyofikia huku mtaani sasa serikali inatakiwa kuingilia kati. Kwani sasa vibanda vingi mtaani/stendi kila sehemu wanauza pombe hasa hizo kali, jamii ya konyagi, kwa sasa utakuta kibanda kinauza machungwa, pipi, soda, unga, mkaa hapo hapo wanauza pombe kali
Kwani mamlaka husika hasa...
Wakuu poleni na majukumu.
Ndugu zangu na dozi ya dawa ila leo nataka nitoke out sehemu nzuri yenye muziki safi nicheze na mtoto mzuri, sasa naombeni mnitajie jina la kinywaji kizuri cha heshima kisichokuwa na pombe ili ning'oe mtoto mzuri akafurahie penzi la msukuma.
Asante.
Nilitabiri humu na ikawa kweli kuwa Wagombea wakuu wa uchaguzi mkuu wa Rais mwaka huu ni Wakili Msomi mwenzangu Tundu Lissu (Upinzani/CHADEMA) na Dr. John Pombe Magufuli (CCM). Ni katika andiko langu hili: Uchaguzi 2020 - Utabiri wangu 2020: Ni Dr. John Pombe Magufuli (CCM) na Wakili Msomi Tundu...
Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli arejesha fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa Jijini Dodoma. Ameongozana na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan.
M/kiti wa NEC, Jaji Mstaafu...
Hapo vipi!
Ni kwa muda mrefu Arusha imezorota kimaendeleo,mpaka vimikoa vidogo vinakua kasi ukilinganisha na Arusha yenye fursa nyingi za kiuchumi.
WanaArusha nyie ni mashaidi juu ya kupwaya na kulala kwa fursa mbalimbali zilizopo katika mkoa wa Arusha.
Arusha kama miaka kumia imegeuzwa na...
Wana Chitchat habari ya mchana
Kama kichwa cha habari kinavyojionyesha hapo juu, nataka nianze kunywa bia, kwa maana sijawahi kunywa pombe yoyote ile, sasa naomba mnishauri ni bia gani ambayo ni rahisi, na rahisi kwa kujifunzia kwa sisi 'beginners'
Asanteni karibuni sana wana chitchat.
Watengenezaji wa pombe nchini Canada wamelazimika kuomba msamaha kwa kuipatia pombe jina ambalo katika jamii ya Maori kwa kawaida hutumiwa kutaja ''nywele za sehemu za siri''.
Watengenezaji wa pombe wa kampuni ya Hell's Basement Brewery mjini Alberta walisema kuwa walitangaza kinywaji...
NA MILADY AYO
MAMBOKUMI (10) USIYO YAJUA KUHUSU MH RAIS DKT JONH POMBE MAGUFULI.
1.Magufuli ameandikwa kwa lugha 134 mwaka 2016 nchi mbali mbali duniani.
2.Magufuli kapanda ndege za kwenda nchi za nje mara 7 tu toka amekuwa Serikalini,moja ilikuwa Libya,nyingine Ulaya na nyingine Japani...
Watu 10 wamekufa kwa kunywa kitakasa mikono kilichochanganywa kwa pombe baada ya uuzaji pombe kupigwa marafuku katika kijiji kilichopo jimbo la Andhra Pradesh nchini India.
Kijiji cha Kurichedu kimewekewa hatua ya kutotoka nje kama njia moja ya kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya Virusi...
Habari Wadau,
Anahitajika mtu mwenye sifa zifuatazo:
Awe na uzoefu wa kuuza pombe kali (Spirits) walau boksi 2,000 kwa mwezi
Awe mwaminifu na muadilifu
Awe tayari kufanya kazi Singida, Dodoma na Rukwa
Awe na umri kati ya miaka 25-35
Kama una sifa zilizotajwa nitumie email kupitia...
Tafadhali sana mheshimiwa sana, Raisi wetu, Dkt. Magufuli, yahusu huyu Tundu Lissu atakaporudi nyumbani Tanzania. Kama kweli alikuwa msaliti, ni Mungu tu ajuaye na ni Mungu tu aliye hakimu wa haki.
Mheshimiwa sana, wewe ni Mkatoliki na pia mseminari, waijua vema hadithi ya mwana mpotevu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.