pombe

  1. Gemini Are Forever

    JamiiForums Tanzania Najikuta kadri siku zinavyokwenda natamani sana Pombe (kulewa). Nifanyeje ili kuondokana na hiyo tamaa?

    Hello, wanaJF! Siku za nyuma nilikuwa na nidhamu sana katika fedha ila kadri siku zinavyokwenda nimekuwa nikibadilika, hasa katika matumizi ya pesa. Naweza nikafanya matumizi niliyopanga halafu baadaye najikuta natumia pesa isiyo kwenye matumizi. Kubwa linalonisumbua zaidi ni kwamba...
  2. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Pombe ya viroba mbona bado ipo Arusha

    Hallo wanaJF? Heri ya mwaka mpya. Hii ni wiki ya pili nashuhudia vijana wa hapa mtaani wakinywa pombe za kwenye karatasi almaarufu kiroba nikawauliza "Oya vipi machalii hizo zaga mmeokota jalalani nini? Wakanijibu Bushmamy mbona haya makitu yapo tele chuga hapa" Wanaendelea kaniambia, "Kama vip...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Anywa mikojo ya Wanawake nusu lita ili kukata pombe

    Jamaa mmoja nchini Uganda aliyetambulika kwa jina la Ismail Dholaga mwenye miaka 35, amelazimika kunywa lita moja na nusu ya mikojo ya wanawake ili kurejesha fahamu baada ya kulewa tilalila. Ismail Dholaga ambaye anafanya kazi ya udereva wa pikipiki (bodaboda) alilazimishwa kufanyiwa kitendo...
  4. Mikopo Chefuchefu

    JamiiForums Tanzania Huwa mnamalizaje pesa kwenye pombe wakati Mbogo inauzwa Tsh 500 na Faru Tsh 600?

    Mbona pombe ni bei nafuu sana? Mnaosema inamaliza hela, huwa inamalizaje?
  5. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Breaking news! Pombe zote zimekwisha Moshi muda huu

    Hali ni mbaya leo inasemekena Mbwa zote zimefungiwa Iringa muda huu. Hakuna mbwa inayozurula nje muda huu.
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Watu 11 wafariki na wengine zaidi ya 300 wamelazwa baada ya kunywa pombe ya mnazi

    MANILA (Reuters) - At least 11 people have been killed and more than 300 treated in hospital after drinking coconut wine in the Philippines, including some who were celebrating at a Christmas party, health and local authorities said on Monday. The poisoning occurred in Laguna and Quezon, two...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Watu 11 wafariki na wengine zaidi ya 300 walazwa baada ya kunywa pombe ya mnazi

    MANILA (Reuters) - At least 11 people have been killed and more than 300 treated in hospital after drinking coconut wine in the Philippines, including some who were celebrating at a Christmas party, health and local authorities said on Monday. The poisoning occurred in Laguna and Quezon, two...
  8. rr4

    JamiiForums Tanzania Zijue aina za pombe za makabila ya Tanzania

    Nimekaa nikawaza kuwa Serikali inaweza kabisa ikapiga ban pombe toka nje ya nchi na kuweka mkazo kwenye local brew zetu huenda na sisi tungeuza nje. Tatizo tunadharau vya kwetu, haya mawine na mawhisky toka nje napo yalipotoka yametengenezwa na watu au familia fulani na kupewa uzito na serikali...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Wakinababa wadaiwa kuwaozesha watoto wao wadogo kwa pombe

    Jambo hili lilibainishwa jana katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto,yaliyofanyika katika kijiji cha Penzi kata ya Mondo kupitia Shirika lisilo la kiserikali la World Vision chini ya mradi wa Enrich. Taarifa inaeleza kuwa, wanawake...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Prince Katenga II: Ujio wa John Pombe Joseph Magufuli

    Dr. Prince Katega II: WAZUNGU WANAMWOGOPA SANA MAGUFULI December 2, 2019 Mwana diaspora Dr. Katega II anatuletea gumzo alilolisikia akiwa mtanzania mwenye makaazi ulaya ya Kaskazini juu ya mafanikio makubwa ya serikali ya awamu ya 5 katika utawala wake ndani ya miaka minne ya mwanzo toka kuanza...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli taarifa hii muhimu na ya ‘ Aibu ‘ kutokea Mkoani Kwako Geita unayo?

    Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa Imani za ‘ Kishirikina ‘ ambazo sasa zimeanza ‘ Kuzoeleka ‘ Mikoa ya Kanda ya Ziwa ( Ukiuondoa wa Mara / Musoma tu pekee ambao unaongoza kwa kuwa na Watu Wastaarabu Kanda ya Ziwa nzima kama si Tanzania na Duniani kwa ujumla ) hasa ile inayokaliwa na...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mola tulinde na shari za huyu adui Pombe

  13. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afisa wa Polisi wa Kisauni akutwa amefariki Baa baada ya kunywa pombe kali

    Kiongozi Mkuu wa Polisi Mombasa Bw. William Chepkwony amekutwa amefariki leo jumanne katika Baa aliyoingia kwa ajili ya kunywa pombe. Ripoti zinaeleza kuwa mwili wa Polisi huyo umekutwa katika kiti cha Baa maeneo ya Bombalulu. Aidha, inaelezwa kuwa chanzo cha kifo hicho hakikufahamika awali...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Mabinti darasa la 4 wauza pombe za kienyeji

    SHEHE wa Kijiji cha Mpwayungu Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Nurdin Mbawala amesema watoto wa kike kuanzia darasa la nne wanatumiwa na wazazi wao kuuza pombe za kienyeji hivyo kuhatarisha usalama wao. Aidha amesema hali hiyo inawaweka watoto hao katika hatari ya kutumika katika ngono wakiwa...
  15. Mag3

    JamiiForums Tanzania Duh, kumbe uchaguzi ulio huru na wa haki ni hisani ya Dr. John Pombe Magufuli na si matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

    Nikimnukuu kada wa CCM na Gwiji wa siku nyingi humu JamiiForums, Pascal Mayalla... "We have nothing to loose rais Magufuli akiruhusu demokrasia ikashamiri, akatoa haki sawa kwa vyama vyote kufanya siasa ikiwemo kuondoa zuio la mikutano ya siasa, bado rais Magufuli anaweza kuyaleta maendeleo...
  16. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Viwanda vya juisi, pombe ya korosho vyaja

    WAFANYABIASHARA wakubwa wa korosho, wawekezaji na watafi ti 169 kutoka nchi 13 duniani zikiwamo nchi zinazoongoza kwa ununuzi wa korosho, India na Vietnam, wamekubaliana kuzuia uuzwaji wa korosho ghafi kutoka nchini kwenda nje ya nchi. Badala yake, wametaka korosho iendelezwe hapa hapa nchini...
  17. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kauli mbili za kiroho kutoka kinywani mwa Rais John Pombe Magufuli

    Naenda moja kwa moja kwenye point. Hizi ni kauli 2 za kiroho kutoka kwa Rais wa awamu ya 5 wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Mh. John Pombe Magufuli. 1. TANZANIA NI NCHI TAJIRI/ WE ARE A DONOR COUNTRY. This voice was coming from God himself. Magufuli was just used as a mouthpice of...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo naacha pombe

    Pamoja na magonjwa yanayosababishwa na pombe nimegundua hii pombe imenifilisi vya kutosha. Huu ni mwaka wa 15 nakunywa pombe. Siku nne za wiki nakunywa angalau bia 4 kama sio tano yaani heineken =4*300*4 = 48,000. Siku tatu ambazo ni weekend nakunywa bia 10 mpaka 12 Heineken = 10*300*3 =...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye biashara ya pombe na chakula, chumba cha mhudumu kwenye sehemu ya biashara ni muhimu

    Kama unajenga mgahawa, bar hata guest house, kumbuka kuweka chumba cha mhudumu pembeni. Ikiwezekana weka viwili cha wanawake na cha wanaume. Hii itakupunguzia stress za wafanyakazi kuchelewa kazini asubuhi kwani wale wapika supu na chapati wataamkia hapo hapo. Kama unaweza, unaweza kuweka...
  20. Influenza

    JamiiForums Tanzania Ifunda, Iringa: Moto ulioanzishwa na mpishi wa pombe wasababisha hasara ya zaidi Bilioni 1.5

    Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela amesema Moto uliozuka Kijiji Cha Mfukulembe umeunguza zaidi ya nyumba 11 na mashamba ya miti yenye ukubwa wa zaidi ya ekari 811. Aidha amebainisha kuwa hakuna mtu aliyepata madhara na chanzo cha moto huo isadikiwa kuwa mama mmoja aliyejulikana kwa...
Back
Top Bottom