pombe

  1. Superbug

    Rais Magufuli unanifurahisha sana, endelea kuwaumbua wazee wa ndiooooo wanaotoa rushwa ili uchaguzi 2020

    Mzee JPM kunawakati inabidi nikupongeze tu hata Kama roho yangu haitaki . Hawa jamaa zako ambao hawana faida kwa taifa kazi yao ni ndioooooooo na kupiga meza wanaumbuka vibaya Sana. Kila siku yanakamwatwa kwa rushwa hii ndio Safi mzee baba yajifunze kuwa ushetani wao unamalipo hapahapa...
  2. Mkogoti

    Je, Rais Magufuli alipopiga simu kwenye Tamasha la Kwaya la Kumshukuru Mungu alikuwa yupo wapi pale?

    Habari wapendwa? Natumaini Wazima wa Afya. Twende kwenye hoja yetu, ni hivi: Jumapili kulikuwa na Tamasha la kwaya mbalimbali Lengo ni Kumshukuru MUNGU, Sasa kwenye mida kama ya Usiku hivi Kulikuwa na kama Tv ikamuonesha Rais John Pombe Magufuli akiwasalimia waliohudhuria. Ila Nyuma ya...
  3. Money Penny

    Demu gani ni rahisi kumkamatia? Anayekunywa pombe au asiyekunywa pombe?

    Kama kawaida road trip yetu na vijana wangu, wakawa wanabishana wanasema hivi "Demu asiekunywa pombe sio rahisi kumtongoza, kumvua chupi na kumla. 🙆 Demu anaekunywa pombe ni rahisi sana kumvua chupi, kumla unavyotaka ukimpa chupa 3 za mnyama au konyagi ya 700 na nyama za kutosha" Sasa sijui...
  4. Ze Bulldozer

    GE2020 TLP Updates: Fahamu Mambo matano (5) kati ya ishirini na moja (21) yanayoisukuma zaidi TLP kumuunga Mkono Mhe Dkt. John Magufuli kuelekea Okt 2020

    " HAYA NDIO MAMBO MATANO( 5 ) KATI YA ISHIRINI NA MOJA ( 21 ) YANAYOISUKUSUMA ZAIDI LABOUR PARTY YA TANZANIA KUMUUNGA MKONO MHE DK JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KUELEKEA OCT 2020 " 1. Watumishi 32,555 wenye dosari serikalini, Nyote Mtakumbuka March 2016 Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwanini pombe huwa ni chungu na zina harufu mbaya?

    Kwanini pombe huwa zina harufu kali na ladha ya uchungu? Kwanini ile harufu kali husaidia nini kwenye pombe? Na ile ladha mbaya na chungu imewekwa ili iweje? Au ndio inaongeza nguvu za kiumeni?
  6. kikoozi

    Rais Magufuli tusaidie sisi vijana wasomi kwenye mradi wa SGR

    Habari Mh rais Dr John Pombe Joseph Magufuli, Pole kwa majukumu mazito ya nchi kwa maana ya kitaifa na kimataifa kwa ujumla. Awali ya yote tunatoa pongezi za dhati kabisa kwa serikali yako ya awamu ya tano, chini ya uongozi wako kwa kazi nzuri ulizozifanya na unazoendelea kuzifanya katika...
  7. VUTA-NKUVUTE

    Huu ndiyo muda wa kumjadili,'kumsema' na kumkosoa Dr. John Pombe Magufuli

    Amechukua fomu za kuomba kugombea tena Urais kupitia CCM. Ameingia tena kwenye mchakato wa ndani ya CCM wa kumpata Mgombea wetu na baadaye kupeperusha bendera ya CCM kwa ngazi ya Urais kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba, kama atapitishwa. Huu ndiyo muda muafaka wa kumjadili, kumsema na kumkosoa...
  8. Dr. Mwigulu Nchemba

    GE2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

    1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile. 2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa...
  9. M

    Lijualikali: Mbowe hakuvamiwa bali kateleza kwa ulevi | Musukuma: Mnaliza ving'ora kumsalimia mlevi kateguka mguu

    Lijualikali akichangia bungeni leo amesema Mbowe hakuvamiwa bali alianguka sababu alikuwa amelewa Maneno hayo yamesindikizwa na makofi mengi ya wabunge kuashiria kuunga mkono hoja yake Pia baada ya maneno hayo Spika amesimama na kusema kuna kitu hakiko sawa ndio maana hawataki kusema akalitaka...
  10. The Palm Tree

    GE2020 Je, ndani ya CCM kuna watu wamegeuka mashetani katika maumbo ya kibinadamu?

    Awali ya yote, mtakaokwazika mtanisamehe tu. Kwa sababu kichwa kikuu cha mada hii imebebwa na maneno magumu na makali kidogo. Imebidi iwe hivi kwa sababu nimetafuta maneno mbadala ili ujumbe ama maudhui ya ujumbe ninaotaka kila mtu apate, nikakosa. Pokeeni na twendeni hivyo hivyo kwa sababu ni...
  11. Leslie Mbena

    Alipotutoa Rais John Pombe MagufulI na anapotupeleka,kwa hakika sasa watanzania tunajua tunapoelekea

    ALIPOTUTOA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI NA ANAPOTUPELEKA,KWA HAKIKA SASA WATANZANIA TUNAJUA TUNAPOELEKEA. Leo 13:30pm 06/06/2020 Rais John Pombe Magufuli ametutoa kwenye giza totoro lililoleta kashfa kubwa ya Ufisadi wa Richmond na Escrow na kutupeleka kwenye nuru na mwanga kwa kutujengea Bwawa...
  12. okiwira

    Narudia tena na tena kwako Rais John Pombe Magufuli

    IKUTI MBEYA RUNGWE ni sehemu ambayo binadamu na wanyama wanashea sehemu kunywea maji katika mto rumbe. Kila uchao wanasiasa wanawalaghai wananchi watawaletea mabomba ya maji ili wapite bila kupingwa. Lakini hawaleti. Je, wewe nawe hii sehemu ya siasa zako? MJOMBA WA HAPA KAZI TU? Mhe. Rais...
  13. APA CHICAGO

    Hongera Rais Magufuli kwa kumaliza mgogoro na Kenya

    Hongera Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuongea na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na kisha kuumaliza mgogoro uliokuwa unataka kutokea katika mipaka yetu wa Tanzania na Kenya. Ieleweke kuwa mahusiano mazuri kati yetu na nchi majirani zetu ni kitu muhimu kiuchumi nk.Nitoe...
  14. RoadLofa

    Nataka kufungua kiwanda kidogo cha pombe kali. Utaratibu ukoje?

    Kama title inavyojieleza nina idea ya kuanzisha kiwanda kidogo cha pombe ila bado sijui costs za kufinance projects na kwa mwenye madini naomba anipatie. Pia, kama kuna mwenye uzoefu na biashara ya pombe kali kama K-Vant na Konyagi anakaribishwa kumwaga madini, shida yangu nahitaji kujua...
  15. G Sam

    Salim Kikeke Mungu akulinde, umeionyesha dunia udhaifu mkubwa wa serikali ya Rais John Pombe Magufuli

    Namshukuru Mungu wangu muumba wa mbingu na nchi kwakuwa bado wapo wenye kuumia na jinsi hali inavyoenda. Wanaonyesha masikitiko yao makuu mbele ya runinga duniani. Ndugu Salim Kikeke kwa makala uliyoiweka wazi leo na ushahidi ulioonyesha, nakushukuru sana. Serikali ya Rais John Magufuli...
  16. Mag3

    Je, ni kweli Makonda alitoa agizo la jiji la Dar es Salaam kupuliziwa dawa ya kuzuia corona kwa niaba ya Rais John Pombe Magufuli?

    Ili kuwalinda wakazi wa Mkoa wake wa Dar es Salaam, Mh. Paul Makonda amedai alilazimika kuchukua hatua hiyo kwa niaba ya Rais Magufuli. Kama dai lake hili ni la kweli, nadhani uchunguzi kama unahitajika kufanyika, video hizi hapa chini ni ushahidi wa kutosha.
  17. Return Of Undertaker

    Ilala: DC Sophia Mjema athibitisha wagonjwa wa COVID-19 hospitali ya Amana kuleta fujo na kutaka kuondoka wakajitibie nyumbani

    Mkuu wa wilaya ya Ilala Bi.Sophia Mjema athibitisha wagonjwa kulazimisha kuondoka katika Hospitali ya Amana kurejea nyumbani. Pia soma > Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe --------- Mkuu wa wilaya ya Ilala...
  18. Analogia Malenga

    Mbeya waonywa kugeuza pombe dawa ya Corona

    Wakazi mkoani Mbeya wametakiwa kuepuka matumizi ya vilevi vikali kwa kuamini ni dawa inayoweza kupambana na homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila (pichani) alitoa onyo hilo jana alipozungumza na waandishi wa habari juu ya jitihada...
  19. Influenza

    Gavana wa Nairobi, Mike Sonko agawa Pombe aina ya Hennessy akidai ni ‘Vitakasa Koo’

    Gavana wa Nairobi, Mike Sonko alithibitisha kuwa vifurushi vyake vya misaada kwa Watu kwa ajili ya kukabiliana na janga la #COVID19 vinajumuisha kiasi kidogo cha chupa za vilevi za aina ya Hennessy Sonko aliyeziita pombe hizo kama “throat Sanitizer” yaani Kitakasa Koo amesema tafiti...
  20. D

    Barua ya Wazi kwa Rais John Pombe Magufuli - Madaktari Bingwa Wabobezi na TCU

    Mheshimiwa Rais! Hongera na Pole kwa majukumu makubwa uliyopewa na Watanzania. Nikiri kwamba barua yangu hii, imechagizwa na Mkutano wa Madaktari Tanzania wa mwaka huu. Bahati mbaya Dr. Elisha Osati alisahau kuwasilisha hili. Mheshimiwa Rais, toka umeingia madarakani umeokoa kiasi kikubwa cha...
Back
Top Bottom