pombe

  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Jamii ya leo wakikuona kijana unajitambua sio mtu wa totozi wala mlevi wa pombe na sigara wanabaki kukuombea mabaya

    Wakuu mimi hapa nimekaa Mtaani Almost Two years lakin that time nilikuwa Chuo naongeza Maarifa ya kitu flan. Sasa Mimi hapa Kama kijana nimeamua kumtanguliza Mungu na kujituma katika Maisha yangu. Maaajabu nimeanza kuchukiwa na Familiya yangu . Lakini yote hayo Ni kwasababu nimeanza kumjali...
  2. Memtata

    JamiiForums Tanzania POMBE ‘Ganzi yenye maumivu’ (Safari yangu ya kuacha pombe)

    Kama ulishawahi kusoma nyuzi zangu mbili tatu hapa JamiiForum utagundua kabisa mimi ni cha pombe. Nikwambie tu mada zote nlizowahi kuzileta hapa ni za ukweli isipokuwa huwa nabadili kidogo maudhui ili kuepuka wazee wa kuunga dots, bado sijawa tayari kujiweka wazi mimi ni nani maana mengi ni ya...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nyimbo za Zamani huwa zinapendwa na kupendeza sana kwenye vilabu vya pombe za kienyeji?!!!

    eid mubarak!! Hii kitu nimeiona kwenye miji kadhaa niliyowahi kuishi hapa nchini..... Ukitembelea sehemu zinazopatikana pombe za kienyeji (gongo, wanzuki, chimpumu, mnazi n.k) basi burudani yao kubwa ni hz nyimbo za zamani..... Ddc mlimani park Sikinde Msondo ngoma n.k Hizi ni nyimbo zenye...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Tuliokuwa tunamponda Magufuli akiwa hai, sasa tutamtetea akiwa Amekufa!

    Kwema Wakuu! Hakuna atakayemsema Hayatti Magufuli akapata Faida yoyote Ile, zaidi nawaona wanaomkosoa hasa viongozi wakipata uharibifu mkubwa na kujenga chuki mioyoni mwa wananchi wa chini. Nimemsikia Mhe. Zito Kabwe akimshambulia JPM Kwa namna mbalimbali, nataka kumhakikishia Zitto kuwa...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Canonization of Dr. John Pombe Joseph Magufuli

    Can Roman Catholic Church initiate process of Beatification and Canonization of Dr. John Pombe Joseph Magufuli for he made High-most GOD (Monotheistic) bold in his governance, prioritizing worship and pro downtrodden. He wrestled down Covid by unique way of adoration that left the planet...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tahadhari watumia pombe kali!

    Mwaka jana, wakati kama huu (siku kuu mfululizo), nilimpoteza rafiki yangu kipenzi. Alipenda sana pombe kali, bia alikuwa hataki. Kula chakula alikuwa mvivu. Sasa alianza na pombe Kali, Alhamisi jioni, (hapo ni mpaka masaa marefu), Ijumaa, Jumamosi, Jumapili, Jumatatu! Sasa Jumanne tumefika...
  7. babukijana

    JamiiForums Tanzania Hawa wabunge vp nao ni pombe au?

    Nimeona baadhi ya wabunge na kuwaskia wakisema mheshimiwa rais then samahani mheshimiwa supika. Hivi hawa jamaa wanawakilisha ujumbe wao wapi?au kero za wananchi wao wapi? Kwa supika ama rahisi? Ina maana hawajui hata mada yao waipeleke wapi? Au ni makusudi tu. Rais na supika ni vitu mbili...
  8. Twilumba

    JamiiForums Tanzania Aina ya pombe na tabia za wanywaji wake

    Hivi kwa nn ukiwa Bar au eneo lolote la kupata drinks ukianza ile kuongea kwa sauti ya juu tofauti na awali wanazengo hutupia jicho kinywaji unachotumia? Kuna uhusiano wowote wa aina ya pombe na tabia ya mtumiaji?
  9. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Viwanda vya Pombe vipewe Ruzuku!

    Ikiwa vyama vya Siasa vinapewa Ruzuku. Iweje sekta inayoingiza Kodi kwa wingi hawapewi Ruzuku toka mfuko mkuu wa Taifa? Tatizo ni Nini? Tumechelewa sana!
  10. P

    JamiiForums Tanzania Maghorofa Magomeni kumbukumbu inayoishi ya John Pombe Magufuli

    Nilikuwa nafuatilia runingani namna Rais Samia anavyowakabidhi majengo wale wananchi walioahidiwa kujengewa na hayati JPM. Alipoanza kuongea yule Bibi aliyekuwa ameongozana na Babu kama ndio wawakilishi wa wakazi 644 akawa mzalendo katika kutoa shukrani zake. Kasimama mbele ya Rais SSH lakini...
  11. Equation x

    JamiiForums Tanzania Sababu zipi, zinazokupelekea wewe kwenda kunywa pombe maeneo ya starehe?

    Ni sababu zipi, zinazokuvutia wewe kwenda kunywa pombe bar, pub au club? Kwa nini usiagize vinywaji ukanywea nyumbani? Wengi tunaamini, kama utaamua kuagiza vinywaji na kunywea nyumbani kuna faida nyingi sana; mojawapo ni kubana matumizi, kwa sababu hutoshawishika kutumia zaidi ya bajeti...
  12. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Kuna uhaba wa pombe aina ya valuer maeneo ya Mbezi na Kimara

    Wakuu, ni week sasa kila liquor store ninayoenda hapa maeneo ya Mbezi na Kimara kutafuta valuer naambiwa hakuna. Meneja mauzo wa kampuni husika jitafakari sana kama unatosha kwenye hiyo nafasi. Asante.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Somo nililopata kupitia kwa Hayati John Pombe Magufuli

    Leo ikiwa ni mwaka mmoja umepita tangu Rais wa awamu ya tano Hayati John Pombe Magufuli afariki, nimekaa chini muda fulani nikatafakari siku hii ya kumbukizi ya kifo chake, Kuna somo nimelichukua kupitia kwake. Kwa kulinganisha kipindi akiwa hai na baada ya kutuacha, somo hilo ni kutokuogopa...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Unywaji wa pombe kupindukia husababishwa na kutokujua kiwango cha unywaji

    Wengine wanaokunywa bar walizozizoea wakilewa na kulala wake zao wanapigiwa simu. Kweli dignity iko wapi hapo, mke anakukuta umetapika au kujikojolea. Wengine wenye bar wana wafungia ndani kwa usalama wao. Sasa moto utokee usiku bar wakati imefungwa ndiyo tunaimba parapanda. Wengine...
  15. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Je, kinywaji aina ya ‘mnazi’ ni halali kwa Waislamu?

    Moja kwa moja kwenye hoja. Kinywaji hiki cha 'mnazi' ni maarufu sana na kinatumiwa kwa wingi katika ukanda wa pwani wa nchi yetu ambao kwa kiasi kikubwa una idadi kubwa ya waumini wa dini ya kiisilamu. Kwa kuwa kinywaji hiki kina 'ulevi' ndani yake, yaani kwa kunyoosha maelezo ni pombe, na kwa...
  16. Equation x

    JamiiForums Tanzania Usipokuwa makini na unywaji wa pombe maeneo ya starehe, unaweza kupata mahusiano yasiyokuwa na tija

    Kuna siku nilikuwa nimechoka sana, kutokana na changamoto za kidunia, nikaamua kwenda kiwanja na jamaa yangu kwa ajili kupiga kinywaji pamoja na kuosha osha macho kwa kuangalia watoto wazuri. Siku hiyo tulipiga pombe sana huku tukibembelezwa na ‘ live band’. Baada ya kukaa masaa kazaa, tukaona...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wanaume ni kwanini hampendi kuoa wanawake wanaokunywa pombe na ikitokea umeoa unaamua anywee nyumbani?

    Hapa mtaani best anapiga mitungi, mume wake hapendi kabisa anywee bar hivyo mwisho wa mwezi kuna cret la mama linawekwa store. Weekend hii bibie ameamua kunywa bia zake, mume aliporudi anamkuta amelewa to the top. Alikua amevaa kitenge kifuani, mume aliwaka kwani ameanza kumtune mama awe...
  18. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Wadau tupunguze bajeti ya pombe, tusaidie ndugu na majirani wasio na uwezo. Hali mtaani ni ngumu sana

    Hali imekuwa ngumu sana maana maisha yamekuwa tight. Utakuta jirani yako au ndugu yako hana chakula, mavazi hata watoto wake hawana mahitaji ya shule. Lakini unakwenda baa unazungusha round za kibabe. Mbaya zaidi inakuwa kila siku. Kwa hiyo kama kwa wiki unatumia laki kwenye pombe basi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia - Wachagga tupunguze matayarisho ya pombe kutokana na upungufu wa nafaka

    "Niwaombe sana ndugu zangu wa Kilimanjaro, tupunguze kidogo matayarisho ya Mbege na vinywaji vingine kwa kutumia nafaka, tujue kwamba mwezi wa 10 hatukupanda, tutapanda Machi na kutakuwa na upungufu kidogo wa chakula,,"-Samia Source-Nipashe Tanzania.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kiwanda bubu cha Mawese ni sawa, ila viwanda bubu vya pombe ni haramu

    Nimeshangaa sana chapuo wanazopigiwa Mh. Bashe na Zito. Juzi tu hapa kaskazini kule jamaa ana kiwanda bubu cha pombe kali (Kabrand ka Konyagi) wamemsweka ndani na kumuanika kwenye media kama haramia hatari kisa pombe. Mbona hamjatoa tamko SIDO wamsaidie nae au tumpe share breweries apeleke...
Back
Top Bottom