eid mubarak!!
Hii kitu nimeiona kwenye miji kadhaa niliyowahi kuishi hapa nchini.....
Ukitembelea sehemu zinazopatikana pombe za kienyeji (gongo, wanzuki, chimpumu, mnazi n.k) basi burudani yao kubwa ni hz nyimbo za zamani.....
Ddc mlimani park
Sikinde
Msondo ngoma n.k
Hizi ni nyimbo zenye heshima sana kwenye jamii na zinachukuliwa kama mfano wa kuigwa na vizazi vipya, sasa kwenye mabaa ya kienyeji zimeangukiaje?!!!! Unapita unasikia kitu 'Shukrani kwa Wazazi' kwa hewa mpaka unatikisa kichwa na kutamani kusimama uumalize kuusikiliza, ile unaangalia inapotoka sauti; he, ni kilabu cha kienyeji na watu wamejichokea hawana maadili yoyote.....lkn wanasikiliza maadili. Imekaaje hii?
Karibuni!