pombe

  1. FAHAMU Faida za unywaji BIA kwenye mwili wa Binadam

    Siku zote ukiwauliza watu kuhusu unywaji wa pombe aina ya Bia, watakuambia sio nzuri kiafya, na watakuelezea na matatizo mengineyo yanayoambatana na unywaji wa Vilevi. Je umewahi kufikiria kuhusu faida za unywaji wa BIA kiafya. Sasa mimi sio mchoyo, nimekutana na Kipande cha video hii...
  2. K

    Jana nilikunywa pombe then nikanunua mayai ya kuchemsha nikala, saivi najamba mashuzi yananuka hatari

    Wakuu, poleni na masuala ya hii nchi isiyokua na kiongozi. Jana kwenye mishe zangu, nikaingia Baa flani nikapiga valuer zangu mbili then akapita muuza mayai ya kuchemsha nikanunua mawili nikala. Sasa ngoma leo imejibu,asee najamba mashuzi yananuka harufu sio ya nchi hii. Naomba ushauri...
  3. Kwanini wanawake wana vichwa vyepesi kwenye pombe, wanalewa haraka sana na huwa na nguvu ndogo sana ya kujitambua tofauti na wanaume

    Kwa kweli nimeshajionea wanawake wengi kwenye pombe ni ngumu hata kuwa wanywaji, pombe kidogo tu unakuta tayari ishampanda kichwani kakolea. Wanawake pombe zikipanda ile nguvu ya maamuzi huwa inapungua sana kuzidi hata wanaume ambao angalau wanaweza kujihandle kimtindo. Na mfano mzuri ni hata...
  4. Pepsi na Coca ni vinywaji vinavyozeesha haraka kuliko pombe

    Mimi ni mtu ninayependa kufanya tafiti mbalimbali za maisha kila siku japo si jambo nililosomea ila huwa napenda tu kuchunguza mambo mbalimbali ya maisha kwa ujumla wake iwe kupitia watu wengine au mimi mwenyewe, twende kwenye hoja kuu. Baada ya kupata kazi yangu ya kwanza mwaka 2010 kwenye...
  5. Hayati Magufuli ni Mtanganyika kweli kweli, hakuwahi kwenda Ulaya. Alisalimia kwa lugha 27 kila alipohutubia

    Mwamba kweli kweli, Mtanganyika kweli kweli na Mtanzania halisi, hakuwahi kumuita mzungu au mwarabu wajomba zake. Safari zake zilikuwa kuzunguka Tanzania na uko alisalimu kila kabila alilokutana nalo njiani kwa lugha ya hiyo kabila, wanasema alijua lugha hizo wakati akizunguka Tanzania kujenga...
  6. Uliwezaje kuwa mlevi wa pombe(kunywa pombe)

    Alooooooooo. Habari za wakati huu wana jukwaa. Kama kawaida ya watu wengi wamekua wakizifagilia pombe kwamba ni miongoni wa starehe pendwa duniani. Lakini kwangu mimi ni tofauti maana si mtumiaji wa pombe kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya kiafya. Nahitaji uzoefu wenu katika hili...
  7. Uvivu wa Maprofesa na pombe, ndio chanzo cha DP World

    Uvivu wa Maprofesa wetu wa sheria umesababisha haya. Kwani katiba ilioruhusu Zanzibar kuwa na serikali yake kamili, huku Tanganyika ikiwa haina serikali nyingine yake yenyewe, kwanini katiba hio sasa ikaruhusu Mzanzibari kurithi Urais wa serikali hii badala ya siku zote kuishia umakamu wa Rais...
  8. Tunaonywea pombe nyumbani kwasababu mbalimbali ikiwèmo kuficha tabia yetu ya ulevi tuonane hapa

    Kama kichwaccha habari kinavyojìleza, wote tunaokunywa pombe za ķujificha tukutane huku tusingoje yatukute yaĺiyomkuta mzee wa upako, najua wengì tunatamani kuacha pombe lakini tumenaswa mahali. Tumeishia tu kusema hii ndio chupa yangu ya mwisho, kesho sinywi tena, na akili źikiturudia...
  9. Sheria ya Umiliki wa Rasilimali na Maliasili iliyotungwa Awamu ya Tano, chini ya Hayati Magufuli

    Ikumbukwe wakati sheria ya kulinda rasilimali za taifa inatungwa mwaka 2017 Mh Waziri mkuu alikuwepo,Spika alikuwepo wakati huo alikuwa Naibu Spika,Rais alikuwepo wakati huo alikuwa Makamu wa Rais,Waziri wa fedha alikuwepo wakati huo alikuwa Waziri wa Sheria, na wabunge waliopitisha bungeni ni...
  10. Nilivyoacha pombe kwa mara moja kwa kutumia psychedelics

    Habari zangu ni nzuri na zilizojaa furaha baada ya kufanikiwa kuacha pombe. Kama mtumiaji mzuri niliyokubuhu wa pombe takriban miaka mitano nilikuwa na pambana sana na nafsi yangu kuacha hii kitu, nikijitahidi sana naweza kukaa wiki ila nilikuwa nakunywa kila siku. Kwa kuhangaika kwangu...
  11. Je, katika bajeti ya Mwigulu kuna ongezeko la kodi kwenye pombe?

    Jamani naomba kuuliza, hivi katika bajeti ya Wizara ya Fedha, kuna kodi imeongezwa kwenye pombe/ bia etc? Maana leo kuna bar wamepandisha bei, wengine hapana. Nini hasa katika hili? Please Serikali hii kitu ndio ondoa stress, iacheni kwa bei affordable, la sivyo tutakufa mapema muishie kutawala...
  12. Naomba ushauri: Niliacha pombe, kwa sasa nimerudi kwa kasi

    Nilifanikiwa kuacha pombe for few months ila nimerudi kwa kasi ya ajabu mimi sio wa hivi nakataa nakataa tena. Mnishauri ndugu zangu ninapoendea ntaona maisha hayana maana, pesa haikai. Au kama kuna anaejua dawa anisaidie i am finished, sitaki ushauri wa kwenda nyumba za ibada.
  13. Challenge: Kuacha pombe kwa miezi sita

    Nataka kuacha pombe kwa miezi sita, mwili wangu umeanza kuchoka lakini pia nataka kufanya saving kidogo, nataka ninywe Christmas 2023. Nipeni mbinu nifanikiwe. Hili ni tangazo la kuacha pombe kwa miezi sita, ila watu wa karibu/walevi wenzangu siwaambii, ni kukwepana tu mpaka December. Sign -...
  14. Kunywa Pombe kali na kucheza kamari za Kichina hazisaidii, nchi inaibiwa. Watanzania mnatakiwa kuamka

    Naona mnakomaa kulewa Pombe kali huku mkishinda mnacheza kamari. Hii ni dalili kuwa Watanzania mmekata tamaa na mmeacha wanaoiba mali zenu wawaibie wanavyotaka Hivi mnadhani hii ndio suluhu. Mbona Ndugai aliwapa angalizo kuwa nchi itapigwa mnada mkapuuza au sio nyie?
  15. Pombe huwa haina majina mabaya

    Wanywaji hili mnalifahamu vizuri kuwa pombe hainaga majina mabaya, majina yake ni mazuri mfano; Common, Washington, Kiboko, Mamba. Sasa na wewe kama unafahamu majina mazuri yanayosumbua huko baa share hapa tuzidi kudumisha utamaduni wa Mwaafrika ndugu zangu.
  16. Wazazi acheni kuwatuma watoto pombe na sigara

    Nimekuwa nikishuhudia watoto wadogo wenye umri kati ya miaka 7 mpaka 15 wakitumwa hizi pombe viroba vilivyochangamka zinauzwa kwenye vichupa kama vile smart gin, kitoko, ambiance na robort watoto wanatumwa dukani kuwapelekea wazazi wao. Kwangu mimi naona huu ni ushenzi mtoto mdogo utamtuma...
  17. Mmoja Afariki, Wanne Walazwa Wakishindana Kunywa Pombe Moshi

    Mtu mmoja amefariki dunia, huku wengine wanne wakinusurika kifo wakati wakishindana kunywa pombe kali aina ya 'Smart Gin', baada ya kuahidiwa kupewa mkate, sukari na Sh50,000 kwa atakayeshinda. Tukio hilo limetokea Juni 8, 2023 katika kata ya Sanya Juu, wilayani Siha Mkoa wa Kilimanjaro, baada...
  18. Ushuhuda: Ama kweli pombe sio sigara yamenikuta

    Wasalaam, Jana nimepita starpark Morogoro nikiwa natoka DSM kurudi Dodoma nimempigia demu wangu mmoja bahati mbaya yupo kilosa, sasa bhana si nikaingia starpark kula vyombo nikawa natupia Hanson choice baadae nikahamia kunywa bia Serengeti larger kubwa. Sasa kuna demu mmoja alikuwa anacheza...
  19. Waziri Mwigulu Nchemba: Tumepokea ushauri wa kuongeza Kodi kwenye Pombe

    Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa wizara imepokea wazo la Mbunge wa Momba, Condester Sichalwe la kuongeza kodi kwenye pombe zinazoingizwa nchini. Akitoa majibu bungeni jijini Dodoma Waziri Mwigulu amesema kuwa wizara imepokea pendekezo hilo, italiafanyia kazi na kutoa...
  20. Pombe za Kienyeji Kuanza Kutengenezwa kwa Teknolojia ya Kisasa ili Kukidhi Viwango vya Ubora kwa Watumiaji

    SERIKALI INA MKAKATI WA KUWAWEZESHA WAZALISHAJI WA POMBE ZA KIENYEJI KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA KISASA "Hadi kufikia mwezi Oktoba 2022 jumla ya leseni 43 za ubora zimetolewa kwa bidhaa mbalimbali za Pombe za kienyeji zilizokidhi viwango na maombi mengine mapya 22 yapo kwenye hatua mbalimbali za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…