Je, katika bajeti ya Mwigulu kuna ongezeko la kodi kwenye pombe?

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
7,515
6,489
Jamani naomba kuuliza, hivi katika bajeti ya Wizara ya Fedha, kuna kodi imeongezwa kwenye pombe/ bia etc? Maana leo kuna bar wamepandisha bei, wengine hapana. Nini hasa katika hili?

Please Serikali hii kitu ndio ondoa stress, iacheni kwa bei affordable, la sivyo tutakufa mapema muishie kutawala manyasi.
 
Screenshot_20230701-074543.jpg
 
Back
Top Bottom