pombe

  1. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Umiliki wa Rasilimali na Maliasili iliyotungwa Awamu ya Tano, chini ya Hayati Magufuli

    Ikumbukwe wakati sheria ya kulinda rasilimali za taifa inatungwa mwaka 2017 Mh Waziri mkuu alikuwepo,Spika alikuwepo wakati huo alikuwa Naibu Spika,Rais alikuwepo wakati huo alikuwa Makamu wa Rais,Waziri wa fedha alikuwepo wakati huo alikuwa Waziri wa Sheria, na wabunge waliopitisha bungeni ni...
  2. Akotia

    JamiiForums Tanzania Nilivyoacha pombe kwa mara moja kwa kutumia psychedelics

    Habari zangu ni nzuri na zilizojaa furaha baada ya kufanikiwa kuacha pombe. Kama mtumiaji mzuri niliyokubuhu wa pombe takriban miaka mitano nilikuwa na pambana sana na nafsi yangu kuacha hii kitu, nikijitahidi sana naweza kukaa wiki ila nilikuwa nakunywa kila siku. Kwa kuhangaika kwangu...
  3. Chapa Nalo Jr

    JamiiForums Tanzania Je, katika bajeti ya Mwigulu kuna ongezeko la kodi kwenye pombe?

    Jamani naomba kuuliza, hivi katika bajeti ya Wizara ya Fedha, kuna kodi imeongezwa kwenye pombe/ bia etc? Maana leo kuna bar wamepandisha bei, wengine hapana. Nini hasa katika hili? Please Serikali hii kitu ndio ondoa stress, iacheni kwa bei affordable, la sivyo tutakufa mapema muishie kutawala...
  4. Smart Contract

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Niliacha pombe, kwa sasa nimerudi kwa kasi

    Nilifanikiwa kuacha pombe for few months ila nimerudi kwa kasi ya ajabu mimi sio wa hivi nakataa nakataa tena. Mnishauri ndugu zangu ninapoendea ntaona maisha hayana maana, pesa haikai. Au kama kuna anaejua dawa anisaidie i am finished, sitaki ushauri wa kwenda nyumba za ibada.
  5. Jugado

    JamiiForums Tanzania Challenge: Kuacha pombe kwa miezi sita

    Nataka kuacha pombe kwa miezi sita, mwili wangu umeanza kuchoka lakini pia nataka kufanya saving kidogo, nataka ninywe Christmas 2023. Nipeni mbinu nifanikiwe. Hili ni tangazo la kuacha pombe kwa miezi sita, ila watu wa karibu/walevi wenzangu siwaambii, ni kukwepana tu mpaka December. Sign -...
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kunywa Pombe kali na kucheza kamari za Kichina hazisaidii, nchi inaibiwa. Watanzania mnatakiwa kuamka

    Naona mnakomaa kulewa Pombe kali huku mkishinda mnacheza kamari. Hii ni dalili kuwa Watanzania mmekata tamaa na mmeacha wanaoiba mali zenu wawaibie wanavyotaka Hivi mnadhani hii ndio suluhu. Mbona Ndugai aliwapa angalizo kuwa nchi itapigwa mnada mkapuuza au sio nyie?
  7. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Pombe huwa haina majina mabaya

    Wanywaji hili mnalifahamu vizuri kuwa pombe hainaga majina mabaya, majina yake ni mazuri mfano; Common, Washington, Kiboko, Mamba. Sasa na wewe kama unafahamu majina mazuri yanayosumbua huko baa share hapa tuzidi kudumisha utamaduni wa Mwaafrika ndugu zangu.
  8. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Wazazi acheni kuwatuma watoto pombe na sigara

    Nimekuwa nikishuhudia watoto wadogo wenye umri kati ya miaka 7 mpaka 15 wakitumwa hizi pombe viroba vilivyochangamka zinauzwa kwenye vichupa kama vile smart gin, kitoko, ambiance na robort watoto wanatumwa dukani kuwapelekea wazazi wao. Kwangu mimi naona huu ni ushenzi mtoto mdogo utamtuma...
  9. Inside10

    JamiiForums Tanzania Mmoja Afariki, Wanne Walazwa Wakishindana Kunywa Pombe Moshi

    Mtu mmoja amefariki dunia, huku wengine wanne wakinusurika kifo wakati wakishindana kunywa pombe kali aina ya 'Smart Gin', baada ya kuahidiwa kupewa mkate, sukari na Sh50,000 kwa atakayeshinda. Tukio hilo limetokea Juni 8, 2023 katika kata ya Sanya Juu, wilayani Siha Mkoa wa Kilimanjaro, baada...
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Ama kweli pombe sio sigara yamenikuta

    Wasalaam, Jana nimepita starpark Morogoro nikiwa natoka DSM kurudi Dodoma nimempigia demu wangu mmoja bahati mbaya yupo kilosa, sasa bhana si nikaingia starpark kula vyombo nikawa natupia Hanson choice baadae nikahamia kunywa bia Serengeti larger kubwa. Sasa kuna demu mmoja alikuwa anacheza...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba: Tumepokea ushauri wa kuongeza Kodi kwenye Pombe

    Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa wizara imepokea wazo la Mbunge wa Momba, Condester Sichalwe la kuongeza kodi kwenye pombe zinazoingizwa nchini. Akitoa majibu bungeni jijini Dodoma Waziri Mwigulu amesema kuwa wizara imepokea pendekezo hilo, italiafanyia kazi na kutoa...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Pombe za Kienyeji Kuanza Kutengenezwa kwa Teknolojia ya Kisasa ili Kukidhi Viwango vya Ubora kwa Watumiaji

    SERIKALI INA MKAKATI WA KUWAWEZESHA WAZALISHAJI WA POMBE ZA KIENYEJI KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA KISASA "Hadi kufikia mwezi Oktoba 2022 jumla ya leseni 43 za ubora zimetolewa kwa bidhaa mbalimbali za Pombe za kienyeji zilizokidhi viwango na maombi mengine mapya 22 yapo kwenye hatua mbalimbali za...
  13. Superbug

    JamiiForums Tanzania Papa Pius wa XI na Benito Mussolini kardinali Pengo na John Pombe Magufuli

    Mimi ni mkatoliki kindakindaki ila huu umoja wa kanisa na viongozi wa aina hii unalitesa sana kanisa takatifu la Yesu. Kuna ushahidi mkubwa wa papa Piusi wa XI kuwa na mahusiano ya karibu na Benito Mussolini fashisti wa italia mpaka Mussolini akampa papa eneo la Vatican city ilipo leo. Kupitia...
  14. De Professor

    JamiiForums Tanzania Vioja vya pombe kukolea kichwani, ngono zembe na ujasiri fake

    Wakuu, bila kupoteza wakati kuna haka ka kitu kanaitwa Mtungi, ama wanasema Bia tamu, Japo kiukweli mimi sijawah onja, ukiachilia mbali imani ya dini, ila kuna vioja ambavyo vinafanya Pombe niingalie tu. Kama unakumbuka kioja chochote kilichotokea kwako au kwa jamaa aliekua tungi emu kishushe...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Pombe sio chai. Nililala mwenyewe nimeamka na Mama mwenye nyumba, tunashangaana!

    Nianzie mbali kidogo. Moja ya maazimio yangu kufikia January 1 mwaka huu ilikuwa ni kuacha kabisa pombe na kampani ya walevi. Pombe imenisababishia madhila kibao katika maisha ikiwamo kushusha heshima yangu kazini na jamii inayonizunguka huko mtaani, kunitenga na Mungu wangu kiroho, kunirudisha...
  16. Ndenji five

    JamiiForums Tanzania Pombe iliponikutanisha na falme za kijini

    Niende moja kwa moja kwenye mada..... Basi miezi mitatu iliyopita nilikuwa nimechelewa kurudi nyumbani, yote sababu nilipitia sehemu kwaajili ya kupata moja baridi, nilivyofika bar nikaagiza kinywaji, nikakipiga Na kuanza kurudi home hapo ni kama saa tatu, hivi usiku nikiwa zangu kwa miguu sina...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kuna athari gani, pombe ikizidi kwenye damu?

    Kuna athari gani, pombe ikizidi kwenye damu? Naomba madaktari mnijibu tafadhali, nimepimwa hospital nimeambiwa,nipunguze pombe otherwise nitatembea. Wajuzi wa Mambo naomba majibu,am confused
  18. Annie X6

    JamiiForums Tanzania Grants ni pombe ambayo inapendwa sana. Kuna nini nyuma ya pazia?

    Hii drink Ikiwa unatafuta scotch ambayo itavutia hamu yako, Grant inaweza kuwa maarufu sana. Hata hivyo, ikiwa unahitaji tu whisky ili kufanya usiku wako wa majira ya baridi kufurahisha zaidi, Grant's ni nafuu, ni rahisi kunywa, na ni tamu isiyopingika.
  19. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa nyama, pombe na ngono tukutane hapa

    Pombe kiasi, utamu wa wife na nyama choma ni tiba tosha. Kitimoto na konyagi, huku natomaswa na mama watoto huku naye akiwa na glass yake ya Amarula, aiseee, usiku unakuwa mfupi sana, tunasahau shida zote na paradise inakuwa ni mali yetu halali. Kama tuna share the same interest hebu tujumuike...
  20. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Napata mashaka juu ya ahadi ya Mito ya pombe mbinguni. Kama Pombe ni chukizo kwa Allah, ni kwanini Pombe iwepo mahali patakatifu?

    Sijaja kwa kebehi wala maudhi ila nahitaji upembuzi juu ya hili la mito ya pombe mbinguni, Quran 47:15 - Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya pombe yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa...
Back
Top Bottom