"Kuna mtu alishawahi kuomba lift kwenye Difenda hakupewa? Kwanini wanapanda watuhumiwa tu?
Kwa mfano Difenda linakwenda Bunju, Tegeta, Kunduchu, Kitunda au Mwanagati, Kivule analiona kabisa limeandikwa Polisi na wewe unakwenda maeneo hayo kwanini usilisimamishe ukaomba lift?
Ninaomba kufahamu jambo kidogo kwanza Serikali iliamua kudhibiti simu fake ambazo walidai zinakuwa na IMEI zaidi ya moja na rahisi kubadilisha IMEI wakati wa kuifuatilia ajabu ni kwamba inakuwa kazi kwa sasa wao Polisi kushughulikia simu zinazoibiwa licha ya kuwa mtu anakuwa na IMEI na nyaraka...
Wakati mwingine kuwa mzalendo ni kuvisaidia vyombo kuzima uhalifu kabla haujamature.
Kumekuwa na ongezeko la panya road hasa dar es salaam.
Sasa tutumie uzi huu kutaja machimbo yote na mitaa yote inayolea vijana wahalifu na wavuta bangi popote walipo Tanzania.
Taja mkoa wilaya kata mtaa na...
Mnamo tarehe 08 February 2023 kulitokea vurumai katikati ya jiji la Mwanza baada ya Mgambo wa jiji kuanza kuwashambulia wachuuzi wa biashara hapo mjini.
Vurugu hizo zilipata upinzani kutoka kwa wamachinga ambao kimsingi ni wahanga wakubwa wa kamati za ulinzi na usalama wa mikoa na wilaya zote...
Sitapenda kuchimba sana kwenye mgogoro wa ndoa
Lakini naomba kusema machache kwenye sura ya usalama wa kila mmoja kwenye mgogoro huo!
Ukitazama kwa juu juu unaweza kushangaa kwanini mambo yao ya ndoani yameifikia jamii.
Lakini ukitafakali sana unagundua sakata lao ni sawa na moto, ulianza...
Habari za asubuhi waungwana na wapendwa wa Jamii Forums.
Bila kupoteza muda, mimi ni mdau na mtumiaji wa barabara ya Mwalimu Nyerere takribani miaka saba sasa.
Kuna jambo ambalo kwa siku za hivi karibuni linanikera na naamini wapo pia wengine ambao linawakera nalo si jingine bali ni foleni...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata gari aina ya HOWO tani 12 lenye thamani ya Sh180 milioni likiwa katika harakati za kutafutiwa mteja ili liuzwe mkoani Tabora.
Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda aliyoitoa kwa waandishi wa habari leo Februari 6, 2023, inaeleza...
Tukio kubwa limeripotiwa kutokea mkoani Kigoma, Wilaya ya Uvinza ambapo Askari wanne wameuawa kwa sababu walitaka kuwanyanganya ng’ombe wafugaji wa jamii ya kisukuma kwenye msitu wa Kagera, Nkanda.
Askari hao wanadaiwa kumpiga risasi mchungaji baada ya kuwagomea wasichukue ng'ombe na wafugaji...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema muundo wa jeshi la polisi unapaswa ufumuliwe na sheria ya kuanzishwa kwake irekebishwe ili lilinde raia na haki zao.
Lissu alitoa kauli hiyo juzi nyumbani kwake Tegeta, jijini Dar es Salaam, katika mahojiano maalumu na Mwananchi, ambapo alisema...
Mheshimiwa Tundu Lissu sijui kwa uumbaji, malezi, usomi, au ujuaji amekuwa akiwaita wananchi wetu walioajiriwa jeshi la polisi kwa jina la MAPOLISI badala ya polisi au askari wa jeshi la polisi- hii siyo staha hata kidogo. Kwa kuwakosea staha anategemea nini kutoka kwao...
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Tarime-Rorya limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wananchi waliokuwa wakitaka kumshushia kipigo ajuza ambaye jina lake halijafahamika anayekadiriwa kuwa na umri wa zaidi ya miaka 60, wakimtuhumu kuhusika na kupotea kwa watoto watatu kwa njia za...
Huu mgogoro unaoendelea ni miaka 17 hadi sasa Kambenga hana hati yoyote ya kumiliki ekari 1000 badala yake anatishia wanakijiji kwa hukumu za michongo.
Jana askari wawili pamoja na familia ya hiyo walienda mashambani na kunyang'anya mbegu wananchi wakitaka kupanda mashamba yao.
Tafrani...
Akizungumza leo Jumanne Januari 31, 2023 Ikulu Chamwino, Dodoma wakati akizindua tume ya kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini, Rais Samia ameitaka tume hiyo kuichunguza ofisi hiyo juu ya utendaji kazi na uendeshaji ili kubaini kasoro zilizopo na kutoa mapendekezo...
Tumpongeze rais Mama Samia kwa kuwa na ujasiri wa kulisemea hili.
Hii ni 180° tofauti na mtangulizi wake aliyekuwa akiwamwagia sifa wasizokuwa nazo kinyume cha matarajio ya wengi.
Taasisi isiyokubalika kwa kiwango hiki ni ya nini? Kwanini taasisi hii isivunjwe ikasukwa upya na ikibidi...
Hii nchi ni ngumu sana.
Kumbe yawezekana hata kina Ben, Azory, Lijenje na wengine waliotoweka kama huyu kuwepo mahali, mikononi mwa dola.
Hapa ni maneno ya Dk. Mpango kutokea ikulu ya Chamwino leo:
Tuendelee kupiga kelele yawezekana hata ndugu, jamaa na marafiki zetu hawa wangali hai...
Serikali imetaja taasisi za Polisi, Mahakama na Muhimbili kwamba zinaongoza kwa viashiria vya uvunjifu wa maadili nchini hivyo akaomba viongozi wakutane na kujadili kwa nini taasisi nyeti kama hizo zinatajwa.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
Msikilize Dkt. Slaa akielezea hila na hujuma za Tiss, na Polisi, dhidi ya Chadema.
Kabla ya kesi ya ugaidi ya Mbowe na Chadema kulikuwa na kesi ya ugaidi dhidi ya Lwakatare.
Dkt. Slaa ameeleza jinsi Tiss na Polisi walivyoshiriki kutengeneza kesi ya Lwakatare.
Habari za mchana ndugu zangu,
Hawa polisi mbona wanatunyanyasa na hawakemewi na serikali. Juzi pale mataa ya ubungo walimkamata jamaa kwa kupaki bajaji sehemu isiyoruhusiwa, kwa kuwa walikuwa wamevaa kiraia jamaa aliwaomba kitambulisho maana walitaka wampeleke kituoni. Cha ajabu polisi mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.