polisi

  1. MAWEED

    JamiiForums Tanzania Kazi za ovyo kwenye nchi hii

    Assalaam aleykum, Wanajamvi leo acha tuongee ukweli hata kama tutakwazana ila tutajua tu. Kuna kazi ukikubali kufanya au kuajiriwa ni mateso/za hovyo na huwezi kutoboa labda uende kinyume na sheria, hakuna marupurupu, mishahara midogo na mazingira ya kazi yamekaa kimtego mtego sana. 1. ASKARI...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wakusanya Ushuru wa Maegesho Kariakoo na Posta wakamatwa na Halmashauri

    Baadhi ya Wafanyakazi wa kutoza ushuru wa maegesho ya magari Dar maeneo ya Posta na Kariakoo (zaidi ya 40) wamekamatwa na magari ya Halmashauri na kupelekwa Polisi kufuatia mkataba wa mzabuni kuisha. Wafanyakazi hao wamehoji, kama issue ni mkataba wa mzabuni kuisha kwanini wanakamatwa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Polisi ni rafiki kipindi hiki cha awamu ya sita

    Nilichogundua ni kwamba Tanzania ya sasa sio kama ya zamani Tanzania ya Rais Samia Suluhu ni ya amani miaka 5 iliyopita mpinzania alikua nia adui mkubwa wa polisi lakini sasa baada ya maridhiano yaliyofanywa tunaona polisi amerejea kwenye kazi yake ya kulinda amani ya mwananchi. BEFORE...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Polisi chunguzeni ukweli kuhusu tukio la watoto watatu wa familia moja kufa kwa kuungua moto Rombo, Kilimanjaro

    Ni taarifa nimeisoma kwa majonzi sana juu watoto watatu wa familia moja, Erick (9), Joshua (7) na Gidion Theodory (2) kufa kwa kuungua moto ndani ya nyumba na mama yao kudai kwamba waliungua kwa moto uliosababishwa na wao kuchezea kibatari wakati yeye akiongea na simu na mume wake nje ya nyumba...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushindwa kutumia polisi sasa mnatumia nguvu kubwa JF bila kujijua mkiitangaza CHADEMA

    Kama JF ingekuwa YouTube channel mngepata posho nyie msiopenda meza moja japo mama kawaumbia. Kuna watu humu JF kila muda mnajaribu kuoji kuhusu chadema ila madudu yenu muwezi kusema. Basi tambua mnatangaza CHADEMA bila kujua yani mnatufurahisha CCM. Kuanzia leo wanachadema tusipige Piee...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kagera: Polisi waua watu wawili kwa risasi, ni wanaodhaniwa kuwa majambazi

    Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewaua kwa kuwapiga risasi watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi, na kufanikiwa kupata bunduki moja aina ya AK47 ikiwa na magazine moja yenye risasi 25 na mabomu mawili ya kutupwa kwa mkono. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoani Kagera...
  7. Msanii

    JamiiForums Tanzania Yaliyopita: Tutafakari Polisi yetu

    Amani iwe kwenu nyote. Wiki ya pili sasa ninawaza na kuwazua kuhhsu jeshi letu tukuka la usalama wa raia na mali zao yaani jeshi la Polisi. Ifike mahala kama kuna watu katika jamii ambao wanahitaji kuombewa msamaha na wenyewe kujirekebisha ni jeshi la polisi hususan watendaji wake wengi. Kwa...
  8. Guselya Ngwandu

    JamiiForums Tanzania Polisi watii maelekezo ya Rais Samia, wawalinda CHADEMA

    Tulioko Mwanza tumeshuhudia, Polisi wanatii maelekezo ya Rais Samia Suluhu anayetaka viongozi na wanachama wa upinzani wapewe ulinzi wa kutosha wakitimiza haki zao za Kidemokrasia. Mika michache hapo nyumba tuliona viongozi wa upinzani wakikamatwa kila walipojaribu kusimama hadharani kufanya...
  9. Mtu_imara

    JamiiForums Tanzania Kuna ambao hata kwenye usaili wa polisi majina yao hayajatokea?

    Kuna ambao hata kwenye usaili wa polisi majina yao hayajatokea?
  10. Tanzania Nchi Yetu Sote

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi waongoza msafara wa viongozi wakuu asubuhi hii walipowasili uwanja wa ndege wa Mwanza.

  11. D

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi hivi mnauhakika wale Trafiki pale mwenge (bagamoyo road) wanafanya kazi ya usalama barabarani?

    Nahisi kuna matumizi mabaya ya sare za jeshi la polisi trafiki pale Mwenge mataa, tank bovu, interchik n.k (bagamoyo road) Ukiwatazama utafikili wapo siliazi kabisa kufanya kazi ya jeshi la polisi, wanasimama na vimashine na vikaratasi vyao kukamata madaladala. Kinachonishangaza ni vile wako...
  12. Fall Army Worm

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uhalifu umezidi sana mji wa Tunduma, Serikali iingilie kati

    Wapendwa habari za Jioni? Bila kupoteza muda, Mji huu wa Tunduma ni mpakani mwa Tanzania na Zambia. Sasa lengo la Uzi huu ni kuiomba Serikali yetu pendwa ya Mama Dkt.Samia Suluhu Hassani, kuwa kupitia vyombo vya Ulinzi na Usalama watusaidie, Mambo yenyewe yako hivi. Watu wanatekwa na kupigwa...
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mwananchi mkoani Geita akamatwa na polisi akidai huduma ya maji

    Nashindwa kuelewa weledi wa police wa Tanzania, sijui huko huwa wanajifunza nini! Wengi wao wanafanya kazi kwa nidhamu ya uoga na kujipendekeza pendekeza. Pia uhuru wa wananchi kueleza hisia zao ni sufuri, huku Samia akijibainisha kusimamia haki, sijui haki gani huwa anaongelea?
  14. Winga dalali

    JamiiForums Tanzania Ajira za Polisi 2022/2023

    Msaada wana JF, Kuna mdogo wangu,alituma maombi ya kazi polisi, kwa kutumia cheti cha kidato cha nne (IV) waliambiwa wapeleke kwa makamanda wao wa mikoa, tofauti na wale weneye elimu kuanzia certficate hadi degree walituma maombi kwa njia ya mtandao. Leo tovuti ya jeshi la polisi imetoa orodha...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi wananchi kuchangia mafuta ambulance au magari ya polisi wanapohitaji huduma?

    Imekuwa kama kasumba sasa. Mwananchi akipata tatizo kwenye mahospital ya wilaya ambazo ziko na hospital za rufaa na kisha kuandikiwa rufaa huwa anaambiwa kuchangia mafuta ili mgonjwa apelekwe. Polisi nao ukienda kuripoti tukio la uhalifu ili waende eneo la tukio huwa wanahitaji mafuta ya...
  16. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Biashara gani nifanye karibu na Kituo kipya cha Polisi?

    Shalom, December 2022 nilienda likizo nyumbani, nimefika nimekuta wamejenga kituo kipya na kikubwa Cha Polisi. SI mbali na makazi yetu ya asili, nikawaza namna ambavyo naweza kuanzisha biashara Ili kutoa huduma huku nikijiongezea kipato. Nimekuja mbele yenu mnisaidie mawazo, kutokana na...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Askari wa JWTZ aliyemuita Polisi 'paka' wakati akitimiza majukumu yake afutwe kazi

    Kuna clip inasambaa kwa kasi mitandaoni ikimuonesha askari wa usalama barabarani akifanya kazi yake lkn askari wa JWTZ anaingilia kazi ya polisi. Hata polisi alipompa onyo yule askari wa JWTZ kuwa aache kufanya hivyo yule askari alijibu "huwezi kunionya mm paka wewe". Kwa utovu huu wa nidhamu...
  18. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Hii ni mara ya pili polisi wanashambuliwa mtaa wa Narung'ombe na Ndanda, Kariakoo

    Siungi mkono polisi kupigwa , wala polisi kuonea watu, lakini inafikirisha kidogo, haiwezekani eneo moja hilo hilo mpigwe na kuzomewa mara mbili na mshindwe kufanya kazi iliyowapeleka pale isipokuwa operation mfanyayo ni batili Wakiwa kwenye msako wa kukamata bodaboda wakorofi kila wakifika...
  19. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Askari polisi adaiwa kufia gesti akimtoroka mwanamke, Polisi Watoa tamko

    Askari Polisi jijini Arusha amefariki dunia katika mazingira ya utata katika nyumba ya kulala wageni ya Mrina shine iliyopo makao mapya jijini hapa. Taarifa za awali kutoka kwa shuhuda wa tukio hilo ambaye aliomba jina Lake lihifadhiwe zimedai kuwa, Saiba aliingia katika nyumba hiyo majira ya...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania RPC Mwanza: Uhalifu ukifanyika mlinzi anakimbia

    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, limedhamiria kuwapa mafunzo ya utayari walinzi wa makampuni binafsi ili kuhakikisha wanatekeleza kwa weledi shughuli zao za ulinzi na kuhakikisha wanajua namna ya kutumia silaha wanazopewa kwa ajili ya shughuli zao. Hayo yamebainishwa katika kikao maalum cha...
Back
Top Bottom