Mama huyu amelia kwa uchungu sana. Tena Waziri mkuu ameona kwa kauli yake kwa kusema kuwa wanaChadema wanajiteka akimaanisha hakuna utekaji.
Mama amelia kwa uchungu sana maana anadai polisi walifika nyumbani wakijifanya wamachinga na kumteka mtoto wake tangia mwezi wa nne.
My take; hata kama...
Nimepata taarifa kwamba usiku wa kuamkia leo mida ya saa nane, Jeshi la Polisi limevamia nyumbani kwa Yoromu Mbyella, mfanyabiashaa ambae huwa anauza sare za CHADEMA wakidai wanamtafuta kwa kosa la kutengeneza Tshirt zenye maandishi “FREE TUNDU LISSU”
Kwa mujibu wa mtoa taarifa, Mbyella...
Wakati wenzake wamevaa barakoa na wamesimama pembeni ya moshi, Polisi yeye kuonesha ukakamavu, kasimama kwenye moshi wa bangi bila hata barakoa🤣🤣🤣
Tukio hili limetokea wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu likiteketeza shamba la bangi lenye ukubwa wa zaidi ya ekari moja katika Kijiji cha...
Mimi nilifundishwa kuieshimu Bendera ya Tanzania, nilifundishwa ikiwa Ina shushwa au inapandishwa Mimi nisimame MGUU sawa na kubana makalio yangu nisije Jamba ili Hali inapandishwa au kushushwa POPOTE pale.
Leo Kuna mtanzania ametandaza bendera za Taifa kwenye shamba lake sijui alizinunua wapi...
Here we are: By Mpare Mpoli
Nimejitahidi kuangalia katika katiba yetu ya 1977, nimeshindwa kuona ibara ambayo inasema kuua ni kawaida ! @Advocate_Jebra @TonnyAdamms @AdvMahinyila @Mwabuk2Boniface naomba mnisaidie kwenye hilo ili nielimike
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro katika Mahojiano maalumu na Salim Kikeke anaeleza kuwa Jeshi la Polisi lina Wajibu wakulinda Raia wote wa Tanzania na sio CCM kama baadhi ya Watu wanavyodai.
Video ya Gavana wa Bungoma, nchini Kenya, Ken Lusaka, imekuwa gumzo mitandaoni baada ya kuwapa ukweli mchungu maafisa wa usalama.
Aliyasema hayo Januari 2024 kwenye uzinduzi wa kituo cha “Reinforcement” katika kaunti hiyo.
Katika hotuba yake iliyojaa busara na vionjo vya ucheshi, Lusaka...
Tusiwe tunapelekwa kama mazuzu wakati Vitabu vya sheria na Kanuni vimeandikwa vipo. Ili kujiridhisha na ulichokisema Jana kwenye bunge lenu tuambie ni kifungu gani cha PGO kinachosema Mtu akielekeza jiwe Kwa Polisi he has to shoot at first kama ulivojinasibu Jana.
Kama hutataja basi toka...
Wakuu Jana bungeni Waziri wa diplomasia na mambo ya nje Kombo raia wa Zanzibar anayefanya kazi Tanganyika amesema katiba yetu inataka polisi akirushiwa jiwe ampige risasi haraka raia anayerusha na kilochotokea Oct 29 ni cha kikatiba Yale mauaji yalfanyika kwa sababu polisi walirushiwa mawe...
Upelelezi wa Jeshi la Polisi ulifanikiwa kuwaokoa wahanga hao tarehe 16 huko maeneo ya Mbezi Beach Kinondoni. Watekaji waliwatake na kudai ndugu wawapw Dola za Kimarekani Milioni moja 20 ili wawaachie huru.
Watuhumiwa wanne wamekamatwa.
Polisi wamewataja watuhumiwa kwamba ni
1. Deng Anqing...
Ni miaka na mikaka sasa bado mnatafuta chanzo cha kwanini WATU wanatekwa na kupoteza
Lakini haitoshi bado mnatafuta nani alimpiga TUNDU LISSU risasi pale Dodoma had kumsababishia ulemavu wa kudumu
Sasa katika hali ya kushtua mbele ya umma wa WATU wa IRINGA WAZIRI MKUU wa JAMHURI ya MUUNGANI WA...
Kushoto ni Polisi wa New York wakiwa darasani kujifunza mbinu za kukabiliana na majanga mbalimbali.
Kulia ni Polisi wa Tanzania wakiwa kwenye maonyesho ya namna walivyo wakakamavu na wanaweza kubeba pikipiki na kukimbia nazo
Historia inajirudia kwa namna ya kutofurahisha wakati mifumo ya usalama inapogeuka kuwa zana za kuangamiza ukosoaji wa kisiasa. Eugene Alexander de Kock, mkuu wa kikosi cha siri cha polisi cha Vlakplaas nchini Afrika Kusini wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi, anafahamika kwa ukatili...
Kaka yangu Nape, mapema mwaka huu aliwahi kusema, kama serikali isipodhibiti matumizi ya nguvu dhidi ya raia, Siku moja wananchi watakikataa chama chetu.
Kila mtu anaweza kuwa na mtazamo wake juu ya hili, lakini mimi napenda kuwakumbusha viongozi wangu uchaguzi wa 2010 Mbeya mjini kati ya Sugu...
Polisi wanataka kujichunguza wakati ndio wenye nyenzo.
Mi navyo mjua kamanda muriro na wengine Ma RPC wanavyopenda sifa za kuita vyombo vya habari kutoa ripoti za matukio mbona kama wapo kimya.
Kwa jinsi jeshi la polisi linavyojipeleka mda sio mchache sijui kama 2030 inafika kuna watu naona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.