Kama waungwana tunatoa pole. Basi na nyinyi tunawaombea mubadirike muwe Police Peoples Service and NOT Force.
Ikataeni falsafa ya Kifo ni Kifo.
RIP Kamanda.
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram ameandika:
"Kuna msamaria mwema ndani ya Jeshi la Polisi kanijulisha kwamba Doctor Conrad Agonza ambae alipigana na Traffic yupo kituo cha Polisi Oysterbay.
Anasema juzi baada ya Wanajeshi wa JWTZ kuachanisha ugomvi huo, walimchukua Dr. Conrad...
Kuna mapungufu makubwa sana ya kimfumo na kiutendaji hadi kwa individuals, sasa hivi hawa jamaa wanajiona wao ndio kila kitu...wanaweza kukufanya chochote.
Nashauri kabla ya Wananchi hawajaamua kujilinda dhidi ya majambazi haya ni muhimu sana hatua zikachukuliwa.
Kuna siku watoto wa Polisi...
Nilikuwa nimeandaa 3m mwaka huu niweze kuingia PT
Ila nazidi kufunguka akili kutokana na maoni ya wananchi juu ya polisi
Lakini pia hali ya uchumi na mishahara naona kabisa hii kazi
Ngoja nitafute connection TAMISEMI sasa
Vikosi vya Israeli vimewakamata maafisa 3 wa polisi wa Mamlaka ya Palestina wiki hii kwa kuhusika kwao katika kuanzisha kituo cha ukaguzi kisichoidhinishwa karibu na Beitunia katika Eneo C na kumkamata mwanajeshi wa akiba wa Israeli huko mwezi uliopita.
Mwanajeshi huyo wa akiba alikamatwa kwa...
Polisi hawajijui.
Na hawajui kuwa katika miaka ya karibuni jeshi la Polisi limejijengea sifa hasi mbele ya jamii.
Utekaji, ubambikaji kesi na taarifa zisizokuwa na ukweli dhidi ya wananchi kwa ujumla imeshusha sana imani ya watu kwa jeshi letu la polisi.
Polisi kuhusika kiamilifu mauaji ya Okt29...
watanzagiza tunaishi kwa mazoea sana, serikali ndiyo mwenye barabara zote tunazotumia i.e hakuna mtu binafsi anayemiliki barabara tanzagiza ukiondoa labda ya kuingia nyumbani kwako kama hata kwanza una hati miliki ya hiyo nyumba unayoishi ambayo unasema ni yako lkn hiyo ni mada nyingine hata...
Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic pale mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti, wanajeshi wakamchukua, hatujui walimpeleka wapi, na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila.
Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU, sasa ndugu...
Ninatambua upendo wananchi walio nao kwa jeshi lao la polisi ila ninapinga wao kujichukulia sheria mkononi kwa kumpiga mtu aliyekuwa akimpiga askari wa usalama barabarani. Kujichukulia sheria mkononi ni uhalifu kama uhalifu mwingine. Wananchi walipaswa kumdhibiti mtuhumiwa na kumfikisha kituo...
Ndugu Hamisi Kingwangwala ni somo tosha kwa wabunge wa ccm kwasababu aliwahi kuwa mbunge;
Ni darasa kwa mawaziri wa sasa kwasababu aliwahi kuwa waziri,
Ni elimu inayoishi kwa kila kiongozi wa serikali anayedhani nafasi aliyonayo ataishi nayo milele,
Ni fundisho kwa wote wanaodhani kwamba...
Jeshi la Polisi Dar es Salaam linamshikilia Conrad Agonza Kayoza, miaka 35, kwa tuhuma za kumshambulia kwa ngumi na mateke Askari Polisi wa Usalama Barabarani, F. 8886 SGT Andrew, wakati akitekeleza majukumu yake katika eneo la Lugalo, Kinondoni, Dar es Salaam. Tukio hilo limetokea Septemba 8...
Jana aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha alikabidhi ofisi kwa Mkuu mpya wa mkoa huo Juma Homela. Moja Kati ya mambo muhimu aliyomtahadharisha ni tukio lililowahi kumtokea yeye la kutongozwa kwa njia ya simu na binti aliyemtaja Kwa jina moja la Sophia. Akifafanua Jinsi alivyolimaliza...
TAARIFA KWA UMMA
DEREVA ALIYEKUWA ANAENDESHA GARI HUKU AKICHATI, KUTOA
LUGHA CHAFU ATIWA MBARONI
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia, Sabatho Malima Emmanuel, mwenye umri wa miaka 32 na mkazi wa Buswelu, Wilaya ya Ilemela, ambaye ni dereva wa basi la Kampuni ya Obadia lenye namba za...
Msanii Dudubaya aitikia wito wa Waziri wa mambo ya ndani Katambi baada ya Waziri kutoa maagizo kwa jeshi la Polisi Dudubaya akamatwe baada ya kukaidi kuitikia wito wake wa kwanza hapo juzi.
Soma: Waziri Katambi aagiza Dudubaya akamatwe kwa kukaidi Wito wa Serikali
"Sijawahi kuwa mkaidi kwa...
Siku hizi Anakamatwa Mtu ,lkn unashindwa kujua, Amekamatwa au Ametekwa!.
Ametekwa na Jeshi la Polisi ? Ametekwa na Usàlama? Ametekwa na Wahalifu ?.
Nmekua Mstari mbele nikikemea Tabia hii ya Polisi, Tabia ya Kihuni , Tabia hii inaacha mashimo ya Kiulinzi na Usalama !.
Wahalifu , Walipa Visasi...
Kumekuwepo na video iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kuonyesha raia wakimwagia maji magari ya polisi. Hata hivyo, kichwa cha habari kilichoambatanishwa na video hiyo kinapotosha uhalisia wa tukio.
Baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii wameeleza kuwa video hiyo ilirekodiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.