polisi

  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jihadhari! Wahalifu Wanatumia Sare za Polisi Kuwaibia Wananchi.

    Wakazi wa Rongo wameonywa kuwa waangalifu baada ya mwanamume aliyefahamika kama Jeff Omondi kukamatwa kwa madai ya kujifanya afisa wa polisi kwa kuvaa sare za polisi na kuwalaghai wananchi. Kwa mujibu wa polisi, mshukiwa anadaiwa kutumia sare hizo kujitambulisha kama afisa wa usalama ili kupata...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi tanzania limekuwa la ovyo na linazidi kuwa la ovyo.

    Dkt. Gwajima D labda unaweza kusaidia wewe una matumaini kwa kimbilio la watu. Hivi inakuwaje mtu kaona kwenye nyumba yake CCTV camera kuna watu sio salama na wana magari ambayo hata jambazi hawezi kuwa nayo na zile silahaa kwa mtu kama afande muriro mstaafu japo yupo kazini mara moja kwa sifa...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wawaokoa Wanawake 48 waliodaiwa kutumikishwa kwenye biashara ya ngono

    Maafisa wa upelelezi wamewaokoa wanawake 48 katika operesheni mbili zilizofanyika Ongata Rongai na Kiserian, Kaunti ya Kajiado, kufuatia taarifa kutoka kwa wananchi kuhusu madai ya unyanyasaji wa kingono na utengenezaji wa maudhui ya ngono kwa biashara. Katika operesheni ya kwanza iliyofanyika...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya wanafunzi India 🇮🇳, Polisi asimamishwa kazi kwa kufyatua risasi hewani.

    https://youtube.com/shorts/jof90QKuFB0?si=hclAlCCqaPicJ6CD
  5. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi mkoa wa Iringa acheni kunibugudhi mimi ni raia mzalendo

    Kipindi nagawa vipeperushi vya amani kwenye mitaa mbalimbali ya mji wa Iringa, jeshi la polisi mkoani humo limeanza kunibugudhi kisa ujumbe uliopo ndani ya vipeperushi. Ujumbe huo ni mfupi tu unasomeka kuwa "tunamhitaji ndugu Humphrey Polepole aje atusaidie kujenga hoja za maridhiano" Nadhani...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa polisi sio watu wa kuwapa taarifa kama unahisi unapingana na serikali ni watumwa wa genge

    We mwana JF kama unanjia za kuona unaweza au kujiamulia kama hamza fanya. Kuna jirani katoa taarifa za CCTv kuna magari yana mfatilia na mpaka plate za gari. Kilichofata yeye kawa gaidi.
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Polisi, huwezi kumshitaki mtu mahakamani kwa hisia, 'alitaka kuandamana', 'alipanga kuchoma transformer', halafu ukashinda

    Msemaji wa Jeshi la Polisi amesema jeshi hilo limekamata magaidi 130 na tayari 36 wameshafikishwa mahakamani. Msiishie kusema tu walipanga kuchoma transformer nchi iwe gizani, tuambieni nchi nzima ina transformer ngapi na ngapi zimechomwa. Mnasema walipanga kuua viongozi wa serikali akina nani...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania: Watuhumiwa 36 kati ya 130 Wafikishwa Mahakamani kwa Makosa ya Jinai

    Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza kuwa watuhumiwa 36 kati ya 130 waliokamatwa kwa tuhuma mbalimbali za uhalifu wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka. Katika taarifa iliyotolewa Julai 26, 2026, Jeshi la Polisi limesema watuhumiwa hao walikamatwa kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lipige marufuku na kuzuia mkusanyiko unaotaka kufanywa na BAVICHA mkoani Dodoma tarehe 12 Agosti kutokana na kuwa na viashiria vibaya

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona tangazo la Mwenyekiti Wa BAVICHA Taifa Deogratias Mahinyila Akisema watakuwa na mkusanyiko wa vijana utakaofanyika pale Dodoma wakitaka ama wakiwa na ajenda za kutaka Katiba mpya na kuzungumza mambo mengine ya kisiasa . Sasa kwa jicho la kijasusi na jicho la...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Polisi na Jeshi, ikitokea la kutokea, wanaowatuma hawatakufa mtakufa nyinyi, wananchi, ndugu zenu, watoto wenu, wetu

    ANGALIZO: I am not advocating for this, NO, NO, NO. ILA NATOA TAHADHALI. Sasa hivi kwa vile mna bunduki , mabomu na madege, na upande mwingine hauna bunduki wala chochote, hamuwezi kuona hatari za kinachoendelea nchini. Pale ambapo pande zote zikiwa na bunduki na vifaa kama nyinyi, mkaanza...
  11. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Je Polisi mmenyosha mikono??Kwanini waendesha Bodaboda nchini hawatii mamlaka na kufuata sheria?Je Jeshi la polisi limeshindwa kabisa mbinu?

    Kwanini waendesha Bodaboda nchini hawatii mamlaka na kufuata sheria?Je Jeshi la polisi limeshindwa kabisa mbinu?? Kama kichwa cha habari nasikitika sana kuona vijana wanaisha kwasababu ya kukosa maalifa vijana naowaongelea ni waendesha bodaboda! Kwani ajali zao mara nyingi ni za kipumbavu kwani...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Polisi Ilistahili Kuwa Takatifu, Lakini Ilipobadilishwa na Kuwa Ya Kuwalinda Watawala Katili, Imekuwa Kazi ya Laana.

    Kazi ya polisi kiasili ilitakiwa kuwa kazi takatifu. Kazi ya kuwalinda wanadamu wenzako na mali zao, kazi inayokufanya uteseke, usilale, ili wanadamu wenzako na mali zao, viwe salama, hakika ni kazi ilistahili kuwa takatifu. Kwa sababu umejitoa kuteseka ili wanadamu wenzako wawe salama. Lakini...
  13. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Najuta kujiunga na jeshi la polisi

    Hiii sio kazi ni presha Kila mtu boss wako Unakaa kwa Machale Kazini chuki, mtaani chuki Rushwa kila kona Ama kweli najuta kuwa polisi
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KNCHR Yapendekeza Sheria Mpya ya Kusimamia Maandamano na Mwenendo wa Polisi

    Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu nchini Kenya (KNCHR) imewasilisha pendekezo la sheria mpya inayolenga kuweka mfumo wa kisheria wa kusimamia maandamano, mikutano ya hadhara, kupiga kambi za maandamano na mwenendo wa polisi wakati wa shughuli hizo. Pendekezo hilo la Sheria ya Uwezeshaji wa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Umefanyika ukamataji ovyo wa watu katika mji mdogo wa Ilula, Kilolo na sasa wanatakiwa kulipa TZS 50,000 kila mtu ili kuachiwa

    Ndugu Wadau, Mnamo tarehe 18 Julai 2026, kati ya saa 2 usiku hadi saa 7 usiku, katika Mji Mdogo wa Ilula, Wilaya ya Kilolo, kulifanyika operesheni ya kukamata wananchi iliyosababisha taharuki kubwa kwa wakazi. Kilichotokea: Zaidi ya watu 100 walikamatwa bila taarifa rasmi. Wengi walikamatwa...
  16. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Angalizo: wajibu wa Jeshi la Polisi kwa Wananchi na WAJIBU wa Askari Magereza kwa Wafungwa

    Tuanze na: JESHI LA POLISI TANZANIA. Wajibu mkuu wa jeshi la polisi kwa jamii ni kulinda maisha ya watu na mali zao. Kazi hii inafanyika kwa mujibu wa sheria ili kuhakikisha amani, utulivu, na usalama vinatamalaki katika nchi. Majukumu makuu ya polisi kwa jamii yamegawanyika katika maeneo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi Polisi na Trafiki wapo kweli? Tazama gari kama hili bado barabarani

    Polisi wanachoweza ni kukamata watu wanao panga maandamano tu. Ila usalama wa watu barabarani hawawahusu. Hampati taairifa za hatari kama hizi ila mnapata za CHADEMA tu, kazi yenu nini sasa iwapo gari kama hili linaloweza kuhatarisha maisha ya watu na mali zao linatembea barabarani. Mmesahau...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi wazingira Msikiti wa Kichangani, Sheikh Walid hajatokea

    Askari wa Jeshi la Polisi nchini, wameuzingira Msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni, ambao awali ilidaiwa aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Omari Kawambwa, angekwenda kuswali Swala ya Ijumaa. Katika mitandao ya kijamii kulisambazwa taarifa za waumini kujikusanya katika msikiti...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Watoto wakinondoni hivi huyu dotto magari anataka tuchafue mpaka kituo cha ostabey polisi leo anajiona mwenye nchi.

    Mnafaili mengi naye ila mnapompeleka kuna siku wana anawauza tena anawauza kwa kupenda sifa. Siku zake zinakaribia sio kwenye kutetea CCM na utawala wake ila hapo hapo mwambie hisa tambuu anaweza kumponza.Huyu dotto magari sijui kama anaelewa kuna mafia na mafia wanamuangalia hapo alipo
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Gari yangu inadaiwa faini ya Polisi, inaonesha ilitozwa Mlandizi wakati sijawahi kufika huko

    Nimekagua gari yangu kwenye mfumo wa Polisi unaonesha nina faini ya ubovu wa gari, faini hiyo imepigwa Mlandizi ndani ya wiki tatu zilizopita wakati sijawahi kufika kabisa na gari, pia kwa muda huo lilikuwa halitumiki. Nimejaribu kufuatilia kwa mamlaka husika nimekwama, Leseni hiyo siyo yangu...
Back
Top Bottom