Video ya afisa wa polisi maalum wa China akiwasaidia watalii kupiga picha hivi karibuni imesambaa kwenye mitandao ya kimataifa ya kijamii. Jambo hili lilitokea wakati wa Sikukuu ya Kitaifa ya China mwaka jana. Wakati huo, Uwanja wa Agosti 1 huko Nanchang ulikuwa umejaa watu, na afisa mmoja wa...
Familia ya Frank Stanley, mkazi wa Rwamishenye Manispaa ya Bukoba, mkoani Kagera, imelalamikia tukio la mwanao kudaiwa kupigwa akiwa mikononi mwa Polisi na kulazwa katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando jijini Mwanza.
Familia hiyo inasema ilipata wakati mgumu kumpata kijana wao tangu...
Huduma ya Polisi nchini imezindua mfumo mpya wa mawasiliano unaolenga kuimarisha namna inavyowasiliana na wananchi na kutoa taarifa rasmi kwa umma. Hatua hiyo imekuja wakati ambapo imani ya wananchi kwa taasisi za usalama imekuwa sehemu muhimu ya mjadala wa kitaifa.
Naibu Inspekta Jenerali wa...
Akizungumza katika mahojiano na Crown Media Agosti 17, 2026, Wakili William Maduhu, amesema Sheria za Tanzania, za kitaifa na kimataifa zinaweka zuio na marufuku kwa afisa wa polisi kutaka kupata ukweli au kutaka kumshinikiza mtuhumiwa akiri kosa kwa kupitia njia ya kumuadhibu au kumtesa...
Homa Bay imekumbwa na ghasia wakati wa mkutano wa kisiasa wa Linda Mwananchi, zilizosababisha vifo vya watu wawili, wakiwemo polisi, na kujeruhiwa kwa maafisa saba wa polisi.
Mmoja wa waliofariki ni afisa wa polisi aliyekuwa akirejea kituoni baada ya kushiriki katika kuimarisha usalama wa...
Malalamiko ya baadhi ya wananchi na taasisi kuhusu mali zao kuchukuliwa na Jeshi la Polisi wakati wa kukamatwa yameibua mjadala kuhusu mipaka ya mamlaka ya polisi katika kushikilia mali zinazodaiwa kuwa sehemu ya ushahidi wa uchunguzi wa makosa ya jinai.
Malalamiko ya hivi karibuni yametolewa...
Hivi karibuni kumekuwepo na kesi ambazo tunaweza, kusema ni za mchongo, Kwani Hazina uhalisia na tuhuma zinazo chagizwa dhidi ya watuhumiwa iwe ni ugaidi au uhaini .
Sasa
Mwenyekiti Mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mbeya, Joseph Mwasote maarufu ‘China’, amesimulia mkasa mzito uliomfika akieleza jinsi alivyotwaliwa katika mazingira ya kutekwa na kufichwa kituo cha polisi, huku familia yake ikipigwa kalenda na kuambiwa hajulikani aliko...
Kuonyesha unapata mafanikio, unajenga manyumba na kununua magari kwa kukata kiuno hapo ndio shida ilipoanzia.
Hii nchi kila mtu atakuja kua mwanaharakati ni suala la mda tuu.
Kukamatwa kwa Nabii Tito ni Ishara tosha kwamba Polisi wanatumilka Kisiasa.
Mwaka 2018 Polisi walimkamata Dodoma, Halafu wakampeleka Mirembe, kisha wakamuachia eti ana matatizo ya akili. Kipindi hicho alikuwa anaisifia CCM.
Alipoanza kusema CCM na Samia ni wauaji wa Oktoba 29 mwaka 2025...
Waziri Mkuu na Jaji mstaafu, Joseph Sinde Warioba, ameelezea kushangazwa na kuumizwa na wimbi jipya la ukamataji wa raia, wakiwemo wasomi, ambao wengine hufunguliwa mashtaka ya ugaidi mara tu wanapopata dhamana katika makosa ya awali.
Akizungumza katika mahojiano maalumu na tovuti ya The...
Utamhoji vipi mtu polisi kwa kosa kama hili ambalo kiuhalisia hufanyika kwenye viunga vya mahakama mbele ya jaji au hakimu. Hata kama ni nje ya mahakama Jaji au hakimu hutoa amri ya mkosaji kukamatwa na kisha kuhukumiwa.
Madeleka ana bahati sana hajapotezwa.
Baada ya Presha ya Mitandaoni Polisi wakiri kumshikilia.
====
TAARIFA KWA UMMA
POLISI DAR ES SALAAM INAMSHIKILIA WAKILI PETER MADELEKA KWA TUHUMA ZA KUDHARAU AMRI YA MAHAKAMA KUU
Mnamo tarehe 14 Agosti, 2026 saa 09.30 alasiri eneo la Mikocheni B...
Maafisa wa Jeshi la Polisi wamefika mapema hii leo katika msiba wa kijana Sefu Mussa, mkazi wa Matejoo jijini Arusha, ambaye alifariki dunia baada ya kudaiwa kupewa adhabu na askari watatu wa Hifadhi ya Ngorongoro.
Sefu anadaiwa kufariki baada ya yeye na wenzake kupotea njia tarehe 12 Aprili...
Inspekta Jenerali wa Polisi Kenya, Douglas Kanja, ameagiza maofisa watatu waliokuwa kazini wakati mtuhumiwa anapofariki akiwa kizuizini kusimamishwa mara moja (interdiction) ili kuruhusu uchunguzi kufanyika.
Maofisa hao ni anayerekodi taarifa katika Occurrence Book (OB), askari wa seli (cell...
Mimi ni mkazi wa Kata ya Nyamilangano, Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu, Mkoa wa Shinyanga. Ninaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu matumizi ya mabomu ya machozi na Jeshi la Polisi katika maeneo ya wazi yanayotumiwa na wafanyabiashara na wananchi kukusanyika.
Kwa mujibu wa hali tunayoishuhudia...
Peter Madeleka:"Sasa kwa nini kwenye tukio hili kubwa, tena ambalo linahusisha mauaji ya watu zaidi ya mia tano, Polisi hawafanyi kazi yao, TISS pia inafanya kazi gani? Eh? Kwa hiyo kwenda kujificha kwenye kivuli kwamba kuna Tume yenye sura ya kimataifa, kuna majaji kutoka Uganda, na wengine...
Mwandishi:"Na unahisi hawa wanaosema ugaidi, wanasema kuwa bahati mbaya..."
Peter Madeleka:"Wanamhujumu Rais. Wanamhujumu Rais tuliyonaye huyu. Anajitahidi sana lakini kundi la watu waliopo pembeni yake wanamhujumu. Kwa mfano kesi ya Mbowe, tulihakikisha kabisa Mbowe ni gaidi. Yaani kwamba...
KAULI YA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, PATROBAS KATAMBI JUU YA MATUKIO MBALIMBALI MITANDAONI NA LA ASKARI NA DEREVA BODABODA LINALOSAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII,LEO TAREHE 9/8/2026
Ndugu zangu nimeona, nimesikiliza na nimesoma comments;
TUTACHUNGUZA kwa kina na kujua kiini cha tatizo...
Inadaiwa huyu askari alimkodi huyo boda boda kwenye video na baada ya kumzungusha kwa saa moja kagoma kumlipa, kwa mujibu wa maelezo ya boda kulitokea ugomvi ambao ulisababisha huyo polisi kumng'ata kidole huyo boda hali iliyomfanya yeye ampige ngumi ndipo alipomuachia.
Hizi aibu kwa jeshi hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.