Angalia Polisi anavyo simama kwenye Moshi wa Bangi wala hapigi chafya, eti ni Ukakanavu

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,340
Reaction score
61,329
Wakati wenzake wamevaa barakoa na wamesimama pembeni ya moshi, Polisi yeye kuonesha ukakamavu, kasimama kwenye moshi wa bangi bila hata barakoa🤣🤣🤣
WA_1780145482970.jpeg

Tukio hili limetokea wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu likiteketeza shamba la bangi lenye ukubwa wa zaidi ya ekari moja katika Kijiji cha Buhungukila, Wilaya ya Maswa, na kuwakamata watu watatu wanaodaiwa kujihusisha na kilimo cha bangi
 
Wakati wenzake wamevaa barakoa na wamesimama pembeni ya moshi, Polisi yeye kuonesha ukakamavu, kasimama kwenye moshi wa bangi bila hata barakoa

Tukio hili limetokea wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu likiteketeza shamba la bangi lenye ukubwa wa zaidi ya ekari moja katika Kijiji cha Buhungukila, Wilaya ya Maswa, na kuwakamata watu watatu wanaodaiwa kujihusisha na kilimo.
huwa nasikiaga stori tu, baadhi yao wanatumia !
 
Kuna wakati comments zako zinanacha hoi. Pamoja na mabinti wachache humu JF. Kujibu, Naona avatar ingawa huwa haziakisi ukweli kila wakati. Nasikia Siku hizi ni fasheni kwa mabinti wa kileo kuikoka.
Hahaaa nimekuchekesha tena mkuu, 🤪

yaliyomo yamo, amini unachokiona!

ndio mabinti wengi wanafanya kama fashion ili wenzie wamuone mjanja, au sio wa kawaida! some do it for fun! sio mpaka uonekane..
 
Wakati wenzake wamevaa barakoa na wamesimama pembeni ya moshi, Polisi yeye kuonesha ukakamavu, kasimama kwenye moshi wa bangi bila hata barakoa🤣🤣🤣
View attachment 3597596
Tukio hili limetokea wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu likiteketeza shamba la bangi lenye ukubwa wa zaidi ya ekari moja katika Kijiji cha Buhungukila, Wilaya ya Maswa, na kuwakamata watu watatu wanaodaiwa kujihusisha na kilimo cha bangi
Anapata stim za bure🤣🤣
 
Hahaaa nimekuchekesha tena mkuu, 🤪

yaliyomo yamo, amini unachokiona!

ndio mabinti wengi wanafanya kama fashion ili wenzie wamuone mjanja, au sio wa kawaida! some do it for fun! sio mpaka uonekane..
Tatizo la JF, wengi wanajitoa ufahamu ambao katika hali halisi sivyo alivyo. Mwingine atajifanya changu wakati ni sister wa Kiroma. Ila siku zinasogea. ShesRise_1 anadai tusiache kulombana hapa JF; Pengine si ajabu ukakuta ni Mlokole wa kwa kakobe etc. Siku zinasonga
 
Lombana kwa faida ya afya yako ya akili na mwili 😋
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom