polisi

  1. S

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume atoa ujumbe huu kwa TISS

    Ni kupitia mtandao wa twitter ambapo ameandika maneno haya: Ujumbe kwa TISS: Kila mtu ana saikolojia yake. 1. Sio kila mtu anakuwa MOTIVATED na PESA 2. Sio kila mtu anaFLIGHT kuna wengine wanaFIGHT 3. Sio kila mtu anaOGOPA kufa. Kuna wengine wanajiuwa wenyewe. 4. Sio kila mtu ana AKILI kama...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Tito Magoti , RPC Mambosasa asiaminiwe , Aliwahi kukiri Polisi kumuua Akwilina lakini baadaye alikana na kuwasingizia Chadema

    Huyu ni miongoni mwa Ma RPC wa nchi hii wasioaminika , Kwa mfano , Mapema baada ya Polisi kufyatua risasi za moto kwenye mkusanyiko wa Chadema maeneo ya Kinondoni Mkwajuni , Mambosasa alijitokeza hadharani na kukiri polisi kuhusika ( hapa jf zipo clip zake kuhusu jambo hili ) , baadhi ya...
  3. Fya-fyafya

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi, Process nzima ya Kulipia LOSS RIPORT kupitia mfumo wenu mtandaoni ni Zigo kubwa kiuchumi kwa Watanzania wanyonge

    Jeshi la Polisi nchini kupitia kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), kwa kushirikiana na Government e-Payment Gateway (GePG), limeanzisha mfumo wa upatikanaji wa fomu ya upotevu (Police Loss Report), kupitia mtandao wa https://Lormis.tpf.go.tz na kufanya malipo kwa njia ya...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Polisi yamshikilia Mchungaji EAGT tuhuma za kubaka, kumpa mimba Mwanafunzi

    Polisi wilayani Kisarawe mkoani Pwani, inamshikilia Mchungaji wa kanisa la EAGT la Mtamba, Shauri Steven kwa tuhuma za kumbaka na kumpa mimba mwanafunzi akimlaghai kupitia huduma ya maombi Dar es Salaam. Mchungaji wa Kanisa la EAGT la Mtamba wilayani Kisarawe mkoani Pwani, Shauri Steven...
  5. CCM Music

    JamiiForums Tanzania CCM wenzangu: Ni kitu gani kinachotushinda kufanya siasa za kisayansi na za kisasa zaidi? Mbona tunafanya siasa za ki polisi polisi zaidi?

    Hili swali naelekeza kwa wana CCM wenzangu? CCM ina hazina kubwa sana ya watu wenye upeo mkubwa sana. Ina wasomi wazuri sana kwa kila nyanja. Sasa, najiuliza. Nini kinatushinda katika kufanya siasa za kisasa zaidi badala ya siasa za ki polisi polisi? Hawa wapinzani mbona wepesi sana, wala...
  6. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

    Mkurugenzi wa manispaa ya Ubungo, Beatrice Dominic amekiandikia barua chama cha Chadema na kukipa saa mbili kuondoa bendera zake zilizowekwa barabara ya Sam Nujoma karibu na ukumbi wa Mlimani City unakofanyika uchaguzi wa viongozi wa chama hicho. Bendera hizo ziliwekwa katika barabara hiyo...
  7. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wa Mjini Eldoret wamekamata pesa za bandia kiasi cha Shilingi milioni 45.8

    Mkazi wa Kaunti ya Eldoret Bwana Allan Kipturo 34 amekamatwa na Polisi wa Mjini humo siku ya jumatatu baada ya kukutwa na kiasi cha shilingi milioni 45.8 za bandia.. Polisi walisema walimkamata Allan Kipruto, baada ya wananchi kuripoti kuwa na mashaka na biashara zinazofanywa na kijana huyo...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Vijana wa JKT wadaiwa kuua

    Baadhi ya Vijana wa Jeshi la kujenga Taifa (JKT) Kikosi cha Milundikwa Wilayani Nkasi Mkoani Rukwa wanadaiwa kuvamia Kijiji cha Kipande na kutembeza kipigo kikali kwa Wananchi hadi mmoja wao Sabato Mbalamwezi kupoteza maisha. Inaelezwa kuwa Sabato Mbalamwezi na mwenzie Renatus Wankamba...
  9. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi awatesa vijana na mmoja kufariki akiwatuhumu kumwibia tv yake. Je, hii ni haki?

    Waziri mwenye dhamana wa mambo ya ndani. Wewe una dhamana juu ya usalama wa raia na mali zao. Hakuna raia anayependa kutetea watu wanaojihusisha na uhalifu. Ila nchi yetu inatawaliwa na kuongoza kwa misingi ya sheria na haki. Tarehe 26/10/2019 watuhumiwa wapatao watano walikamatwa na Migambo...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif awaponza viongozi wa Jeshi la Polisi Pemba, yaamriwa wavuliwe vyeo

    Naibu Waziri wa mambo ya ndani Hamad Masauni amemwagiza IGP Sirro kuwavua vyeo RPC wa Kusini pemba Hassan Nasir Ally na RPC wa Kaskazini Pemba Shekhan Mohamed kwa kosa la kumwacha Jabali Maalim Seif kuhutubia wananchi wa Pemba , huku siasa za majukwaani zikiwa zimekatazwa --- Naibu Waziri wa...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Ambaka mtoto wa darasa la sita hadi kumuua, ajisalimisha Polisi

    Mponjoli Lisa, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kumbaka binti wa darasa la sita Shule ya Msingi Pugu Kajiungeni hadi kumuua. Akizungumza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Zuberi Chembela amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba watu wanne wanashikiliwa na polisi...
  12. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vihiga: Wawili washikiliwa na Polisi katika tukio la kuuawa kwa mlinzi wa duka

    Washukiwa wawili walikamatwa Jumanne kufuatia wizi uliofaanyka katika duka la Imara lililopo katika Kaunti ya Vihiga, ambapo katika tukio hilo mlinzi aliuawa na mwingine aliyejeruhiwa vibaya. Polisi wafafanua kuwa watu hao walivunja mlango wa nyuma na kisha kutumia silaha za moto kuwashambulia...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Polisi wana kazi kubwa sana

    Huyu baba anaomba polisi wamruhusu aingie bungeni kupeleka muswaada wa Ijumaa iwe siku ya mapumziko, watu wafanye kazi mpaka Alhamisi. Aliambiwa bunge limefungwa na hakuna mtu ndani. Akaulizwa mwenzetu unatokea wapi? Aliwajibu anatoka hospitali ya vichaa, yeye ni mgonjwa wa HIV na kichaa...
  14. Kurzweil

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sonko arrested in Voi ‘while escaping arrest’

    Anti-Corruption Commission (EACC) while trying to escape arrest. According to EACC, Sonko was attempting to escape at a road block in Voi when the detectives waylaid him. “EACC confirms that Nairobi City County Governor Mike Sonko Mbuvi has been arrested while escaping arrest at a road block in...
  15. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Polisi wa Embu ahukumiwa miaka 20 jela kwa kosa la kuua watu kumi

    Afisa wa polisi, Bw. Peter Karanja ahukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la kuwaua watu kumi kwa kuwapiga risasi. Taarifa zinabainisha kuwa Bw. Peter Karanja alifanya uhalifu huo mnamo Novemba 6, 2010 huko Siakago, Mbeere. Aidha, taarifa zinaeleza kuwa siku ya tukio hilo Bw. Karanja...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Wazazi wadaiwa kukingia kifua watuhumiwa ubakaji

    Wakati vitendo vya ubakaji na ulawiti vikiongezeka mkoani wa Dar es Salaam kwa kipindi cha miezi 10 ndani ya miaka miwili, wadau akiwamo Mkuu wa Wilaya Kigamboni, Sarah Msafiri, wameeleza tatizo la wazazi kuwakingia kifua watuhumiwa. Takwimu zinaonyesha katika kipindi cha miezi 10, mwaka jana...
  17. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afisa wa polisi akabiliwa na kesi ya kumuua mwandishi wa habari Eric Oloo

    Wapelelezi wanaochunguza mauaji ya mwandishi wa habari wa TheStar Bw. Eric Oloo wamemhisi Afisa Mkuu wa Polisi Bi Sabina Kerubo kuhusika na mauaji hayo. Afisa huyo wa polisi, ambaye mwili wa mwandishi wa The Star ulikutwa nyumbani kwake mnamo Novemba 21, alipelekwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa aliyepita bila kupingwa akamatwa na Polisi kwa mauaji

    Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Nyakabungo huko Isamilo Mwanza na wenzake wanne wamekamatwa na Polisi kwa kuwashambulia na kuwaua vijana watatu wakazi wa Nyakabungo A. Wakazi wa mtaa huyo wamemlaani mwenyekiti huyo aitwaye Abdukar kwa kuongoza mauaji ya raia wasio na hatia. Chanzo: ITV habari!
  19. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afisa wa Polisi wa Kisauni akutwa amefariki Baa baada ya kunywa pombe kali

    Kiongozi Mkuu wa Polisi Mombasa Bw. William Chepkwony amekutwa amefariki leo jumanne katika Baa aliyoingia kwa ajili ya kunywa pombe. Ripoti zinaeleza kuwa mwili wa Polisi huyo umekutwa katika kiti cha Baa maeneo ya Bombalulu. Aidha, inaelezwa kuwa chanzo cha kifo hicho hakikufahamika awali...
  20. kilam

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wa Kenya wadhihirisha ulegevu wao

Back
Top Bottom