polisi

  1. beth

    JamiiForums Tanzania Ambaka mtoto wa darasa la sita hadi kumuua, ajisalimisha Polisi

    Mponjoli Lisa, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai ya kumbaka binti wa darasa la sita Shule ya Msingi Pugu Kajiungeni hadi kumuua. Akizungumza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Zuberi Chembela amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba watu wanne wanashikiliwa na polisi...
  2. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vihiga: Wawili washikiliwa na Polisi katika tukio la kuuawa kwa mlinzi wa duka

    Washukiwa wawili walikamatwa Jumanne kufuatia wizi uliofaanyka katika duka la Imara lililopo katika Kaunti ya Vihiga, ambapo katika tukio hilo mlinzi aliuawa na mwingine aliyejeruhiwa vibaya. Polisi wafafanua kuwa watu hao walivunja mlango wa nyuma na kisha kutumia silaha za moto kuwashambulia...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Polisi wana kazi kubwa sana

    Huyu baba anaomba polisi wamruhusu aingie bungeni kupeleka muswaada wa Ijumaa iwe siku ya mapumziko, watu wafanye kazi mpaka Alhamisi. Aliambiwa bunge limefungwa na hakuna mtu ndani. Akaulizwa mwenzetu unatokea wapi? Aliwajibu anatoka hospitali ya vichaa, yeye ni mgonjwa wa HIV na kichaa...
  4. Kurzweil

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sonko arrested in Voi ‘while escaping arrest’

    Anti-Corruption Commission (EACC) while trying to escape arrest. According to EACC, Sonko was attempting to escape at a road block in Voi when the detectives waylaid him. “EACC confirms that Nairobi City County Governor Mike Sonko Mbuvi has been arrested while escaping arrest at a road block in...
  5. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Polisi wa Embu ahukumiwa miaka 20 jela kwa kosa la kuua watu kumi

    Afisa wa polisi, Bw. Peter Karanja ahukumiwa kifungo cha miaka 20 jela kwa kosa la kuwaua watu kumi kwa kuwapiga risasi. Taarifa zinabainisha kuwa Bw. Peter Karanja alifanya uhalifu huo mnamo Novemba 6, 2010 huko Siakago, Mbeere. Aidha, taarifa zinaeleza kuwa siku ya tukio hilo Bw. Karanja...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Wazazi wadaiwa kukingia kifua watuhumiwa ubakaji

    Wakati vitendo vya ubakaji na ulawiti vikiongezeka mkoani wa Dar es Salaam kwa kipindi cha miezi 10 ndani ya miaka miwili, wadau akiwamo Mkuu wa Wilaya Kigamboni, Sarah Msafiri, wameeleza tatizo la wazazi kuwakingia kifua watuhumiwa. Takwimu zinaonyesha katika kipindi cha miezi 10, mwaka jana...
  7. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afisa wa polisi akabiliwa na kesi ya kumuua mwandishi wa habari Eric Oloo

    Wapelelezi wanaochunguza mauaji ya mwandishi wa habari wa TheStar Bw. Eric Oloo wamemhisi Afisa Mkuu wa Polisi Bi Sabina Kerubo kuhusika na mauaji hayo. Afisa huyo wa polisi, ambaye mwili wa mwandishi wa The Star ulikutwa nyumbani kwake mnamo Novemba 21, alipelekwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa aliyepita bila kupingwa akamatwa na Polisi kwa mauaji

    Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Nyakabungo huko Isamilo Mwanza na wenzake wanne wamekamatwa na Polisi kwa kuwashambulia na kuwaua vijana watatu wakazi wa Nyakabungo A. Wakazi wa mtaa huyo wamemlaani mwenyekiti huyo aitwaye Abdukar kwa kuongoza mauaji ya raia wasio na hatia. Chanzo: ITV habari!
  9. Suley2019

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afisa wa Polisi wa Kisauni akutwa amefariki Baa baada ya kunywa pombe kali

    Kiongozi Mkuu wa Polisi Mombasa Bw. William Chepkwony amekutwa amefariki leo jumanne katika Baa aliyoingia kwa ajili ya kunywa pombe. Ripoti zinaeleza kuwa mwili wa Polisi huyo umekutwa katika kiti cha Baa maeneo ya Bombalulu. Aidha, inaelezwa kuwa chanzo cha kifo hicho hakikufahamika awali...
  10. kilam

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wa Kenya wadhihirisha ulegevu wao

  11. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Mwizi avamia kwa ajuza wa miaka 82, bila kutarajia ajuza amshushia kipigo kizito, polisi wamuokoa

    Duniani kuna mambo. Rochester, New York Marekani, mwizi amevamia nyumba ya ajuza wa miaka 82 ambae alikua akiishi peke yake ili aibe ila mwizi alichokutana nacho hakukitegemea, ajuza amshushia kibano kizito, polisi wamemuokoa. Huyo mwizi alienda kwa gia ya kuomba msaada kua ana tatizo ajuza...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Rais Magufuli amemsimamisha kazi kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga

    Rais John Magufuli amemsimamisha kazi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Richard Abwao na mkuu wa upelelezi mkoani humo, John Rwamulema kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili. Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Novemba 23, 2019 na msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime inaeleza kuwa...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Polisi Morogoro mnatunga uongo kwa faida ya nani ?

    Kama chama kinachoshiriki Uchaguzi wa Serikali za mitaa ni kimoja hizo vurugu mnazotunga zitatokea wapi ? Tumieni njia za halali za kupanda vyeo lakini si kwa kuchafua wengine , mnatia aibu !
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Polisi Mkoa wa Songwe waendelea kuitumikia CCM

    Ikiwa Chadema imekwishatangaza kwamba haitashiriki uchaguzi wa serikali za mitaa , unyama huu unaotendwa na RPC wa Songwe ni wa kazi gani , anataka kuteuliwa IGP ?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awapatia jeshi la polisi jengo la ghorofa nne ilii wahamie Dodoma

    Hapa ndipo itakapokuwa makao mkuu ya jeshi la polisi Tanzania mkoani Dodoma.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa polisi wakati Mhe. Rais anapopita sehemu fulani

    Mhe. Rais ni raia namba moja katika nchi yetu ya Tanzania lazima apewe ulinzi na heshima yote pale anapopita. Juzi Mhe. Rais alikuwa na safari ya kwenda Dodoma lakini adha waliyopata wenye vyombo vya usafiri katika njia iendayo Dodoma ilikuwa ni adhabu tosha. Magari yalianza kusimamishwa tangu...
  17. Mystery

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi nchini kutumika na CCM kuwabakiza madarakani ni uvunjifu wa Katiba ya nchi

    Tukiisoma Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, inasema wajibu namba moja wa Jeshi letu nchini kuwa ni kuwalinda raia na mali zao Jeshi hilo halipaswi liwalinde watawala, bali linatakiwa litimize majukumu yake kwa weledi bila kupendelea upande wowote Sasa yanapotokea...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, nikichora katuni ya kiongozi mmoja duniani akiweka kipaza sauti ( Microphone ) Masikioni huku anaongea na simu nitaitwa Polisi?

    Moja ya Kazi yangu nyingine ni ya ‘ Ukomedi ‘ lakini ambao unawasilisha jambo fulani mtambuka ( lililotokea punde ) nikiwa na nia ya Kuwaburudisha Wasomaji wangu lakini pia Kuwaonyesha Wahusika kwamba walikosea ili Siku zingine wasirejee hilo Kosa na mwisho ni kutoa Elimu kwa Watawala / Viongozi...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Njombe: Mwanamke ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumuua na kumla nyama Mtoto wake

    Mwanamke mmoja anaejulikana kwa jina la Christina Mlelwa(38) mkazi wa Kijiji cha Mavanga kata ya Mavanga kitongoji Cha mji mwema wilayani Ludewa mkoa wa Njombe anashikilikiwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumchinja mwanae Joseph Gumbilo(4) mwenye ulemavu wa viungo na kumla nyama Awali...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni lini Amiri Jeshi Mkuu atavaa sare za Askari Polisi au Magereza?

    iko wazi kwamba yeye ndiye kiongozi wa juu kabisa wa majeshi yote nchini. Swali langu ni dogo tu , ni lini Mheshimiwa atavaa sare za polisi ili kuonyesha kuunga mkono juhudi zao za kupambana na uhalifu au ni lazima avae za JWTZ tu kama ambavyo ameonekana mara kadhaa? Naomba kuwasilisha...
Back
Top Bottom