FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 449
- 408
Jamani kusema ukweli Polisi nawaogopa na kuwaheshimu, ingawa polisi wetu wanasifika kwa kufuata sheria lakini kauoga huwa kapo.
Yaani polisi wenyewe kwa wenyewe huogopana kushikana, mfano polisi kamaliza shughuli zake salama, karudi kwake mida ya SAA mbili usiku au jioni wenzao walio doria waseme tupite kwa mwenzetu tumsabahi, Nina uhakika wa asilimia mia lazima mapigo ya moyo yamwende mbio. huo ni utafiti wangu mdogo.