polisi

  1. JamiiForums Tanzania Polisi yakiri watu 45 wafariki Dar wakati wa kumuaga hayati Magufuli

    Chanzo cha habari gazeti la the Citizen la Leo tarehe 30-03-2021 Dunia ina mambo mengi sana na vichekesho vingi sana, Hawa Jamaa Polisi mara ya kwanza waliogopa kutangaza. Hongereni Polisi kwa kutoa ukweli ingawa mmechelewa mlikuwa mnasoma upepo...
  2. JamiiForums Tanzania Dar: Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu atupwa barabarani kituo cha Mwenge ITV akiwa ameuawa

    Mtangazaji wa kituo cha ITV cha jijini DAR ES SALAAM Bi Blandina Sembu amekutwa akiwa ameuawa maeneo ya ITV Mwenge usiku saa sita. Mwili huo ulitambuliwa na Henry Mabumo aliyekuwa mtangazaji mwenzake kabla Mabumo hajahamia TBC. Mwili ulichukuliwa na Polisi usiku huohuo. Taarifa rasmi...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani: Kijana akijihami na Polisi, aua watu 10 kwa risasi sokoni

    Mtu mmoja aliyejihami kwa bunduki amewaua watu 10, pamoja na afisa wa polisi, kufuatia makabiliano ya saa kadhaa katika soko la mboga huko Colorado, polisi wa Marekani wanasema. Shambulio hilo huko Boulder lilitamatika wakati mtuhumiwa aliyejeruhiwa, aliyekuwa bila shati alipoondolewa kutoka...
  4. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania kwanini hamuwakamati Maria Sarungi na Fatma Karume? Mnabaki kukamata wananchi wa kawaida?

    Mnafanya kazi kwa mihemuko ya kisiasa isiyo na kichwa wala miguu. Huko Mtwara mmemkamata mwanamke kwa kuvaa dera la Chadema. Huko Manyara mmekamata watu kwa kusherehekea mpaka sasa hatujasikia kuwapeleka mahakamani. Lakini hawa watoto wa vigogo wanadhihaki kifo cha hayati JPM na kusherehekea...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kamata kamata ya Polisi kipindi hiki inalichafua Taifa

    Mimi Ni mwalimu mstaafu, enzi tunasoma tulikuwa tunafundishwa zaidi kufahamu saikologia ya mwanafunzi. Mfano, ukiwa unafundisha ukabaini yapo Mambo usiyoyajua kitaalamu lakini unaamini wapo wanafunzi wanayafahamu unaelekezwa kutumia mfumo wa mswali na kupitia hayo maswali wewe utajifunza na...
  6. JamiiForums Tanzania Polisi Mtwara wanamshikilia Hamida Said kwa kuvaa dera la Chadema katika kipindi cha maombolezo

    Huu Umoja na mshikamano viongozi wanaouimba majukwaani ndiyo huu? Uhuru wa nguo ya kuvaa ni haki ya binadamu, CCM mnataka wapinzani waishi kama second class citizens!
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mambosasa: Polisi hawakugawana nyama za wafanyabiashara bali ziliteketezwa na nyingine ilifukiwa ardhini, zilikuwa kilo 130 siyo 800!

    Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema tume iliyoundwa kuchunguza sakata la nyama ya wafanyabiashara imegundua nyama yote iliteketezwa. Mambosasa amesema tume ilionyeshwa shimo kubwa ambamo minofu na mautumbo ilifukiwa na sehemu nyingine ambayo miguu na makongoro...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Nyama yasema Polisi waliteketeza nyama yote iliyokamatwa ila miguu ilichelewa kuungua ndio maana Meya wa Jiji aliikuta

    Bodi ya nyama nchini imesema siyo kweli kwamba polisi waligawana nyama iliyokamatwa vingunguti bali nyama yote iliteketezwa. Mtendaji wa bodi ya nyama amesema wao ndio walioteketeza nyama hiyo pale kituo cha polisi Buguruni. Kilichotokea ni kwamba nyama laini iliungua kwa haraka na miguu...
  9. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Hatuwezi kuzuia bajaji kutumia barabara Kuu Mbeya

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amesema hatozizuia bajaji kupita barabara kuu kwa kuwa na wao wanatafuta riziki za kutumia na familia zao. Machi 15, Asubuhi Madereva wa daladala zinayosafirisha abiria katikati ya Jiji la Mbeya, wameanza mgomo kushinikiza Serikali iziondoe Bajaji kwenye...
  10. J

    JamiiForums Tanzania KASHFA: Polisi wa Buguruni Dar, wadaiwa kudhulumu kilo 800 za nyama na kugawana

    Wafanyabiashara wa nyama za mafungu huko Vingunguti wamelalamikia kitendo cha Bodi ya nyama kukamata nyama zao na kuzipeleka kituo cha polisi Buguruni ambako badala ya kuiteketeza waligawana na kubakiza makongoro. Akiongea katika eneo la tukio Meya wa Jiji la Dar es Salaam mh. Kumbilamoto...
  11. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tunawafuatilia wanaopotosha na kuzushia viongozi vifo

    Waziri wa Katiba na Sheria amesema wanawafuatilia wote wanaozushia watu vifo. Na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa kuna baadhi wameanza kushughulikiwa. Mh waziri hata watoto wa vigogo utawachukulia hatua?
  12. B

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania wamfuatilia Abu Yasir Hassan anayesakwa na Serikali ya Marekani kwa ugaidi Mozambique

    Gazeti la Nation.Africa Nation - Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports | HOME US sanctions Tanzanian linked to terrorism in Mozambique la nchini Kenya linaripoti habari hii ya mtanzania kuwekwa ktk listi ya mtu hatari, kiongozi wa magaidi na anayefadhili ugaidi katika jimbo...
  13. JamiiForums Tanzania Mbaroni kwa kusambaza uzushi Mtandaoni kwamba Rais Magufuli ni Mgonjwa. Kigogo wa Twitter naye anasakwa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni mgonjwa. Pia, Kingai amesema wanamsaka mwanaharakati anayejiita...
  14. JamiiForums Tanzania Yanga dhidi ya Polisi: Nani angefanya nini ili Pius Buswita asifunge goli lile?

    Kwangu mimi hakukuwa na namna nyingine ya kumzuia mfungaji wa goli lilitosababisha Kaze afukuzwe kazi zaidi ya kusababisha penaliti. Buswita ni mrefu na alitumia urefu wake kufungu, full stop!!. Matokeo kwenye round ya pili ni hayahaya tu kwa timu zote hasa baada ya timu kufanya makosa ya...
  15. J

    JamiiForums Tanzania RC Mghwira: TRA acheni kufanya kazi kama polisi Wafanyabiashara siyo majambazi, mbunge asema kuwa tajiri imekuwa dhambi

    Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dr Mghwira amewatataka TRA kuacha kukusanya kodi kama polisi bali wazingatie dhana ya Huduma kwa mteja ( Customer Care) yaani kumjali mteja. Mghwira amesema wafanyabiashara siyo majambazi na siyo jambo jema kuwaona wakifunga biashara kila siku. Naye mbunge wa Hai mh...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lasitisha vibali vyote vya mbio, jogging, maonesho na maandamano kwa sababu za kiusalama

    Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni afande Kibona amesema jeshi hilo mkoani kwake limesitisha vibali ilivyovitoa na vinavyotegemewa kutolewa kwa shughuli za maandamano, maonesho, jogging na mbio ikiwemo Haki marathon. Vibali hivyo vimesitishwa kwa sababu za kiusalama. Chanzo: ITV...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapata njia mpya ya kudhibiti rushwa kwa Askari Polisi , nchi zingine ziige

  18. JamiiForums Tanzania Kwanini kinaitwa Polisi kitengo cha upelelezi badala ya Polisi kitengo cha uchunguzi wa makosa ya jinai?

    Kwenye jeshi la polisi kuna kitengo kinaitwa criminal investigation department kwa kimombo lakini kwa kiswahili wanaita kitengo cha upelelezi wa makosa ya jinai. Swali langu ni kwa nini tafsiri ya investigation inakua upelelezi badala ya uchunguzi? Neno upelelezi limekaa kishambega, kiumbea...
  19. JamiiForums Tanzania RC Mghwira awatuhumu baadhi ya polisi wilayani Rombo

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amewashukia baadhi ya askari polisi Wilayani Rombo kwa madai ya kujihusisha na kumiliki mitambo ya kutengeneza gongo. Mghwira ameeleza hayo jana Jumatatu Februari 22, 2021 wakati akizungumza na wafanyabiashara pamoja na wakuu wa taasisi mbalimbali...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Siku hizi hawa polisi wetu wana swagger za ajabu sana

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…