Polisi yakiri watu 45 wafariki Dar wakati wa kumuaga hayati Magufuli

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,099
Chanzo cha habari gazeti la the Citizen la Leo tarehe 30-03-2021

Dunia ina mambo mengi sana na vichekesho vingi sana, Hawa Jamaa Polisi mara ya kwanza waliogopa kutangaza.

Hongereni Polisi kwa kutoa ukweli ingawa mmechelewa mlikuwa mnasoma upepo.


====

Dar es Salaam. It is now official. The stampede that occured on the second day when Dar es Salaam residents were paying their last respects to the body of the late President John Magufuli killed 45 people.

Thirty-seven more people were injured as a huge number of mourners sought to force their way into the stadium to pay their last respects to the fallen President on Sunday, March 21, 2021, police have confirmed.

It was on Sunday, March 21 that a stampede occurred when some Dar es Salaam residents attempted to enter the stadium via unofficial entrance points as the crowd got larger. “These people were not criminals.

They went to the stadium in order to express their love for their departed leader but because the num- ber of people was huge, some became impatient and opt- ed to using unofficial entry points and that was how the problem occurred,” Dar es Salaam Special Police Zone commander, Mr Lazaro Mambosasa, told The Citi- zen’s sister paper Mwananchi yesterday.

He said all the 37 people who were injured in the stampede were progressing well and had been discharged from various hospitals.

“Whenever there is a national event that brings many people together, it is advised that people should obey the laid down procedures.

That way, we will be able to avoid a recurrence of the loss of lives that we have just had,” he said. Though Mr Mambosasa could not name the victims, what is known is that the stampede dealt a heavy loss to the family of David Mtuwa of Dar es Salaam.

On Thursday, March 25, hundreds of mourners turned up at the home of Mr David Mtuwa in Dar es Salaam to pay their last respects to five family members who lost their lives during the stampede at Uhuru Stadium on Sunday, March 21.

Christian (11), Michelle (8), Nathan (6), Natalia (5), Suzan Ndana Mtuwa (30s) and a housemaid Anita Mfik- wa (27) died as they went to pay their last respects to the body of former President John Magufuli.

The body of Anita was later transported to her home in Njombe for burial.

Another reported victim was Rose John who was also killed during the stampede and her body was transport- ed to Kagera for burial.

Dr Magufuli died at the Mzena Memorial Hospital in Dar es Salaam on March 17, and his body was laid to rest at his Chato hometown on Friday, March 26.

The burial took place after Tanzanians had paid their last respects in Dar es Salaam, Dodoma, Zanzibar, Mwanza - and, finally Chato.
 
Mkuu si ulikuwa unamsupport Jiwe au kumbukumbu zangu zimepwaya?

Hata hiyo hongera kwa kumkaanga sasahivi kisa hayupo
Mkuu Mimi ni muumini wa ukweli na uwazi, Fuatilia makala zangu kuhusu CAG Dkt Assad

Kwenye ishu za watu kuiba na Kujijengea mtandao wa kupiga pesa Siungi mkono

Hayati nilimuunga mkono kwenye kusimamia kazi na anachokiamini kwenye ishu za uhuru wa habari na Demokrasia mambo yalikuwa hovyo sana sana
 
Kuna jamaa alinusurika akasema anaishukuru serikali ya awaku ya tano chini ya jemedari mheshimiwa docta john pombe josef magufuli kwa kuwaokoa na kuwapatia ambulance ya kuwapeleka hospitali.alishasahau kuwa magufuli alishakufa na ndio alienda kumuaga.kweli magu alijua kuturoga
 
Kila siku inayopita sababu za kuwa JPM alikuwa ni tatizo kwa taifa hili inaongezeka.kulikuwa na genge la kihalifu ambalo lilikumbatiwa na mkuu.hawezekani taasisi Kama polisi ilijawa na hofu. Kutangaza hivyo vifo.

Vyombo vya habari vilikuwepo hakuna kilichothubutu. RAIS mama Samia Suluhu kwa hili una kazi ngumu Sana ya kuwarudishia hali ya kujihamini hizi taasisi.fumua TISS na chunguza hili genge.
 
Mbaya sana kwa kweli!

DC na RC bado wako ofisini?
Hii dunia ina mambo mengi sana, Huu umoja Wanaotuhubiria hawa Sukuma Gang ni upi?

Walikifanya chama Chao kumbe kwa ajili ya kupiga pesa, Zile fujo zote za akina Bashiru, Makonda, Kheri James, Ally Happy kumbe ilikuwa ni kupiga pesa za wananchi

Wafanyakazi wanasoma namba tukiwaambia Rais anajenga nchi, kumbe kuna kundi la Sukuma Gang linakwapua

Haya ya Bandari inasikitisha sana sana

Na hayo ya Dotto James na Bashiru yanasikitisha sana sana kuhusu kuhamisha pesa BOT
 
Serikali iliwakumbuka kwa rambirambi na kugharamia misiba na mazishi hata kwa aliyesafirishwa

Marehemu wote walale mahala pema amen🙏
Kwahiyo unajustify kuuwawa kwa Wananchi na waliopanga uzembe au makusudi bado wako Ofisini.
 
Hizi familia zilipaswa zikumbukwe na serikali kwa hata mkono wa rambirambi..
Serikali iliwakumbuka kwa rambirambi na kugharamia misiba na mazishi hata kwa aliyesafirishwa

Marehemu wote walale mahala pema amen🙏
Kwahiyo unajustify kuuwawa kwa Wananchi na waliopanga uzembe au makusudi bado wako Ofisini

Wacha chokochoko weweeee
Wapi palipohitaji justification hadi uniambie nimejustify?

Kwa uchungu ulionao kuhusu uzembe nenda kwa familia za marehemu walikutwa na umauti wakupe majibu mubashara
 
Serikali iliwakumbuka kwa rambirambi na kugharamia misiba na mazishi hata kwa aliyesafirishwa

Marehemu wote walale mahala pema amen
Mmh!

Mbona kuna msiba mmoja wa yule dada aliyepelekwa Kagera, ndugu iliwalazimu kupitisha bakuli ili kuokoa jahazi?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom