Mimi Ni mwalimu mstaafu, enzi tunasoma tulikuwa tunafundishwa zaidi kufahamu saikologia ya mwanafunzi. Mfano, ukiwa unafundisha ukabaini yapo Mambo usiyoyajua kitaalamu lakini unaamini wapo wanafunzi wanayafahamu unaelekezwa kutumia mfumo wa mswali na kupitia hayo maswali wewe utajifunza na...
Huu Umoja na mshikamano viongozi wanaouimba majukwaani ndiyo huu? Uhuru wa nguo ya kuvaa ni haki ya binadamu, CCM mnataka wapinzani waishi kama second class citizens!
Kamanda wa Polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema tume iliyoundwa kuchunguza sakata la nyama ya wafanyabiashara imegundua nyama yote iliteketezwa.
Mambosasa amesema tume ilionyeshwa shimo kubwa ambamo minofu na mautumbo ilifukiwa na sehemu nyingine ambayo miguu na makongoro...
Bodi ya nyama nchini imesema siyo kweli kwamba polisi waligawana nyama iliyokamatwa vingunguti bali nyama yote iliteketezwa.
Mtendaji wa bodi ya nyama amesema wao ndio walioteketeza nyama hiyo pale kituo cha polisi Buguruni.
Kilichotokea ni kwamba nyama laini iliungua kwa haraka na miguu...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amesema hatozizuia bajaji kupita barabara kuu kwa kuwa na wao wanatafuta riziki za kutumia na familia zao.
Machi 15, Asubuhi Madereva wa daladala zinayosafirisha abiria katikati ya Jiji la Mbeya, wameanza mgomo kushinikiza Serikali iziondoe Bajaji kwenye...
Wafanyabiashara wa nyama za mafungu huko Vingunguti wamelalamikia kitendo cha Bodi ya nyama kukamata nyama zao na kuzipeleka kituo cha polisi Buguruni ambako badala ya kuiteketeza waligawana na kubakiza makongoro.
Akiongea katika eneo la tukio Meya wa Jiji la Dar es Salaam mh. Kumbilamoto...
Waziri wa Katiba na Sheria amesema wanawafuatilia wote wanaozushia watu vifo. Na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa kuna baadhi wameanza kushughulikiwa.
Mh waziri hata watoto wa vigogo utawachukulia hatua?
Gazeti la Nation.Africa Nation - Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports | HOME US sanctions Tanzanian linked to terrorism in Mozambique la nchini Kenya linaripoti habari hii ya mtanzania kuwekwa ktk listi ya mtu hatari, kiongozi wa magaidi na anayefadhili ugaidi katika jimbo...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Ramadhani Kingai amesema Polisi wanamshikilia Charles Majura (35) ambaye ni Fundi Simu, kwa kosa la kimtandao kwa kusambaza taarifa za uzushi kuwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli ni mgonjwa.
Pia, Kingai amesema wanamsaka mwanaharakati anayejiita...
dollar
fidia
jeshi
jeshi la polisi
kanisa
kanisa katoliki
katoliki
kigogo
kulipa
kusambaza
magufuli
mbaroni
mgonjwa
mtandaoni
nchi
new
news
polisi
rais
rais magufuli
twitter
ulawiti
uzushi
waathirika
zaidi ya
Kwangu mimi hakukuwa na namna nyingine ya kumzuia mfungaji wa goli lilitosababisha Kaze afukuzwe kazi zaidi ya kusababisha penaliti.
Buswita ni mrefu na alitumia urefu wake kufungu, full stop!!. Matokeo kwenye round ya pili ni hayahaya tu kwa timu zote hasa baada ya timu kufanya makosa ya...
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dr Mghwira amewatataka TRA kuacha kukusanya kodi kama polisi bali wazingatie dhana ya Huduma kwa mteja ( Customer Care) yaani kumjali mteja.
Mghwira amesema wafanyabiashara siyo majambazi na siyo jambo jema kuwaona wakifunga biashara kila siku.
Naye mbunge wa Hai mh...
Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni afande Kibona amesema jeshi hilo mkoani kwake limesitisha vibali ilivyovitoa na vinavyotegemewa kutolewa kwa shughuli za maandamano, maonesho, jogging na mbio ikiwemo Haki marathon.
Vibali hivyo vimesitishwa kwa sababu za kiusalama.
Chanzo: ITV...
Kwenye jeshi la polisi kuna kitengo kinaitwa criminal investigation department kwa kimombo lakini kwa kiswahili wanaita kitengo cha upelelezi wa makosa ya jinai.
Swali langu ni kwa nini tafsiri ya investigation inakua upelelezi badala ya uchunguzi? Neno upelelezi limekaa kishambega, kiumbea...
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amewashukia baadhi ya askari polisi Wilayani Rombo kwa madai ya kujihusisha na kumiliki mitambo ya kutengeneza gongo.
Mghwira ameeleza hayo jana Jumatatu Februari 22, 2021 wakati akizungumza na wafanyabiashara pamoja na wakuu wa taasisi mbalimbali...
Habari za muda huu jamiiforums.
Unawezaje kufanya kazi ya kuihudumia jamii (Mwalimu, Polisi, Daktari) ndani ya eneo/kijiji ulichozaliwa pasipo kupata lawama za ndugu, jamaa na marafiki?
Jenga picha umemaliza chuo kikuu mwaka 2008 na kisha kuajiriwa mwaka 2009 na ilipofika mwaka 2020 umepanda...
Video ikionyesha wahuni wa Yanga wakiahidi kufanyia fujo marefa kama timu yao itafugwa. Mtibwa Sugar tunatoa rai kwa TFF ishirikiane na Jeshi la Polisi kuweka ulinzi na kutoa kipigo cha mbwa koko kwa wahuni wa Yanga.
Tunalitaka jeshi litoe onyo kabisa kabla ya mechi,wahuni wanaokuja na matoeo...
Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam imesema silaha ya mbunge wa Mtama mkoani Lindi iliyoibiwa kupitia dirishani nyumbani kwake Kawe beach jijini Dar es salaam imepatikana.
Silaha hiyo aina ya bastola ikiwa na risasi 14 imepatikana mkoani Mbeya baada ya ushirikiano wa polisi wa mikoa hiyo...
Nimesikia tetesi kutoka kwa rafiki wa karibu kuwa serikali inakusudia kujenga kituo kingine cha polisi kwa kushirikisha nguvu za wananchi katika Kata ya Kihonda, ni jambo jema na zuri, binafsi ningeshauri kituo hicho kijengwe karibu na stesheni ya mwendokasi badala ya kwenda kulijenga eneo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.