polisi

  1. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Ashikiliwa kwa tuhuma za kumuunguza mtoto sehemu za siri kwa moto wa sigara

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia Apolikarp Mushi kwa tuhuma za kumuunguza sehemu za siri kwa moto wa sigara, mjukuu wake wa kiume pamoja na kumtegua nyonga kwa kutumia kitu kizito. Mushi anayeishi kijiji cha Uru Kyaseni wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kumfanyia...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA DIGITAL balaa, CCM yaanza kutumia Polisi kuidhibiti

    Tulionya tangu mapema sana kwamba huu mpango wa Chadema wa kusajili wanachama kwa njia ya kisasa ya kidigital utaua cccm na mamluki wake , hii ni kwa sababu Wananchi wengi sasa wamefahamu kwamba Chadema ndio Mkombozi wa kweli wa dhiki na tabu zao . Masuala ya Tozo , mgao wa maji na umeme ...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro aagizwa kuchunguza wahitimu wa polisi wanaotaka kupangiwa utrafiki na bandarini

    Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro pamoja na wakuu waandamizi wa polisi kuchunguza sababu za wahitimu wengi wa mafunzo ya polisi kuomba kupangiwa idara ya usalama barabarani na bandarini kama maeneo yao ya kazi na si maeneo mengine...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wapigwe Vita Polisi kunyang'anya madereva leseni

    Ajabu na kweli tunaposhuhudia utendaji mbovu kabisa wa jeshi la polisi kupata kutokea, kumbe wao pia wamejipa mamlaka zaidi na kujipongeza juu, kwa kupora haki za watu kuishi! Eti kumbe Jan - Sep 2021 wamepokonya madereva 537 leseni za udereva? Jambo la hovyo kabisa kusikika kwa wapenda haki na...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Songwe: Watu 24 wakamatwa wakizingira kituo cha polisi

    Polisi mkoani Songwe wanawashikilia watu 24 wa Kijiji cha Chang'ombe wilayani Songwe kwa tuhuma za kuzingira kituo cha polisi Galula. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Janeth Magomi amesema watu hao walivamia kituo wakishinikiza kurejeshewa mikoba ya waganga wa jadi (lambalamba) iliyokamatwa na...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kutumia Detention Register ya Polisi ukoje? Ni kila mwaka na Register mpya au ni mpaka iliopo ijae?

    Hili jambo kuna watu wanalielewa vizuri sana na wanaweza kusaidia jamii kujua ukweli ila Watanzania tumekuwa waoga na hivyo wenye kujua wamechagua kukaa kimya. Upotoshaji unapata nafasi kwasababu hii kesi ni ya kisiasa kiasi kwamba hata Polisi wanaolewa utaratibu ukoje wanaweza wasiseme ukweli...
  7. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Mapenzi: Dogo katendwa na Baba Mkwe, anahitaji msaada wa kisaikolojia zaidi kuliko Vitisho vya Polisi

    Siku zote natamani sana sana nchi yetu ingekua na vitengo vya wanasihi, sio kila kitu kinahitaji polisi na kutumia nguvu. Mfaano mzuri ni huyu kijana ambaye kwa majibu wake ni kwamba Baba mkwe kavunja ndoa yake iliyodumu tangu 2012-2021. Miaka Tisa ya mahusiano si michache. Katika kutafuta...
  8. luangalila

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi stationary kuthibitisha loss report badala Jeshi la Polisi?

    Hii kitu nimekumbana nayo leo baada ya kujaza loss report online kisha kufanya malipo then nikafika kituo cha polisi ili waithibitishe ndipo askari niliye mkuta kituoni akaniambia nikathibitishie stationary. Je hii ni sahihi kweli jamani
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa zamani wa PAC Zitto Kabwe aliwahi kuamuru polisi wamuweke ndani DG wa TPDC

    Kuna watu wanadhani na kuamini kwamba Zitto Kabwe ni kiongozi asiyependa ubabe, wanakosea sana. Zitto Kabwe ni mbabe kupita hayati Magufuli. Zitto Kabwe aliwahi kumsweka ndani mkurugenzi wa TPDC kwa jambo ambalo lilihitaji mjadala tu na alipohojiwa alisema katiba ndio imempa Madaraka hayo...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tochi za Polisi hazipaswi kuwa kero - Kagame na mkia wa chui

    Wale waheshimiwa wa kutozingatia PGO ambao kwetu barabarani tochi wamefanya huo ni ulaji wao rasmi na wa kudumu, nani wa kuwafunga kengele? "40km/h limit hiyo ni kwa watembea miguu. Tufike mahali tuwe na muafaka wa pamoja usio na madhumuni ya kukera wengine" - amesikika mwamba Kagame. Makwetu...
  11. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania kuanza msako wa kuwakamata wanaotaka kujinyonga, ole wako ukionekana kama mtu uliyezongwa na maisha

    Wenzetu mnashauriwa mtembee vifua mbele huku mkikenua meno na kuonyesha furaha, usionyeshe dalili zozote za kutaka kujiua kisa ugumu wa maisha hayo mara mgao wa umeme, maji, jua kali n.k. === Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora Barnabas Mwakalukwa amesema Jeshi la Polisi mkoani humo litaanza msako...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Milipuko Miwili ya Mabomu yatokea Jijini Kampala

    Salaam Wakuu, Leo Milipuko Miwili ya mabomu imetokea jijini Kampala. Wabunge watawanyia kuokoa maisha. Wabunge wa bunge la Uganda wakiwa nje ya jengo baada ya Mlipuko kutokea Jijini Kampala. Kila mtu anaokoa maisha yake
  13. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ajali iliyohusisha Magari Nane, maelezo ya Polisi yanatia shaka

    Nimejaribu kusoma kwa utulivu kisha nikaangalia picha, naona kama yanapingana na uhalisia, anyway Wajuvi nisaidieni, lory HOwo ame-ovrtake kweli hapo?? Afande taarifa ya ajali: KAB/TR/ar/16/2021(×)ajali ya magari manane kugongana na kusababisha majeruhi na uharibifu wa magari (×) mnamo tar...
  14. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi linafanya uchunguzi wa malalamiko ya mwananchi mmoja dhidi ya askari polisi wa kituo cha polisi Goba

    Taarifa kwa vyombo vya Habari. Dar es salaam, 16/11/2021 Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linafanya uchunguzi wa tukio la kijana anayefahamika kwa jina la Issa Kassim (20) mkazi wa Goba Wilaya Kinondoni kudaiwa kupigwa na askari wa Jeshi la Polisi na kusababishiwa maumivu makali...
  15. Goliath mfalamagoha

    JamiiForums Tanzania Polisi jijini Dar wamjeruhi mtuhumiwa, yupo mahututi ICU

    Polisi Goba, Dar, wajeruhi kwa kipigo, majeruhi yuko ICU, anapumlia mashine, madaktari wasema, kupona kwake utakuwa muujiza wa Mungu.... Jumatano, November 10, 2021, Polisi Goba walimkamata Issa Kassim (20), nyumbani kwao huko Goba kwa madai kwamba ameuziwa TV ya wizi, tukio ambalo mtuhumiwa...
  16. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Ludewa: Kijana mbaroni kwa tuhuma za kumbaka nguruwe

    Mkazi wa kijiji cha Mavanga kilichopo katika kata ya Mavanga wilayani Ludewa mkoani Njombe anayefahamika kwa jina la Afro Nyigu (31) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma ya kumbaka mnyama aina ya Nguruwe. Afisa mtendaji wa kijiji hicho Ramadhani Kihanga amesema kuwa tukio hilo limetokea...
  17. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Miaka 24 still strong barabarani, Yamaha 4gl-90

    Yamaha 4gl 90cc ni mfano tu wa mashine za kijapani ambazo wajapani walijitengenezea wenyewe kwa matumizi yao, pikipiki hizi ni sawa na Honda md90 ambazo zilitengenezwa maalumu kwa ajili ya shughuli za posta huko japan. Leo huyu mnyama ana miaka 24, production ya 1997, mpaka leo sijui kapita...
  18. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Taaluma za kuheshimika na muhimu ni hizi sita (6) tu

    Si zaidi ya hapo; ni kama ifuatavyo:- 1. Mwalimu Waelimishaji waliohitimu kwa viwango stahiki wanahitajika sana, na ikiwa utahitaji kujenga jamii imara walimu ni kundi muhimu na la lazima. Ili vijana waweze kubadilisha ulimwengu na taifa, basi hii ndiyo taaluma ya muhimu na ya lazima popote...
  19. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa silaha kinyume na sheria kutoshtakiwa ikiwa atasalimisha silaha yake

    Serikali imekuja na sheria ambayo itampa msamaha mtu yeyote anayemiliki silaha kinyume na sheria ikiwa ataisalimisha silaha hiyo kuanzia Novemba 1 mpaka 30 Novemba 2021. AMNESTY FOR ILLEGAL FIREARM OWNERS The Government of Tanzania has granted amnesty for illegal firearm owners to surrender...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari Gordon Kalulunga adaiwa kusakwa na Jeshi la Polisi, aishi mafichoni

    Mwandishi wa Habari mkongwe Gordon Kalulunga anadai kusakwa na Jeshi la Polisi kila Kona ya jiji la Mbeya. Kwa maelezo yake Kalulunga anasema tarehe 6 mwezi huu saa sita mchana alipigiwa simu na Msaidizi wa OCCID wilaya ya kipolisi Mbalizi Christopher Makawia na kumwambia, "tukutane pale Benki...
Back
Top Bottom