pikipiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Nina pikipiki aina ya "Power Star", nina tatizo ya kupata vipuli vyake

    Nina pikipiki aina ya "Power Star", nina tatizo ya kupata vipuli vyake, mfano accelerator wire, spare za vipuli vya engine n.k kuna mtu anaweza kunisaidia naweza kupata wapi
  2. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Ajali Wazo Hill: Daladala la Mbezi Tegeta Nyuki limeparamia bajaji na pikipiki

    BREAKING NEWS: Daladala inayofanya safari zake kati ya Mbezi na Tegeta kibaoni imefeli breki katika barabara yenye mteremko mkali ya Wazo Hill. Inaelezwa kuwa daladala hiyo imevamia Bajaji pamoja na Pikipiki kadhaa. Taarifa zaidi zitakujia hivi punde. East Africa TV
  3. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Ni wapi mahali sahihi kwa mujibu wa taratibu kuwekwa plate number za pikipiki?

    Peace be with you all, Wakuu kumekua na mitindo au style nyingi za pikipiki zikija na madoido ya mahali tofauti tofauti pa ufungwaji wa plate numbe kama nyuma, mbele, juu ya carry bar kwa piki piki kubwa kama baja, XL na XLR. Sasa kuna piki piki ameagiza jamaa yangu yenyewe haina sehemu ya...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ajira ajira natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta yangu

    Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba. Location ni: Dar es Salaam
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ajira: Natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta yangu

    Kuna shughuli yangu nahitaji usafiri wa pikipiki walau tano. Hivyo natafuta mtu mwenye pikipiki tano tufanye biashara atapewa mauzo ya uhakika kwa mwezi mafuta na matengenezo juu yangu. Karibuni mwenye pikipiki tuelewane na tuingie mkataba.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Pikipiki Used Tvs /boxer / Toyo / Sanya inahitajika

    Naitaji pikipiki Used mbili tvs / boxer na Toyo / Sanya Bajeti: laki saba Saba Kila Moja Yeyote mwenye nayo naomba tuwasiliane. Tuwasiliane kwanza pm Kisha nitakupatia namba zangu Gharama za usafiri mpaka hapa nilipo ni za kwangu Karibu
  7. The bump

    JamiiForums Tanzania INAUZWA BOXER CC 125 (ina mwezi unaenda mwezi wa Pili) BM X

    Hii pikipiki nilininunua TAR 5 mwezi wa 9 nita attach risiti ya Manunuzi. Pikipiki sina namna naweza ielezea, "ni mpya" Naiuza sio kwa shida hivyo mteja apatikane asipatikane yote kheri. Sababu ya Kuiuza ni kutokana na ngekewa ambayo imenitokea bila kutarajia, sikua nimetarajia kabisa kupata...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Zipi faida na hasara za pikipiki za umeme za kuchaji?

    Nimeona wengi waliozinunua wanaziuza tena... Nikapata maswali kidogo. Shida ni nini tena? Faida ipo kuwa sasa badala ya kununua Petrol utakuwa una charge. Nyingi kwa maelezo ni kuwa una charge masaa 5 unatembea kms 60. Lakini nikajiuliza inatumia Units ngapi kuicharge hayo masaa matano? Maana...
  9. genius mvivu

    JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki ya mkataba

    Kwema wandugu....! Mbele yenu ni kijana wa miaka 24 na form six leaver miaka minne nyuma natumia jukwaa hili la jf kuomba msada jinsi ya kupata pikipiki ya mkataba kwani Niko katika jiji la Amoc makala na nikiwa nimekata tamaa na mafanikio na kazi nayoifanya...Incase ya dhamana sina chochote...
  10. Kelela

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua chuo cha udereva wa pikipiki na kupata leseni

    Habari wana JF, Naomba kujulishwa mambo yafuatayo kwa wanaofahamu. 1. Chuo kinachotoa mafunzo ya udereva wa pikipiki Dar es salaam (Specifically wilaya ya Temeke). 2. Jinsi ya Kupata Leseni ya Kuendesha Pikipiki na Gharama zake. 3. Jinsi ya Kubadili Plate number kutoka Nyeupe kuwa njano...
  11. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazosababishwa na pikipiki (boda) kwa jiji la Dar es Salaam

    Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki(boda) katika jiji la Dar es Salaam Andiko langu linahusu tatizo sugu la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki (boda) katika jiji la Dar es salaam linavyoleta madhala makubwa kwa jamii. Dar es Salaam ni jiji kubwa linaloongoza kwa...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Kampuni gani inakopesha pikipiki?

    Kwa anejua kampuni inayokopesha pikipiki
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi wakamata Kilo 390 za Mirungi, 70 za Bangi na Pikipiki 11 za wizi

    Kamanda wa Polisi Mkoa, Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Justine Masejo amethibitisha tukio hilo leo Septemba 11, 2022 na kueleza kuwa wanamshikilia Allen Wilbard Kasamu, dereva wa Lori la mafuta lililotumika kusafirisha Mirungi Kamanda Masejo amesema wamewakamata pia watuhumiwa wengine 38...
  14. Chief Wingia

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa pikipiki haojue express

    Habarini wakuu. Husika na kichwa cha habari hapo juu naomba kufahamishwa kuhusu pikipiki hii; 1. Uimara wa chasis yake na body kwa ujumla 2. Upatikanaji wa spare zake
  15. B

    JamiiForums Tanzania Pikipiki inakunywa sana mafuta

    Wakuu nina pikipiki yangu skymark winner inakunywa mafuta kama jini, naombeni ushauri.
  16. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Hii ndio mashine ya kuzalisha matairi ya pikipiki kwa kutumia takataka, Tz hazijafika bado?

    Kwakuwa mahitaji ya tairi za pikipiki na makubwa nchini Tz, Ke, bado hatuna hii mashine? Video ina maelezo
  17. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mtoto wa miaka 14 anayemiliki kiwanda cha kuzalisha breki za pikipiki, tunaweza kuiga kwa hapa Tz?

    Mahitaji ya ‘brake shoe’ za pikipiki ni kubwa mno, tunaweza kuokoa mabilioni yanayotumika kuziagiza toka nje ya nchi na kutatuabtatizo la ajira kwa kuwapa vijana mazingira mazuri ya kufanya ‘start ups’, tozo ni kikwazo kikubwa kwa wajasiriamiali. Tuone kama tuna la kujifunza kwa huyu mtoto...
  18. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni lini SIDO wataunda mashine hii ya kuzalisha ‘Sprocket’ za pikipiki?

    Soko la ‘Sprocket’ za pikipiki ni kubwa sana Tanzania, na uzalishaji wake ni rahisi na unawezekanika kwa teknolojia rahisi sana. Je, ni lini SIDO wataanza kuunda na kusambaza mashine na ujuzi huu kwa maendeleo ya taifa letu? Sehemu ya tozo itumike kwenye R & D badala ya kujenga Ikulu hadi...
  19. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Pikipiki isiyo na vioo vya pembeni ni hatari

    Hebu tuacheni kusingizia Mungu kwa ajali tunazo jitakia! Hivi mjini kati magari yamejaa, mtu unapanda pikipiki haina Vioo vya pembeni maarufu kama said Mira (Side Mirrow) unategemea nini? Vile vioo kazi yake nikuonesha gari Linalokuja nyuma hivyo bila hivyo vioo, Pikipiki huweza kuingia...
  20. Beah

    JamiiForums Tanzania Natafuta pikipiki aina ya Yamaha DT 125

    Natafuta pikipiki aina ya Yamaha DT 125 ya kununua iliyonyooka iwe na documents zote kama unayo piga hapa 0752883171.
Back
Top Bottom