Nataka kufungua duka la vifaa vya pikipiki kijijini

maneno21

Member
Nov 1, 2021
32
31
Wadau za jioni,

Mimi ni kijana mwenye miaka 32, niko Kijijini. Nimemake kiasi cha Tsh. milioni 1 nataka kufungua duka la vifaa vya pikipiki huku huku kijijini ila sijui kama fedha hizo zitatosha kama mtaji wa kuanzia

Nataka nianze na duka dogo tu

Naombeni ushauri na wazoefu naombeni mwongozo
 
Duka la spare kwa milioni moja
Umeshapata frame?

Lazima uweke ulinzi imara maana wezi wako watakuwa ni wale wale wateja walionunus spare za 70,000 au 90,000 wanajua una hela. Kuvunjiwa usiku usishangae. Ikiwezekana weka chumba nyuma ya frame kuwe na mtu ana lala.
 
Hapa majuzi nilitaka kufungua duka la spare parts za magari, kuna connection moja ya kununua dubai niliona inakuwa na faida. baadaye nikaogopa nisijeingia mkenge wa kununua magari ya wizi na kuyachinja nikaishia kupambana na mapolisi na kutenda dhambi.

Vifaa vya pikipiki labda kama unaagiza vipya nje, ila kwa hapa lazima uwe na vijana wa kuiba pikipiki wakuuzie kwa bei ndogo wewe uchinje uuze spare, au uvizie zile zilizoharibika. something which is challenging na ni dhambi/majaribu tu. though wanaofanya hivyo wanapata faida kubwa haraka ila huwa hawaishii pazuri.
 
Duka la spare kwa milioni moja
Umeshapata frame?

Lazima uweke ulinzi imara maana wezi wako watakuwa ni wale wale wateja walionunus spare za 70,000 au 90,000 wanajua una hela. Kuvunjiwa usiku usishangae. Ikiwezekana weka chumba nyuma ya frame kuwe na mtu ana lala.
Frem ipo ndio
 
Hongera sana kwa wazo nzuri sana mkuu, kwanza Nakushauri kwa sababu wewe si fundi hii biashara inahitaji uwe na fundi ili iende vizuri pia kidogo ulicho nacho unapaswa kuanza na hicho hicho kitaongezeka mbele ya safari, Biashara hii inalipa sana faida yake ni karibi nusu kwa nusu.
 
Back
Top Bottom