picha

Jean-Paul "Picha" Walravens (Brussels, Belgium, 2 July 1942) is a Belgian cartoonist, comics artist, animator and film director. He is most famous for his adult animated films, such as Tarzoon: Shame of the Jungle.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PICHA: Makamu wa Rais hupokea heshima ya kiitifaki wapi?

    Kupitia picha hizi hapa chini, nimejiuliza mara mbili tatu je, ni wapi makamu wa Rais hupokea heshima ya kiitifaki kama picha zinavyojieleza?
  2. JamiiForums Tanzania Bila shaka tumepata picha kamili, uvunjifu wa haki huzalisha chuki ya kudumu

    Ukienda South Africa hii leo ukakutana na ndugu wa Steven Biko na ukafanya nao mazungumzo lazima watakuambia kweli kuwa kuna kovu kubwa ndani ya mioyo yao. Maana ndugu yao aliuawa bila hatia na utawala dhalimu wa makaburu. Tena aliuawa kifo kibaya. Huu ni mfano tu ambao unaonesha namna gani...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya kunitumia picha yake kanizira!

    Nilikutana nae mtandaoni si nikajipinda kuomba picha nikijua naopoa pisi kali kumbe pisi kombe!.. na hii ndo picha yake Baada ya kuiona sikujibu chochote zaidi ya kumuwekea haka ka video Tuwe makini ndugu zanguni maana matusi niliyotukanwa na huyo kibonge mpk nimeota tujipu uchungu!.
  4. JamiiForums Tanzania Salim Himidi katika picha, katika mazungumzo

    SALIM HIMIDI KATIKA PICHA KATIKA MAZUNGUMZO Mtu anapoondokewa na wake akili inahangaika sana lakini mara mtu anasahau na maisha yanaendelea. Hizi ni katika rehma za Allah vinginevyo maisha yetu yote duniani yangetawaliwa na huzuni kwa misiba inayotufika. Picha ya mwanzo kushoto ni Salim...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia picha za viongozi wa serikali mashambani kwao weekend, nakumbuka mashamba ya Mbowe yaliyovamiwa na wanasiasa wakaua mimea isiyo na hatia

    Binadamu ana tabia yakuona kitu flani kikamkumbusha Jambo fUlani la aina hiyo lililowahi kutokea miaka ya nyuma. Leo hii nikawaida kuona wanasiasa na baadhi ya viongozi wakisiasa wakipiga picha na kuposti wakiwa kwenye mashamba yao. Picha hizi unanifanya nijiulize hivi akienda mtu akaondoa...
  6. JamiiForums Tanzania PICHA: Republican waanza kuabudu sanamu ya dhahabu ya Trump

    Dunia hadaa ulimwengu shujaa. Wenzenu hapo kwa Biden wameamua kwa moyo mkunjufu kufanya ibada na kuiabudu sanamu ya mstaafu Trump. Nawasilisha. === Fact check: Picha aliyoweka mtoa mada haihusiki na kuabudiwa
  7. JamiiForums Tanzania Hivi Askofu Dr Gwajima anaweza kutengeneza picha kubwa kweli?

    Anadai kuwa anamtumainia Bwana na waamini wake hawavai barakoa na kuchukua taadhari yoyote lakini hakuna aliyekufa. Swali, mbona bungeni kuna ulinzi? Na viongozi wakubwa wana ulinzi pia? Hivi nyumbani kwake na kwenye ofisi za makanisa yake hafungi milango na makufuli au funguo?
  8. JamiiForums Tanzania Klabu Bingwa Afrika: Simba SC ya Tanzania yashinda 1-0 dhidi ya Al Ahly ya Misri katika Uwanja wa Benjamin Mkapa - Dar

    Timu ya soka ya Simba leo iko dimbani kupambana na Al Ahly ya Misri katika mchezo wa hatua ya makundi ukiwa ni mzunguko wa pili kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa majira ya saa kumi jioni. Pamoja na timu zote kuwa na alama tatu baada ya kushinda mechi zao za mzunguko wa kwanza, Al Ahly inaongoza...
  9. JamiiForums Tanzania Pumzika kwa amani Balozi Kijazi, picha inafikirisha sana

    Kutoka kulia Mwamunyange, Balozi Kijazi, Makonda Rais Magufuli.....
  10. JamiiForums Tanzania Usipofikira mara juu ya picha hii, Jijue wewe ni kivuli tu dunia hii.

    Note: Elimu ni BURE na Kiswahili ndio uzalendo kwa nchi yetu. ========= Anyway, watawala wanahitaji watu wa aina 2 tu. 1. Wanaopiga kazi na kulipa kodi. 2. Watiifu. Usihangaike sana na masuala ya elimu Kwasababu wala hayahitajiki kwenye vibarua vyetu vya kubeba zege, kuuza mabanda...
  11. JamiiForums Tanzania Picha za mambo ambayo kimsingi zinafikirisha sana

    Huyu jamaa alikosea nini mpaka akawekewa grill namna hii
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Prof. Elifas Bisanda juu ya tahadhari ya Corona kwa wafanyakazi na wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria Tanzania inatoa picha gani kwa wasomi?

    Wasomi wetu watia aibu sana. Prof. Bisanda, Makamu wa Chuo Kikuu Huria (OUT) anahojiwa na BBC ni kwa nini ameamua kuwataka wanafunzi wake wabakie nyumbani kusoma kwa mtandao? "Hilo haliwahusu, mimi nimetoa taarifa hiyo kwa wanafunzi wangu tu na wafanyakazi wa Chuo kuhusiana na Corona...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya V8 kusitishwa picha mpya za Toyota land cruiser zavuja

    Inakuwaje wanajamvi! Kama mjuavyo Toyota land cruiser 200 series (viieite) wamesitisha utengenezaji kabisa. Sasa hivi utengenezaji utakuwa wa 300 series na picha zimeshaanza kuvuja itakavyokuwa. Sijapendezwa na Hizi picha kwasababu body itapunguzwa upande wa juu utashuka kidogo. Ila engine...
  14. JamiiForums Tanzania Picha hii inakufanya ujiulize nini?

    Kwenye picha hizo hapo juu, utaona watu wawili wameketi kwenye pikipiki. Inaweza kuonekana kawaida kwa baadhi ya watu kwa muonekano wa haraka. lakini kiuhalisia, lakini hao waliokaa nyuma ya dereva siyo watu walio hai: ni miili ya watu waliokufa. Nilidhani naujua uhalisia wa umasikini lakini...
  15. JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee William Mbunga mwandishi wa habari mkongwe afariki dunia

    Habari zilizonifikia ni kuwa mzee William Mbunga mwandishi wa habari mkongwe, aliyepiga picha tukio maarufu uchanganyaji udongo kwenye Muungano wa Tanganiyika na Zanzibar amefariki Dunia tarehe 3/2/2021. Pia ndiye muanzilishi wa shule ya uandishi wa habari SJMC. Bwana ametoa, bwana ametwaa --
  16. JamiiForums Tanzania Wadogo zangu, kabla TV hazijaja enzi hizo mgeni alikuwa anapewa album atazame picha za zamani. Yaani umpe Mtanzania album asichomoe picha hata moja?

    Mambo vp JamiiForums. Nyie watoto mliozaliwa mwaka 2003 mnajua nini maana ya album? Achana na hizo album ambazo baba/mama yako anakuonesha katika smartphones na tablets. Mimi siongelei albums za google photos, sujui google drive mara facebook mara sijui nini wenyewe mnaita Instagram. Hivi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mhe. Waziri wa Afya, vitendo vyakupiga picha kwenye vituo vya afya na hospitali vimekithiri, faragha za wagonjwa zilindwe

    Watu wanafika hospitali, wanapiga picha wapendwa wao na watu wengine wanowazunguka bila ridhaa ya wale waliopigwa picha, hii si sawa. Madaktari wapo kazini, baadhi ya wahudumu wa afya wasio na maadili wanarekodi video na kupiga picha kwa maelekezo ya ndugu wa mgonjwa au utashi wao tu..hii si...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Nimepata vidonda kama picha inavyoonesha. Je, ni ugonjwa gani huo?

    Nimepata vidonda kama picha inavyoonyesha na bado sijaweza kwenda hospitali . Je, ni ugonjwa gn?
  19. R

    JamiiForums Tanzania Beautiful nature only... Tupia na wewe ila zisiwe za kimapenzi

  20. JamiiForums Tanzania Madhara ya kupenda kuweka picha za Watoto mitandaoni

    Kadri siku zinavyokwenda, wazazi wengi hupenda kuweka picha za watoto wao mitandaoni huku wakiwapongeza na kujivunia walivyo warembo, wenye akili na wepesi kujifunza ama wanavyowaletea furaha. Mshawasha na wepesi wa kutaka 'kushea' picha za mtoto wako hasa kwa marafiki (na hata wasio marafiki)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…